Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Kwa watu wenye akili tunaona umeandika pumba tupu. Ulitaka mkulima auze mazao yake kwa bei ya hasara huku akiwa ametumia gharama kubwa kulima? Mchele huo unaona ghali ukiingia Zambia unakuwa bei mara 2 zaidi. Hayo mahindi wakenya wanayanunua kwa bei zaidi ya hiyo uliyotaja. Kama ulikuwa unataka mteremko ungeenda kujilimia mazao yako kwa matumizi ya nyumbani. Halafu sijawahi ona serikali isiyolalamikiwa... Mungu mwenyewe aliwapa waisrael Mana toka mbinguni na bado alilalamikiwa ije kuwa Samia? Namshauri Mama Samia abaki kwenye agenda zake za kuleta maendeleo na ampuuze huyu mleta uzi.
Ukisoma ukichoandika utagundua unayeandika pumba ni wewe. Kwa Sababu unauza bei kubwa anayeteseka ni wanunuzi unataka kusema ili kumpaisha mwingine lazima mwingine aumie?
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000. Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.

Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa Watanzania.
Hii sio awamu ya sita ni awamu ya tano b
 
Ukisoma ukichoandika utagundua unayeandika pumba ni wewe. Kwa Sababu unauza bei kubwa anayeteseka ni wanunuzi unataka kusema ili kumpaisha mwingine lazima mwingine aumie?
Acha upumbavu. Unataka ukalishe matako hapo watu wakakulimie uje ununue kwa bei unayotaka bila kujali gharama mkulima alizotumia? Acha kufikiria kwa kutumia tako.
 
Huna hoja utafura hadi kaburini ila tupotupo Sana.
Uko 'desperate' sana kutokana na takjataka unazojaza hapa kila siku.
Hii ni ishara tosha kwamba huna siku nyingi za maisha. Kwa hiyo kaburi lipo tayari kwako. Hayo matumaini ya "kuwepo sana" ni ndoto tu za watu kama wewe.
 
Mambo ni fire 🔥🔥, uchumi unazidi kupaa SSH na Mwigulu wanazidi kuwaaibisha 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-112624.png
    Screenshot_20221103-112624.png
    75.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221103-223417.png
    Screenshot_20221103-223417.png
    36.1 KB · Views: 2
Huyu mama mpaka sasa inatosha ni muda wake wa kwenda kulea wajukuu sasa
 
Mambo ni fire 🔥🔥, uchumi unazidi kupaa SSH na Mwigulu wanazidi kuwaaibisha 👇
Ni wapumbavu tu wanaodhani uchumi ukipaa ni wa hao uliowataja hapo na kusahau kwamba ni kazi za waTanzania wenyewe zinazofanikisha uchumi huo.
In fact, isingekuwa hujuma za hao wanaokupeleka chooni kila siku na kujaza takataka juu yao humu, waTanzania wangekuwa juu zaidi kiuchumi.
 
Sasa ulitaka kazi za nani zifanikishe ukuaji wa uchumi? 😁😁..

Ununuzi wa Magari umeongezeka na Serikali imevuna mabilioni ya kodi 👇

👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221102-180353.png
    Screenshot_20221102-180353.png
    154.1 KB · Views: 2
Sasa ulitaka kazi za nani zifanikishe ukuaji wa uchumi? 😁😁..

Ununuzi wa Magari umeongezeka na Serikali imevuna mabilioni ya kodi 👇

👇
Kwa hiyo wewe hujui ni nani anayefanikisha ukuaji wa uchumi?

Hao unaowaimba hapa ndiyo kikwazo kikuu cha uchumi wa waTanzania kuimarika kwa hujuma mbalimbali wanazozifanya dhidi ya juhudi za waTanzania wenyewe.
 
Una kichwa kigumu na mzigo Sana kuelewa..

Wewe ulikuwa Unapinga kwamba uchumi haukui na unakubalina na mtoa mada Kwamba uchumi unadorora ndio nikaanza kukuletea facts moja baada ya nyingine sasa sijui unaongea nini tena.
 
Wewe ni mpumbavu kweli, ni wapi uliposoma nimeeleza hayo unayoweka hapa.
 
Back
Top Bottom