safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Yes mkuu umenielewa vyema na hilo ndio swali langu.Yaani una maana yaliwezaje kuwa na uchumi mkubwa kule kwao mpaka kwenda kuwekeza nje?? Sijui mi ndio nimeelewa ivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mkuu umenielewa vyema na hilo ndio swali langu.Yaani una maana yaliwezaje kuwa na uchumi mkubwa kule kwao mpaka kwenda kuwekeza nje?? Sijui mi ndio nimeelewa ivo.
Hzo hela za kununua hayo madude wanaxitoa wapi? Wakat mtoa mada amedai uchumi wa China umeshikiliwa na Hao wawekezaji toka nje? Na anatuamisha kuwa ni kampuni moja Tu ya kichina ambayo ipo kwenye international competition rate, itoshe kusema mtoa mada ni bonge la kiaziNa sasa game limebadilika, China inanunua kampuni za Ulaya mpaka serikali zao zimeanza kushituka. Na inanunua makampuni yenye teknolojia za kimkakati kama kampuni ya kutengeneza wafers ya UK, kampuni ya Italy yenye tech za drones za kijeshi, imenunua kampuni ya kutengeneza robotics za viwanda huko germany, yani imenunua makampuni mengi mpaka sasa wameanza kushituka na serikali zimeanza kuingilia kati.
Sema china kama ulivyosema bado inavutia sana wawekezaji, hadi Elon Musk naona kati ya mambo ambayo wanamshambulia nayo ni kiwanda chake kikubwa cha china na ukaribu wake na serikali ya china
Yes mkuu umenielewa vyema na hilo ndio swali langu.
NakaziaUsikimbilie kuwaita waafrika wajinga, jadili kwa staha maana yawezekana mtizamo wako ndiyo haufanyi kazi.
Siyo kweli kwamba kama kuna mtu alitajirika kwa kuuza nafaka basi nawe ukiuza nafaka utatajirika, siyo rahisi hivyo.
Siyo kweli kwamba kwa kuwa Diamond alitajirika kwa kuimba mziki basi kila anayeimba mziki anaweza kuwa tajiri kama diamond
Uchumi si somo la historia kuangalia wenzetu walifanya nini na kujaribu kuiga bali uchumi ni swala la Kujitazama vigezo ulivyo navyo, ukatazama soko ulilo nalo na kuchagua.
Ukiwa na duka lako huwezi kuamua nani aje kununua leo na nani aje kesho. Wateja watakuja wenyewe kulingana na wanavyojisikia.
Kukaribisha wawekezaji ni sawa na kufungua duka na wawekezaji ni sawa na wateja dukani, wanaokuja kununua kwako ndiyo soko lako.
Ukiona tumefungua milango ya uwekezaji wakaja wachina basi ujue hao ndiyo soko letu na kuwakataa hao haitakusaidia. Ni sawa na kufungua genge mtaani lakini ukataka kuhudumia wateja wenye VX tu, huo ni ujinga.
Mbona kaeleza vizur tu, makampuni mengi ya ulaya na america yapo china, wachina wametumia technology walioletewa na sasa wamepata pesa na maarifa wameanza kutengeneza za kwao.Kawadanganya wajinga hapa nao wametiki[emoji38][emoji38]
Kasome upya uje. China wanamiliki kampuni kubwa sana duniani sinazomilikiwa na serikali yao ikiwepo ya petroleum china kama sikosei. Na nyingine kasake mwenyewe.
Wanatengeneza vitu vya teknolojia ya juu sana na bora watakupa ubora sawa na mahtaji yako.
Ngoja nikuoneshe kidogo jinsi jamaa wanavyokomaa na teknolojia bora duniani na zikiwa na nyumbani kwao kwa asilimia 100.
Huawei moja ya kampuni bora za mitambo ya simu na vifaa vyake, ukiacha huawei anafatia kwa mbalii na akina Siemens na Nokia.
Hisense ni moja ya kampuni zinazotengeneza electronics ikiwepo TV tena kwakutumia cheap zao wenyewe na inamilikiwa na serikali yao hii.
Hivi sasa kampuni za mitambo ya ujenzi kama magreda, scavetor na vingine wanatengeneza kwa kampuni kubwa za nyumbani kwao na zinatumika duniani kote zikishindana na akina Catapillar
Ebu tafuta kampuni kubwa duniani, katika 10, tatu zitatoka china na zinamilikiwa na wachina 100%
Nikweli mfano company moja inaitwa kuka ya robotics imenunuliwa tayari na wachinaYani hujanielewa. China sasa ananunua makampuni yenye technology muhimu sana kule ulaya. Yani anataka ayamiliki na hili jambo limeeashitua. Hadi sasa deal la kampuni ya kutengeneza wafers ya UK serikali imeliingilia. Kafanya hivyo Germany, kanunua makampuni kadhaa ikiwemo kampuni ya kutengeneza robots za viwandani ambayo ni kinara.
Sasa kuna kampuni nyingine pia alitaka nunha Germany nako serikali imeingilia.
Yes Kuka ndo hyo nayosemaNikweli mfano company moja inaitwa kuka ya robotics imenunuliwa tayari na wachina
Kampuni kubwa Sana ya roboticsYes Kuka ndo hyo nayosema
Niliona wanasema haikuwa sawa huyo kampuni kuizwa kwao maana ina tech muhimu sanaKampuni kubwa Sana ya robotics
Yes kwasababu ilikuwa ni kubwa kidunia pia ni icon kwa ujerumani kwa Mambo ya roboticsNiliona wanasema haikuwa sawa huyo kampuni kuizwa kwao maana ina tech muhimu sana
DuhYes kwasababu ilikuwa ni kubwa kidunia pia ni icon kwa ujerumani kwa Mambo ya robotics
Sanaa cjui wanatoa wapi ujasiri wa kujadili maswal ya nnje wkt ya kwao tu hata hawaeziWabongo kusimuliana mambo ya nje ya mipaka yao uwa naona nikudanganyana. Ni sawa na kusimuliana habari za Siku ya mwisho ikiwa haijafika.
Tunaweza ila ccm inaturogaSanaa cjui wanatoa wapi ujasiri wa kujadili maswal ya nnje wkt ya kwao tu hata hawaezi