Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

sasa mkuu mtu kashaweka bil 257, ina maaana ligi imepanda! anaekuja anatakiwa kuweka juu ya hapo sio chini tena, vodacom anatoa mil 80 ela ambayo hata wewe unaipata! tunatamani wengine waje pia kuwekeza watu wapate mishahara mizito
Word
 
Voda wamejitahidi kuboresha kidogo hadhi ya ligi...
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Voda wamejitahidi kuboresha kidogo hadhi ya ligi...

Kila mtu ameplay part yake mpaka tumefika hapa, kuna kipindi kilimanjaro beer washadhamini wakaja voda, sasa kuna jamaa ameweka mzigo ambao hata mm lazima ningekimbia
 
Jjiulize tu swali moja, nani aliyeipandisha ligi yetu na kukua hapa ilipofika kama sio Azam mwenyewe?
Ndio wapewe 10yrs subscription right?
Na league yetu haijaipandisha azam?
 
Wale wote waliosherekea bakhresa kuzamisha billion 225,

Wajiandae na msiba wa vifurushi,

JAMAA keshaanza tayari,
Lazima atafute namna ya kurudisha ile pesa yake.

Ingekuwa Kenya sawa ila bongo choices kibao mbna
 
Bia na Bakhressa wapi na wapi?..

Ngoma inaweza kuwa ngumu..kuna fununu tbl walitaka kuingia ila Azam akaleta uzio..
Kama ni kweli alizuia TBL basi kuna tatizo kubwa sana mbele, lakini mbona timu za ulaya jezi zao zina kampuni za betting na hata za pombe?
 
Una uhakika wamelipa hela yote ya miaka kumi mara moja? Nina mashaka na hilo maana kuna sehemu niliona watalipa kiasi fulani kila mwaka na kila mwaka watakuwa wakiongeza pesa wanayolipa ili mradi baada ya miaka kumi watakuwa wametimiza $100m. Pia kulipa lumpsum haimake business sense kwa Azam wala kwa TFF.
Huyo hajui, hakuna cha lumpsum wala nini, kikawaida hela huwa inalipwa kabla ya msimu (kiasi flani, na baada ya muda flani wanaongeza zingine)

Hata ile mil 500 sio kwamba timu itapewa mara moja, bali itapewa kila baada ya muda flani ili zisaidie kuendesha timu!
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Bakhresa ana biashara nyingi, Voda wana biashara moja tu ya mawasiliano hivyo kuna tofauti!
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Voda wanajiamaliza wenyewe kwa huduma za kihuni yaani kila siku watu wanachama na vodacom kuhamia mitandao mingine
 
kama ni kweli alizuia tbl basi kuna tatizo kubwa sana mbele, lakini mbona timu za ulaya jezi zao zina kampuni za betting na hata za pombe?
Ulaya hakuna mambo ya dini na itikadi mkuu..ni pesa tu.
 
Watu si wanalalamika kuwa Bakhresa anapiga mpunga mrefu kwenye ligi yetu mimi naona bora aache tuone hao wengine maana watu wanadhani biashara ni masikhara
Ndio tabia ya binadam ukifanya kitu huwa wanadhani kila mtu anaweza
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Wamemkimbia Bhakhresa.... [emoji1787]
 
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Korona hiyo
Voda hawataki kudhamini watu kujiambukiza makusudi viwanjani

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Watu si wanalalamika kuwa Bakhresa anapiga mpunga mrefu kwenye ligi yetu mimi naona bora aache tuone hao wengine maana watu wanadhani biashara ni masikhara
WATANZANIA WALIO WENGI NI WATU WA MANENO MENGI NA MATENDO KISODA
 
Ulaya hakuna mambo ya dini na itikadi mkuu..ni pesa tu.
Ndiyo nasema mbona Azam tv huonesha mechi za hao jamaa, sasa atazuiaje TBL kuweka bango lake uwanjani?

Simba na yanga wana sportpesa (betting, haramu) lakin mechi zao anaonesha!

May be Azam anataka logo yake ndio iwe kifuani pia (who knows) ili atangaze biashara zake vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom