Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

Ni ajabu sasa, hezbolla wa mbagala anapoona Israel inashindwa vita. Labda kitu ninachoweza kukubaliana na wewe ni kwamba, ni kweli hezbolla wanapiga sana, jana tu wamerusha rocket 200 na hakuna madhara makubwa. Myahudi hawezi kusimamisha vita kama hezbollah wana uwezo huo, amejitoa mhanga kupigana nao hadi awadhoofishe. kama haujui, kuna rocket karibia 100,000 laki moja hezbolla wanazo, hizo wanazorusha mia mbili ni kidogo tu kati ya nyingi walizo nazo. bahati mbaya myahudi ana intelijensia kali sana, anachofanya ni kupiga kwenye magala wanayotunzia, na zinalipuka sana, na upande ule wa syria zinakoingilia amepiga bom barabara ikawa shimo magari hayaingii wala kutoka, hivyo kama kuingiza silaha labda wabebe kichwani.

anachofanya ni kupiga maghala waliyohifadhia, na ameshapiga mengi na anaendelea kupiga na hiyo ndio justification ya israel kupiga Lebanon. in response ndio hezbollah wanarusha rocket 200 lakini they are not hat effective. ungekuwa wewe ungefanyeje, kama adui yupo jirani yako na ana roket laki moja ana mpango kurusha kwa wananchi wako, hata hivyo Mungu anaisaidia sana Israel, ilitakiwa iwe imeshaangamia kwa idadi ya rocket walizonazo hezbollah. na hicho ndicho kiburi alichokuwa nacho Hassan Nasraah, aliamini kwa rocket zile ataiangamiza israel, na Iran ndio kawapa hizo naye aliamini vijana wake wataiangamiza Israel. bahati mbaya israel itadumu ila wao wataangamia, its just a matter of time.

kwani Gaza bado kuna silaha za kurusha, si wamebaki na tuchache tu na hamas wamekufa karibia wote and soon watahamia westbank ili wapate sababu ya kujenga makazi mapya? Myahudi ana adhabu mbaya ambayo hata mimi siikubali, ukikamatwa gaidi zaidi ya kufungwa au kupigwa shaba, pia sheria inasema nyumba yako inatakiwa kuvunjwa. hivyo westbank sasaivi kuna majengo mengi yanavunjwa, na yakivunjwa ili ujenge lazima upate kibali toka kwao.
Mahubiri mengi halafu ushuzi wa bata yaani. Umeelewa habari au lugha tatizo?
 
View attachment 3122727
aljazeeraenglish

The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠
.⁠
#Israel could not have done this without US military aid, but it could have “done substantial damage on their own”, he said, adding that it is a “militarised society” and a “militarised economy”.⁠
.⁠
However, he said the war has not benefitted the Israeli economy, which is “flatlining and may even be in a recession”.⁠
.⁠
He said almost everybody in Israel from the ages of 18 to 30 has either been called up or served in the military, which has led to a loss of manpower.⁠
.⁠
In contrast, he said, he could presume that the #US, which is supplying the weapons, is manufacturing them using private companies, which are making a profit from the war on Gaza. ⁠
.⁠
🔗Tap the link in bio for 🔴 LIVE updates.⁠

kwa hali hii kama wataingia kwenye vita kamili na Iran basi wazayuni watazidi kuaibika,itoshe tu kusema wanajitutumua sana ila hali ni tete
Akili ndogo. Kwani wangekaa chini na wapalestina wakatekeleza azimio la Un kungekuwa na shida gani. Wapumbavu sana hawa wazayuni. Mungu alishawaacha wao Hawajui.
 
Back
Top Bottom