DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Frame zinalipa Sana Tena Sana Kama una nyumba hipo barabarani eneo zuri jenga frame Hakuna Biashara profitable Kama fremu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pilipi usisozila zakuwashia nini? Kafanye shughuli zako.Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.
Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.
Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.
Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?
Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
yani ni ushamba wa hali ya juu na kuigana vipi visivyokuwa na msingi binafsi ya kuweka fremu mbele ya nyumba sikuikubali kabisa na wala sijafanya ujinga huoKweli kabisa aisee,hata kwenye nyumba yangu nimeweka fremu
Kiukwel kuna watu wanajenga frem mahala hadi unashangaa hadi unawaza hv huyu alitumia ubongo kweli maana unakuta sehemu ilivyo hata hakuna watu wengi,anamaliza jengo linakaa hata miaka mitano bila kukodiwaNimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya.
Dogo heshima kwakoUna ugomvi na pale lugalo?
Watu wanaona mbele ni vizuri ukayazingatia yanayokuhusu wewe Kama weweKiukwel kuna watu wanajenga frem mahala hadi unashangaa hadi unawaza hv huyu alitumia ubongo kweli maana unakuta sehemu ilivyo hata hakuna watu wengi,anamaliza jengo linakaa hata miaka mitano bila kukodiwa
Mie mzee sio dogo.Dogo heshima kwako
Well said HoMieTulieni ni hatua tu tunapitia kama nchi ktk nyanja ya kujiletea Maendeleo ..awali tuliamin ktk kuajiiriwa imefika mahali ajira zimekua adimu na utumwa,tumeshtuka asa tupo level ya uchuuzi I mean fremu....tukitoka hapo mda itafika tutakuwa ktk level ya kuproduce vya kwetu(production) hapo mtaona Kila mtaaa na kila frem imegeuka kuwa kiwandan kidogo.so muwe na subira
Shida ni nyie mliopo bado mmekalisha matako kwenye ofisi za watu(modern slave) afu mnapiga kelele eti mbona fremu nyingi mara sijui pale lugalo,pale kinyerez, sijui wap fremu zimejaaa ..my friend hao wameshavuka hatua ya kukalisha matako kwenye ofisi za watu wanaeleka production stage..shida ipo kwako utatokea lini kwenye hzo office za watu unapotumikishwa kama punda.
Wake up kabla hujawah nje ya mfumo.. fremu acha zizidi kujengwa coz ni hatua muhimu sana kuelekea stage ya production huwez ruka stage.😂😂😂
Bashungwa mwenyewe ni fremu tu.Mtu wa kwanzaaa kutolewa awe bashungwa inamaana yeye hakiona huu ujenzi na madhara yakee,,,,hv kweli wamekaaa wakawazaa wakaona fremu ndo chanzo cha mapato??jeshi likijenga viwanda na wakazalisha bidhaa wakawa na mastore watashndwa kupata kipato kweli??
Kwasasa watu hawafanyi kazi zaidi ya kusifia na mama ndo kabisaaa hasumbuki Inasikitishaa
Ndio jakaya aliona foleni ya magari akasema ni maendeleo kumbe ni miundombinu
Hahahaha wapiii? Aminia dogo pamoja kabisaMie mzee sio dogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Frame mchana
Mdangaji usiku
Frame ni Kama kichaka cha kujifichia
Fremu ziiiiiiiileeeeeee 😄
Kweli kaka. Hadi nami nashangaa. Ni kukosa ubunifu.Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.
Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.
Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.
Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?
Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
[emoji1787][emoji1787]Hehe, halafu anapaua kakibaraza. Miasha magumu sana.
MR.FREMUKweli kabisa aisee,hata kwenye nyumba yangu nimeweka fremu