KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Usimlaumu yeye, labda uwe hujui hayo mambo nani huyatangaza.Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Tatizo ni upofu wa viongozi wa juu CCM.Hatutarudia tena kumkabidhi nchi mtu mshamba
Kama wa chattle sawa🚶Atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka
Nzee ya vijichanji asinufaike Tena🏃🏃Mtu muongo, laghai hasa akiwa mwanasiasa, namchukia kama ukoma.
Nawe unaye amini ujinga huo lazima unafaidika na uongo huo.
Bora hata kama umeacha unaa Kwa Leo TU,kwani ndio kadi ya Wanakijani🤔Tatizo ni upofu wa viongozi wa juu CCM.
Mimi mwana CCM, lakini kwa uongozi wa Awamu ya Tano, CCM haikulitendea haki Taifa hili.
Walileta mtu ambaye alianza kulimega Taifa vipande vipande, pamoja na CCM yenyewe.
Sikuwahi kuwa kinara wa kumtetea, pengine unaota tu.Usimlaumu yeye, labda uwe hujui hayo mambo nani huyatangaza.
Ajabu ni kwamba leo mimi namtetea yeye wakati yeye hawezi kujitetea; lakini wakati wa uhai wake ulikuwa kinara wa kumtetea!
Kwahiyo wa Royal Tour Peter ndio wa ukweli sio?Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Tunamuongelea yule aliyesema usije barabarani na mafi yako.Kwahiyo wa Royal Tour Peter ndio wa ukweli sio?
Una uwezo mdogo sana wa uelewa ndio maana hukuwahi kumuelewa Regendari Magufuli!Tunamuongelea yule
Tulionya mapema sanaYule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Kwa kukutukana usije na mafi yako mpaka kesho simuelewi!Una uwezo mdogo sana wa uelewa ndio maana hukuwahi kumuelewa Regendari Magufuli!
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.
Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Uongo ni upi hapo?Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.
Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Mhh hapakuwepo uchumi wa kati,sisi tulipeleka takwimu huko tukapewa hati ya fungate,lakini kumbe hata mlo mmoja ni shida,nyama ni kwa sikukuu.Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Ndio maana nasema yule jamaa fiksi tupu, hata takwimu alitaka ziwe zile anazozipika yeye.Mhh hapakuwepo uchumi wa kati,sisi tulipeleka takwimu huko tukapewa hati ya fungate,lakini kumbe hata mlo mmoja ni shida,nyama ni kwa sikukuu.
Tatizo tuliomwamini mno,kumbe mjomba Magu alikuwa anapika takwimu.Ndio maana nasema yule jamaa fiksi tupu, hata takwimu alitaka ziwe zile anazozipika yeye.
Lakini aliishia kujifunga goli.
Ww ndio fix kwa kuwa hauelewi hata kusoma data za dunia.Waliotangaza kuwa Tanzania ipo uchumi wa chini wa Kati ni World Bank.Sio JPM.JPM alitangaza baada ya wao kuhahinisha hizo data.Iliandikwa mpaka kwenye tovuti zao.Sasa ww unakuja hapa na ID fake unaanza kutudanganya.Unapenda kuanzisha vinyuzi fake,na unajadili uongo tu.Au elimu yako ni ya hapa na pale Kama Kubenea?Yaan inaonekana ww ni mshabiki tu ,ila hauelewi chochote.Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.