Uchumba wetu ulikufa sababu ya dini ni tofauti

Kwaiyo mkuu ata tatizo la elimu kwa watu wa Zanzibar litatatuliwa na Wazanzibari kukubali kuoana na watanganyika ? Maana wazanzibari kwa kijana wakiume wazazi wake hawaruhusu kuoa mwanamke waki Tanganyika, Mwanamke kidogo wanaolewa na Watanganyika
 
Sasa Maisha ya sasa yamefanya jamii tofauti kuingilia kwaajili ya uchumi, mfano Kija wakisukuma kuzaliwa Moshi kasoma uko mpaka kupata kazi akapangiwa Dar sasa kijana kama huyu kupata mke kabila lake ni changamoto kwasababu kakulia na anaishi na jamii tofauti na ya kwao na ata akipata mchumba ni ngumu kumpata wa kabila lake.
 
nagongelea hapahapa ndoa nyingi zinashikana kwa sababu ya kuokotana na kuacha utamaduni uliokuwepo enzi na

Yote sikatai mkuu. Gumu leo jepesi kesho. Jepesi leo gumu kesho
 
Kwaiyo mkuu ata tatizo la elimu kwa watu wa Zanzibar litatatuliwa na Wazanzibari kukubali kuoana na watanganyika ? Maana wazanzibari kwa kijana wakiume wazazi wake hawaruhusu kuoa mwanamke waki Tanganyika, Mwanamke kidogo wanaolewa na Watanganyika
Zanzibar ni nchi kamili, wana mila zao na desturi zao na wana makabila yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…