Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #101
Usiruke ruke, hatujamalizana, ndio maana unanirefer kwenye hii mada.Nilishamalizana nawe, huelewi kitu gani?
Kuwa concise, jibu swali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiruke ruke, hatujamalizana, ndio maana unanirefer kwenye hii mada.Nilishamalizana nawe, huelewi kitu gani?
Labda sasa tujadili hii lugha ya watu unayoitumia hovyo bila kujua unacholenga, lakini hilo la mada yako nimeshamalizana nawe.Usiruke ruke, hatujamalizana, ndio maana unanirefer kwenye hii mada.
Kuwa concise, jibu swali.
Jibu swali, be brief and to the point.Labda sasa tujadili hii lugha ya watu unayoitumia hovyo bila kujua unacholenga, lakini hilo la mada yako nimeshamalizana nawe.
Hii "concise" hapo umeitumia kwa maana gani?
Sasa ni vipi unipangie jinsi ya kujibu?Labda sasa tujadili hii lugha ya watu unayoitumia hovyo bila kujua unacholenga, lakini hilo la mada yako nimeshamalizana nawe.
Hii "concise" hapo umeitumia kwa maana gani?
Juzi mzee wa ubwabwa kamnanga Magufuli.Je ule wa viwanda nao umezamia wapi🤔
Kwani hujui kuwa uchumi wa kati mama yako kaunyea..Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Magufuli kinara wa wanyonge aliyeuteremsha uchumi wa kati kwa GDP toka 7% hadi 3.8%.Kwani hujui kuwa uchumi wa kati mama yako kaunyea..
Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Acheni comedy unawatangazia watu uchumi wa Kati halafu likija suala la kuongeza mishahara unawaambia watu Hali ya kifedha siyo nzuri. Ndivyo tulivyoishi miaka 7 tukidanganywa na kupuliziwa
Magufuli kinara wa wanyonge aliyeuteremsha uchumi wa kati kwa GDP toka 7% hadi 3.8%.
Angepata kuongoza miaka mingine mitano, sote tungekuwa wanyonge wa uchumi wa kati.
Jamaa alikuwa kiboko kwa ghiliba na fiksi.
Yule mzee kaharibu sana hii nchi inabidi afukuliwe asomewe mashtaka ikiwezekana afungwe kabisa hata miaka mitano au mwili wake uwekwe uwanja wa taifa kila mtanzania atakayepata nafasi amuweke kiboko kimoja,kiukweli katupitisha nyakati ngumu sana kama nchi
Yeye mwenyewe alikuwa mwongo hakuna mfano wake.
Awamu ya tano kila fiksi ilitumika kupumbaza watu, kwa faida za kisiasa
Ndio maana nasema yule jamaa fiksi tupu, hata takwimu alitaka ziwe zile anazozipika yeye.
Lakini aliishia kujifunga goli.
Ww ndio mpumbavu na mjinga.Tena huna akili Kabisa.Kwa hiyo hNa kuporomokakwa GDP toka 7% hadi 3.8% ni data fake?
Ndiyo maana hamna akili sana nyie economists wa bongo, kuiba mitihani tu!
Ww ndio mpumbavu na mjinga .Tena huna akili Kabisa.Kama GDP ilishuka kutoka 7%hadi 3.8%,ilikuwa siyo data fake.Lakin tuliambiwa uchumi umepanda na kuwa uchumi wa Kati ni data fake.Aidha lazima ujue kuwa GDP ilishuka kutoka a na covid .Kama isingekuwa covid tungefika mwezini.Nchi zote zilihasirika.Lakin kwa kuwa ww Ni pimbi tu.Na haujui kitu,unaendekeza uchawa ili upate msosi basi upo Kama kipofu.Tunao wapumbavu Kama ww wengi Sana hapa Tanzania .Yaan ni machawa tu.Na kuporomokakwa GDP toka 7% hadi 3.8% ni data fake?
Ndiyo maana hamna akili sana nyie economists wa bongo, kuiba mitihani tu!
"Zilihasirika", 😂🤣😂Ww ndio mpumbavu na mjinga.Tena huna akili Kabisa.Kwa hiyo h
Ww ndio mpumbavu na mjinga .Tena huna akili Kabisa.Kama GDP ilishuka kutoka 7%hadi 3.8%,ilikuwa siyo data fake.Lakin tuliambiwa uchumi umepanda na kuwa uchumi wa Kati ni data fake.Aidha lazima ujue kuwa GDP ilishuka kutoka a na covid .Kama isingekuwa covid tungefika mwezini.Nchi zote zilihasirika.Lakin kwa kuwa ww Ni pimbi tu.Na haujui kitu,unaendekeza uchawa ili upate msosi basi upo Kama kipofu.Tunao wapumbavu Kama ww wengi Sana hapa Tanzania .Yaan ni machawa tu.
Watanzania mnazungumza kuhusu ukabilaaaaa......[emoji849][emoji849]"Zilihasirika", [emoji23][emoji1787][emoji23]
Rudi kwenu uhutuni!
Allianzisha mwendazake!Watanzania mnazungumza kuhusu ukabilaaaaa......[emoji849][emoji849]
ZILIKUWA KELELE ZA MWENDAZAKEYule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watu wa aina yako ndio tulio nao wengi ndani ya taifa hili..., vigeugeu bila hata chembe ya aibu!Mtu muongo, laghai hasa akiwa mwanasiasa, namchukia kama ukoma.
Nawe unaye amini ujinga huo lazima unafaidika na uongo huo.