Kumbe upo kwwenye kampeni za kuuza mbuzi ndani ya gunia?Unasumbuliwa na chuki binafsi na pengine hata hujielewi..
Rais Samia katoa maelekezo ya maji yaliyokuwa yaishie Kigamboni yaje Dar(mradi mpya?,
Samia katoa maelekezo ya wahusika wote wanaochepusha maji mto Ruvu washughulikiwe,
Samia ndio anajenga Bwawa la kidunda (lilishindikana toka uhuru),
Samia ndio anajenga Bwawa la farkwa Dodoma(likikuwa story toka uhuru),
Samia ndio anajenga miradi ya maji ya miji 28 Tanzania nzima(ilikuwa hadithi awamu ya 5),
Samia ndio amejenga miradi ya uviko ya Maji Nchi nzima zaidi ya bil.320 na Sasa kupitia Ruwasa anajenga zaidi ya miradi 1000 Nchi nzima(wenye mbupu mlishindwa),
Samia amekwamua miradi iliyojifia toka 2010 sasa anaikwamua..
Samia anajenga mabwawa makubwa Mikoa acha hayo hapo juu zaidi ya 13 Ili kufanya umwagiliaji na matumizi ya kawaida.
Kiufupi Rais Samia ndio game changer wa Tanzania hii ila nyie wapumbavu mliozea kupelekwa kama punda hamjui kinachofanyika kwa sababu hamtafuti taarifa na Rais wa Sasa hana mda wa pambio..
Uchaguzi ukija mkiangukia pua ndio mtaanza kulalama ooh sijui tumeibiwa ooh blaa blaa kibao za kipumbavu..
Sasa iko hivyo sekta zote kuanzia umeme ,kilimo,hadi Michezo 👇
Halafu ndani ya gunia hilo umeweka uchafu wenye harufu ya "kinyesi cha 'Skunk', unadhani ni mtu gani mwenye akili atanunua huyo mbuzi feki.
Hopeless Kabisa!
Kuwategemea tu watu kama wewe kumuuza ni alama tosha kabisa kwamba hana uwezo wa kuongoza nchi.