Uchumi wa Frame Tanzania

Uchumi wa Frame Tanzania

Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame

Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame , si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame.Halimshauri, ni frame, Majiji ni Farma, Manisapaa zinawaza Frame.

Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.

Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.

Je hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?

Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.,

Tuuite Framenomics...

Hii ni hatua ya mwisho ya taifa kuwa la madali wa bidhaa za kigeni.

Unaweza kushangaa Profesa wa Chuo kikuu anakomaa kujenga frame na kuli wa bandarini naye anajenga frame. Vivyo hivyo mawaziri na wabunge nao wanapambana kukamilisha frame kabla ya 2025. Hamna mwenye mawazo tofauti wote sawa kana kwamba akili zao zipo controlled kama robots.

Uchumi wa kweli, uchumi utakaotuweka huru tumewaachia Wahindi, Waarabu na kwa kasi Wachina. Wao ndiyo wamiliki wa kweli wa njia kuu za uchumi kwa maana ya kilimo cha kisasa, viwanda na usafirishaji.

Kuna kila sababu ya kufanya uasi wa fikra miongoni mwa wazawa wa Tanzania wajue framenomics haiwezi peleka nchi uchumi wa kati bali kwa kufanya uwekezaji kwenye njia kuu za uzalishaji mali.

CCM nao hawajambo wana frame nchi nzima kuanzia kwenye viwanja vya mpira hadi kwenye ofisi zao. Huenda CCM wameambukiza wananchi mahaba ya frame na hivyo kuchochea uchumi wa frame aka framenomics!
 
Nimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya
Hahaha, kuna eneo kama hilo maeneo ya Kinyerezi, kapiga frame kama kumi wakati akiweka uzio wake.
 
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame

Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame , si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame.Halimshauri, ni frame, Majiji ni Farma, Manisapaa zinawaza Frame.

Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.

Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.

Je hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?

Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.,
[emoji4][emoji4][emoji4], nasubiri pale state House waweke frame niwahi na mimi nikapangishe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa uchumi wa frame wakati hiyo ina akisi akili zetu za kila mtu anataka kujiajiri kwa kuwa mchuuzi au kuongeza kipato kupitia uchuuzi.
Kuna raisi kati ya Kikwete na Magufuli alisema nchi yetu haiwezi kuendelea kwa kutegemea uchumi wa uchuuzi. Uchuuzi ndiyo ajira pekee iliyo bakia.
 
Pale sipaelewi kabisa.

Wamejenga vitu vya ajabu sana.
Na pale hmn ujenzi umefanyika kwny zile frem hmn hata frem moja iliyojengwa kwa kulingana na hadhi ya taasisi husika zimejengwa km vifremu vya tandika uko very poor Standard no design hadi construction yake ni ovyo kbs yaan unaona kbs hapa lengo ni kujaza hivi vibanda vya kutosha kuzunguka fence yote hii alf ukiangalia sasa sio eneo potential cz pale pamekuwa km pori ikifika saa12 tu jion huwez kununua wala kuuza pale hasa uku along bagamoyo road ya distance from main road hadi kufikia zile frem ni changamoto manake kwa frem zile ni frem za ingia toka so ingebidi accessibility yake iwe rahisi kwamba unachepuka chap unapata huduma unasepa mpk unawaza hamna ma consultant kwenye issues za construction hata kibiashara
 
Ni aibu sana jeshi letu ufikiri wao uishie kwenye frame tu basi woooi
Kwa zile fremu pale Lugalo, Pale Jeshini patakua gulioni. Lugalo inashindana na Mwenge kwa fremu. Ukitaka kunyoa, ukitaka full body massage with happy ending, wasafisha kucha, wauza grease na spoke za baiskeli, ukitaka viepe, madalali ukitaka kuziba pancha, ukitaka unachotaka vitakuwa vinapatikana Lugalo
 
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumi wa frame , si Jeshi la Police, si Jeshi la wananchi, si makanisa yaani wote wanawaza frame, frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halmashauri, ni frame, majiji ni frame, Manisapaa zinawaza frame.
Sasa wameona mjini hakutoshi, frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya police, mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya makazi kumejaaa frame.
Tunako elekea frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.
Je hatuna idea zingine nje ya Uchumi wa frame za uchuuzi?
Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China kwani asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
Uchumi wa aina hii hauwezi kutufikisha popote, kwani ni uchumi wa 'uchuuzi' wa kupata hela ya kubangaiza tu, na sio kupiga hatua.
Bongo zetu zina shida gani?
Au tumelaaniwa?
Au tumelogwa na alietuloga kafa?
 
Umewaza km Mimi kila nikipita pale nasema mhhh these people are not serious taasisi nyeti km hiii wanavutia muingiliano wa watu manake nimeona hadi pub pale ni hatari Sana hata ni kujikwamua au kujiongezea njia nyngne ya kipato hpn aisee
Ulinzi siku hizi ni by Digital means nyie mnawaza analogia ya kukaa na mitutu.
 
Back
Top Bottom