Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

Na sasa game limebadilika, China inanunua kampuni za Ulaya mpaka serikali zao zimeanza kushituka. Na inanunua makampuni yenye teknolojia za kimkakati kama kampuni ya kutengeneza wafers ya UK, kampuni ya Italy yenye tech za drones za kijeshi, imenunua kampuni ya kutengeneza robotics za viwanda huko germany, yani imenunua makampuni mengi mpaka sasa wameanza kushituka na serikali zimeanza kuingilia kati.
Sema china kama ulivyosema bado inavutia sana wawekezaji, hadi Elon Musk naona kati ya mambo ambayo wanamshambulia nayo ni kiwanda chake kikubwa cha china na ukaribu wake na serikali ya china
Hzo hela za kununua hayo madude wanaxitoa wapi? Wakat mtoa mada amedai uchumi wa China umeshikiliwa na Hao wawekezaji toka nje? Na anatuamisha kuwa ni kampuni moja Tu ya kichina ambayo ipo kwenye international competition rate, itoshe kusema mtoa mada ni bonge la kiazi
 
Sera zetu bado zinatupa ugumu katika uwekezaji sio tu kwa wageni ata wazawa pia, utitiri wa mamlaka zinazotazama kitu kimoja nayo inapunguza efficiency akikushika shati mmoja anakutoa kwenye reli.

Ukweli VaT nayo ni kubwa sana, serikali ingalie namna tunaweza ishusha ata kwa 2 au 4 percentage
 
Usikimbilie kuwaita waafrika wajinga, jadili kwa staha maana yawezekana mtizamo wako ndiyo haufanyi kazi.

Siyo kweli kwamba kama kuna mtu alitajirika kwa kuuza nafaka basi nawe ukiuza nafaka utatajirika, siyo rahisi hivyo.

Siyo kweli kwamba kwa kuwa Diamond alitajirika kwa kuimba mziki basi kila anayeimba mziki anaweza kuwa tajiri kama diamond

Uchumi si somo la historia kuangalia wenzetu walifanya nini na kujaribu kuiga bali uchumi ni swala la Kujitazama vigezo ulivyo navyo, ukatazama soko ulilo nalo na kuchagua.

Ukiwa na duka lako huwezi kuamua nani aje kununua leo na nani aje kesho. Wateja watakuja wenyewe kulingana na wanavyojisikia.

Kukaribisha wawekezaji ni sawa na kufungua duka na wawekezaji ni sawa na wateja dukani, wanaokuja kununua kwako ndiyo soko lako.

Ukiona tumefungua milango ya uwekezaji wakaja wachina basi ujue hao ndiyo soko letu na kuwakataa hao haitakusaidia. Ni sawa na kufungua genge mtaani lakini ukataka kuhudumia wateja wenye VX tu, huo ni ujinga.
Nakazia
 
Nilitamani niandike kitu ila Kuna Watu washaandika,,, not everything u see to Other they will work to U... Bwana mmoja hivi aliamdikaga malthusian'''
 
Kawadanganya wajinga hapa nao wametiki[emoji38][emoji38]
Kasome upya uje. China wanamiliki kampuni kubwa sana duniani sinazomilikiwa na serikali yao ikiwepo ya petroleum china kama sikosei. Na nyingine kasake mwenyewe.

Wanatengeneza vitu vya teknolojia ya juu sana na bora watakupa ubora sawa na mahtaji yako.

Ngoja nikuoneshe kidogo jinsi jamaa wanavyokomaa na teknolojia bora duniani na zikiwa na nyumbani kwao kwa asilimia 100.

Huawei moja ya kampuni bora za mitambo ya simu na vifaa vyake, ukiacha huawei anafatia kwa mbalii na akina Siemens na Nokia.

Hisense ni moja ya kampuni zinazotengeneza electronics ikiwepo TV tena kwakutumia cheap zao wenyewe na inamilikiwa na serikali yao hii.

Hivi sasa kampuni za mitambo ya ujenzi kama magreda, scavetor na vingine wanatengeneza kwa kampuni kubwa za nyumbani kwao na zinatumika duniani kote zikishindana na akina Catapillar

Ebu tafuta kampuni kubwa duniani, katika 10, tatu zitatoka china na zinamilikiwa na wachina 100%
 
Kawadanganya wajinga hapa nao wametiki[emoji38][emoji38]
Kasome upya uje. China wanamiliki kampuni kubwa sana duniani sinazomilikiwa na serikali yao ikiwepo ya petroleum china kama sikosei. Na nyingine kasake mwenyewe.

Wanatengeneza vitu vya teknolojia ya juu sana na bora watakupa ubora sawa na mahtaji yako.

Ngoja nikuoneshe kidogo jinsi jamaa wanavyokomaa na teknolojia bora duniani na zikiwa na nyumbani kwao kwa asilimia 100.

Huawei moja ya kampuni bora za mitambo ya simu na vifaa vyake, ukiacha huawei anafatia kwa mbalii na akina Siemens na Nokia.

Hisense ni moja ya kampuni zinazotengeneza electronics ikiwepo TV tena kwakutumia cheap zao wenyewe na inamilikiwa na serikali yao hii.

Hivi sasa kampuni za mitambo ya ujenzi kama magreda, scavetor na vingine wanatengeneza kwa kampuni kubwa za nyumbani kwao na zinatumika duniani kote zikishindana na akina Catapillar

Ebu tafuta kampuni kubwa duniani, katika 10, tatu zitatoka china na zinamilikiwa na wachina 100%
Mbona kaeleza vizur tu, makampuni mengi ya ulaya na america yapo china, wachina wametumia technology walioletewa na sasa wamepata pesa na maarifa wameanza kutengeneza za kwao.
Mfano simu kali Duniani ni Iphone na samsung mchina baada ya kupata maarifa akatumia ujanja wake kutengeneza Oneplus na Xiaomi kama huamini angalia Vivo na oppo za mwanzo system zake zote ziliiga iphone na sasa wamejiongeza na wameanza kutengeneza Flagship za maana.

Ukweli ni kuwa makampun meng ya USA yapo china ndio maana Trump alipoingia madarakan alitanguliza hoja ya kurudisha viwanda vya marekan kutoka china virud USA.

China ana Licence ya kutengeneza Samsung, iphone na brand zingne unazozijua ndio maana ata Hisense hajapata shida coz technology ya TV ameipata kupitia Samsung, sony nk.
Na kuhusu Chip kama ufahamu labda nikwambie kuwa chip nying bado zinatoka USA, makampun makubwa yanayotengeneza semiconductor ni za USA china ana-import jaribu kuGoogle uone china ana import kwa wingi nn kutoka USA.

INTEL(usa),
SAMSUNG(s.korea),
NVIDIA(usa),
QUALCOMM(usa),
MEDIATEK(Taiwan, china),
HISILICON(china),
TI TEXAS INTRUMENTS(usa),
SK HYNIX(korea)
TSMC (taiwan)

Hzo za juu tu zinatosha kukupa jibu alaf makampun ya china kama mediatek ndio inatoa chip mbovu kweli kweli zinazotumika ata kwenye low and middle range phones lakn hzo zingne chip zao ni ghali ata mchina anajua ndio maana ata ONEPLUS, oppo, vivo, Xiaomi zile za gharama anatumia chip za Qualcomm ila za kwetu anatumia mediatek.
 
Yani hujanielewa. China sasa ananunua makampuni yenye technology muhimu sana kule ulaya. Yani anataka ayamiliki na hili jambo limeeashitua. Hadi sasa deal la kampuni ya kutengeneza wafers ya UK serikali imeliingilia. Kafanya hivyo Germany, kanunua makampuni kadhaa ikiwemo kampuni ya kutengeneza robots za viwandani ambayo ni kinara.
Sasa kuna kampuni nyingine pia alitaka nunha Germany nako serikali imeingilia.
Nikweli mfano company moja inaitwa kuka ya robotics imenunuliwa tayari na wachina
 
Sasa usiwashauri ccm waende kichwa kichwa kwa beberu wakazani Mambo ni raisi unapo taka kuendelea kupitia uwekezaji ni lazima uwe umeandaa mazingira Kama vile miundo mbinu Bora Kama vile sgr na nyerere dam vingevuta wawekezaji kwasababu wangepata nishati kwa uraisi na usafirishaji wa bidhaa. Sasa maccm kama hangaya anadhani akizunguka hovyohovyo ndio atapa wawekezaji atapata wezi tu.
 
Back
Top Bottom