[emoji2] inasikitisha sana ujue dar lilikuwa jiji zuri ujenzi holela Hadi sikuhizi green imeisha ilikuwa imebaki lugalo,napo lugalo wamefyeka eti wajenge frame [emoji2][emoji2].Mji hauna green spaces za kutosha halafu mtu kutoka taasisi kubwa kama Jeshi anaamua kukata miti kujenga frame!!!
Wewe ni mtoto huwezi kujuwa haya mambo, nani kakudanganya kwenye ndoa hakuna Mali binafsi?Wife ana plot yake binafsi? Ila plot yako ni ya wote? Vijana kataeni ndoa ni utapeli
Kuna watu wachache wanaotumia akili zao vizuri, pale Kinyerezi kuna eneo kubwa kuna jamaa amejenga Kinyerezi Park at least unaweza kuwatowa out hapo wakacheza na kupata chakula badala ya kujaza mafremu kama vichaa.[emoji2] inasikitisha sana ujue dar lilikuwa jiji zuri ujenzi holela Hadi sikuhizi green imeisha ilikuwa imebaki lugalo,napo lugalo wamefyeka eti wajenge frame [emoji2][emoji2].
Hakuna Ufilisti mbaya kama kukata miti.[emoji2] inasikitisha sana ujue dar lilikuwa jiji zuri ujenzi holela Hadi sikuhizi green imeisha ilikuwa imebaki lugalo,napo lugalo wamefyeka eti wajenge frame [emoji2][emoji2].
hata navy Kigamboni wamejenga frrame 😃Lugalo jeshini na wenyewe Wana frame ni mwendo wa Tanzania ya frame
Nini maana ya mwili mmoja? Mali binafsi si aendelee tu na maisha yake binafsi! Wewe jamaa zinduka hiki kitu hakipo sawaWewe ni mtoto huwezi kujuwa haya mambo, nani kakudanganya kwenye ndoa hakuna Mali binafsi?
Ndio maana hamuishi kuwalalamikia wanawake kila siku kumbe hujui kama hujui.
Siku nkikutembelea ntakushawishi uweke frame (joking)Katika kitu nimekataa Nyumbani kwangu ni kuweka flemu, kwanza napenda shape ya nyumba yangu ionekane kama ilivyo na iko mtaani kabisa tena mtaa mkubwa kabisa, lakini habari ya fremu kwangu marufuku.
Wife ndio ana plot yake binafsi somewhere huko ndio Kajenga maflemu yake kawapangisha watu apate kodi, ila Nyumbani sitaki kabisa kusikia habari ya fremu.
Nimeziona hizo🤣🙌hata navy Kigamboni wamejenga frrame 😃
watanzania tuna kasumba ya kuigana
Mama yupo kazini kazi iendeleeNimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya.
hakunakitu kama hiyo,huo mzunguko u wapi?Uingereza kuna maduka mengi,ukiona hivo mzunguko wa hela umeongezeka.Acha wajenge frem tyu.
Hehe, halafu anapaua kakibaraza. Miasha magumu sana.Dodoma njia ya waziri mkuu kuanzia wajenzi ,swaswa,Ilazo mpk Martin Luther yote imejaa Frame..humu ndani kwny makazi yetu kila fensi ina frame mbele...kuna mwingine alisahau kuweka anajenga kichumba ndani anatoboa kidirisha kwny fensi ili iwe frame auze....sijui unanunua wapi unaacha wapi
Umeongea point, tumejaziwa uchafu toka China ni shida tu unanunua bidhaa ukifika nyumbani tayari imeharibika wao wanazidi kupanda kiuchumi tuUchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.
Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.
Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.
Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?
Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
Umesahau na gas ya kupikia juu hahahahaaDuuh hatari yaani kila nyumba mbele frame halafu wanaofungua biashara ni zile zile duka reja reja, saluni ya kike, M-PESA, duka la dawa, hapo ni mwendo wa juju