Uchumi wa Frame Tanzania

Uingereza kuna maduka mengi,ukiona hivo mzunguko wa hela umeongezeka.Acha wajenge frem tyu.
Ndio jakaya aliona foleni ya magari akasema ni maendeleo kumbe ni miundombinu hajatengenezwa vizuri kulingana na idadi ya watu pia foleni kubwa inaonyesha tuna ufikiri mdogo wa kutatua changamoto. Sasa hii imehamia Kwa frame
 
Ndio jakaya aliona foleni ya magari akasema ni maendeleo kumbe ni miundombinu hajatengenezwa vizuri kulingana na idadi ya watu pia foleni kubwa inaonyesha tuna ufikiri mdogo wa kutatua changamoto. Sasa hii imehamia Kwa frame
Biashara za kuigana,pale Usangi kila mstaafu ananunua Noah,Noah zimekua nyingi kuliko abiria
 
Sasa ulitegemea form four failures wafanyeje, unapaswa kuwapongeza kwa hiyo hatua, maana ninapowaona wakifanya mazoezi na moto uwanjani kama Watoto huwa nasikitika sana.
 
Nadhani ni hali ngumu ya maisha na uwezo mdogo wa kufikiri maana ilatela ukakasi sana yaani hata hospitali na maeneo mengine nyeti yamejaa mafremu, nadhani kama tungekuwa smart kama wenzetu huko walikoendelea tungewekeza kwenye nyumba nzuri za kuishi ingekuwa kitu cha msingi sana maana hali ya makazi yetu kwa ujumla ni duni sana lakini fremu kaliiiii, utakuta jamaa anakaa chumba kimoja mbavu za mbwa lakini salon anayofanya kazi nzuri kinoma kiasi kwamba akifika kazini kwake analala tu usingizi kwa jinsi palivyo bomba. Nadhani watu waelimishwe kujenga apartments nzuri za gharama nafuu inaweza kuwa suluhu ya TANZANIA YA FREMU aka tozonia
 
Hadi lugalo wamefyeka ile miti na kujenga frame hivi walifanya kwanza tafiti namwomba Rais awaambie wavunje ule uchafu ni aibu Kwa jeshi kuwa na frame chafu za kijanjaa hivo ni aibu
Uchumi unapanda kwa kasi kama ni pori wakurungwa watavamia sio mda na kutachangamka
 
Uchumi unapanda kwa kasi kama ni pori wakurungwa watavamia sio mda na kutachangamka
Halafu watanzania sehemu Ina miti wanafyeka yote hawajui umuhimu wa miti au shule walienda kukua. Mazingira safi Wana fyeka na kuweka frame hivi kwanini mipango Miji wasiwe na Sheria Kila raia apande miti ku save mazingira
 
Inasikitisha sana... yani ukipita pale Lugalo ni aibu tupuuu... Uoto wa asili umeondolewa , miti imekatwa... Nyumba za jeshi magorofa yapo wazi yanaonekana... kikosi cha 34 kipo wazi ......aibu aibu...

RAis ingilkia kati Frem zile zisitishwe mara mojaaa...
 
Hii ni aibu... Uzuri wa Lugalo wote na uoto wa sili umeharibiwa na wapuuzi wachache...shame, shame, JWTZ
 
Na ujue hapo lugalo kuelekea bagamoyo ilikuwa sehemu pekee ambayo Ina uoto wa asili Sasa kuifyeka ilishangaza. Na kilichonichosha zaidi NMB nao wameweka ATM Yao pale pale
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Wacha zishuke ni heri mtu ajenge vi apartments vya single na double single vitapata wateja kuliko frame zilizokuzwa maana zitakuwa ka biashara ya matikiti
Hahahahah alafu washenzi kwer wakishaona lami wanajua kunakazi hawajui ugumu tunaopitia kupata iyo Kodi unapigwa na jua kutoka asbh mpk usiku alafu una ata chuma yakueleweka duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…