Kawadanganya wajinga hapa nao wametiki[emoji38][emoji38]
Kasome upya uje. China wanamiliki kampuni kubwa sana duniani sinazomilikiwa na serikali yao ikiwepo ya petroleum china kama sikosei. Na nyingine kasake mwenyewe.
Wanatengeneza vitu vya teknolojia ya juu sana na bora watakupa ubora sawa na mahtaji yako.
Ngoja nikuoneshe kidogo jinsi jamaa wanavyokomaa na teknolojia bora duniani na zikiwa na nyumbani kwao kwa asilimia 100.
Huawei moja ya kampuni bora za mitambo ya simu na vifaa vyake, ukiacha huawei anafatia kwa mbalii na akina Siemens na Nokia.
Hisense ni moja ya kampuni zinazotengeneza electronics ikiwepo TV tena kwakutumia cheap zao wenyewe na inamilikiwa na serikali yao hii.
Hivi sasa kampuni za mitambo ya ujenzi kama magreda, scavetor na vingine wanatengeneza kwa kampuni kubwa za nyumbani kwao na zinatumika duniani kote zikishindana na akina Catapillar
Ebu tafuta kampuni kubwa duniani, katika 10, tatu zitatoka china na zinamilikiwa na wachina 100%
Mbona kaeleza vizur tu, makampuni mengi ya ulaya na america yapo china, wachina wametumia technology walioletewa na sasa wamepata pesa na maarifa wameanza kutengeneza za kwao.
Mfano simu kali Duniani ni Iphone na samsung mchina baada ya kupata maarifa akatumia ujanja wake kutengeneza Oneplus na Xiaomi kama huamini angalia Vivo na oppo za mwanzo system zake zote ziliiga iphone na sasa wamejiongeza na wameanza kutengeneza Flagship za maana.
Ukweli ni kuwa makampun meng ya USA yapo china ndio maana Trump alipoingia madarakan alitanguliza hoja ya kurudisha viwanda vya marekan kutoka china virud USA.
China ana Licence ya kutengeneza Samsung, iphone na brand zingne unazozijua ndio maana ata Hisense hajapata shida coz technology ya TV ameipata kupitia Samsung, sony nk.
Na kuhusu Chip kama ufahamu labda nikwambie kuwa chip nying bado zinatoka USA, makampun makubwa yanayotengeneza semiconductor ni za USA china ana-import jaribu kuGoogle uone china ana import kwa wingi nn kutoka USA.
INTEL(usa),
SAMSUNG(s.korea),
NVIDIA(usa),
QUALCOMM(usa),
MEDIATEK(Taiwan, china),
HISILICON(china),
TI TEXAS INTRUMENTS(usa),
SK HYNIX(korea)
TSMC (taiwan)
Hzo za juu tu zinatosha kukupa jibu alaf makampun ya china kama mediatek ndio inatoa chip mbovu kweli kweli zinazotumika ata kwenye low and middle range phones lakn hzo zingne chip zao ni ghali ata mchina anajua ndio maana ata ONEPLUS, oppo, vivo, Xiaomi zile za gharama anatumia chip za Qualcomm ila za kwetu anatumia mediatek.