Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Itakuwa ni vyema AZAM akadhamini ligi kuu ya TANZANIA halafu timu zinazoshiriki zirudi kama zamani, ziwe timu ishirini [ 20 ].Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?