Uchumi hauniruhusu kuwa na familia

Uchumi hauniruhusu kuwa na familia

kauli ya msanii ommy dimpoz yazua gumzo mtandaoni kwamba hayuko tayari kuwa na familia kwasababu za kiuchumi

Kwa msanii mkubwa kama ommy dimpoz kutokuwa vizuri kiuchumi naona kama mwanetu anatupanga ivi maana safari za nje ni nyingi sana dubai, U.k , europa , france kote huko
Nahisi ommy dimpoz kuna kitu anakificha ambacho hatukifahamu ila tutakifahamu tu.
Sasa anakupamga vipi? Labda akiwa na watoto anaona hizo trip za dubai france itashindwa zimudu tena maana hela italiwa na familia
 
1757535866829.jpeg
 
Back
Top Bottom