Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Usimlaumu yeye, labda uwe hujui hayo mambo nani huyatangaza.
Ajabu ni kwamba leo mimi namtetea yeye wakati yeye hawezi kujitetea; lakini wakati wa uhai wake ulikuwa kinara wa kumtetea!
 
Usimlaumu yeye, labda uwe hujui hayo mambo nani huyatangaza.
Ajabu ni kwamba leo mimi namtetea yeye wakati yeye hawezi kujitetea; lakini wakati wa uhai wake ulikuwa kinara wa kumtetea!
Sikuwahi kuwa kinara wa kumtetea, pengine unaota tu.
Kuna mambokweli alifanya vema lakini ubaguzi, ukabila utesaji, utekaji nyara, upendeleo wa eneo, utateteaji maovu hayo?
 
Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Tulionya mapema sana

FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Ukiona Kiongozi anayetumia nguvu na mabavu kuaminisha watu Jambo, huyo Ni Muongo. Kaa naye mbali. Ukweli huwa haujifichi Hadi kuhitaji nguvu nyingi na kumwaga damu za watu ili kuutangaza.
 
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.

No hatujaondolewa. Hayo ni maneno tu. Hamna mtu anayeweza kuthibitisha.
 
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Uongo ni upi hapo?
 
Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Ww ndio fix kwa kuwa hauelewi hata kusoma data za dunia.Waliotangaza kuwa Tanzania ipo uchumi wa chini wa Kati ni World Bank.Sio JPM.JPM alitangaza baada ya wao kuhahinisha hizo data.Iliandikwa mpaka kwenye tovuti zao.Sasa ww unakuja hapa na ID fake unaanza kutudanganya.Unapenda kuanzisha vinyuzi fake,na unajadili uongo tu.Au elimu yako ni ya hapa na pale Kama Kubenea?Yaan inaonekana ww ni mshabiki tu ,ila hauelewi chochote.
 
Back
Top Bottom