Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Subpost 2 - WANAFUNZI WAFANYIA MTIHANI CHINI YA MTI.  Baadhi ya wanafunzi wa shu ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 1 - WANAFUNZI WAFANYIA MTIHANI CHINI YA MTI.  Baadhi ya wanafunzi wa shu ( 480 X 640 ).jpg

Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
 
Acha porojo hata huko kwenye uchumi wa juu kuna masikini na ambao hawajui hata kesho ataamuka vipi, tembea uone usiishie Kajunjumele na Hai kwa mungu wenu
.Nafikiri pia hujui maana ya kukua kwa uchumi nadhani wewe sawa na wale walioamini Mzee mapesa aliposema atawajaza mapesa wakaamini kweli watajazwa mapesa,roho imekuuma kwa sababu hizo takwimu hazikuletwa na akina Twaweza,bali zimeletwa na hao hao mnaowalamba viatu na kuwatukuza kila kukicha. Nyuso zimewaparama na kuwashuka shuu, anzeni lingine.
 
Acha porojo hata huko kwenye uchumi wa juu kuna masikini na ambao hawajui hata kesho ataamuka vipi, tembea uone usiishie Kajunjumele na Hai kwa mungu wenu
Uchumi wa kati soko la mpunga wenu wa Talatala hakuna ! hivi wazee wetu wanapataje hela huko ? umpunga gufwile , imikoko gyope gifwile , Fidahusein na Mo bhabhopile , Kyecu jope jifwile !
 
Uchumi wa Kati uko kwa wanasiasa! Tazama nyumba zao! Maharishi Yao! Watoto was! Wake zap! Ndiyo maana vijana wengi na maprofesa wamejikita huko sasa hvi. Mahali pengine penye uchumi wa kati ni kwa madhehebu ya dini kwani kidogo tunachopata tunawapelekea!
 
Bora tungechelewa kupata uhuru hata hadi mwaka 1990 kuliko ule wa 61 chini ya Mwl,
Hii nchi kosa halikufanyika leo wala jana.
Hii kauli sitaisapoti hata nikifa. Ujinga uchoyo na ubinafsi wa baadhi ya viongozi wetu ndio uliotufikisha hapa. Rais na Wabunge wetu vipaumbele vyao ni:-
1.Familia zao
2.Vyama vinavyowadhamini.
3.Nchi
 
View attachment 1501370View attachment 1501371

Hii ni shule ya sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
Hiyo shule ipo vizuri bhana ungeuliza sababu ya wao kufanya hivyo wala usingeleta huu uzi wako.Kuna shule huku jirani watoto hasa wa darasa la mitihani mwalimu akitaka kuwapa test anawatoa nje kisha anawakalisha mbalimbali kama hivyo madawati wanaacha ndani.Njoo upige picha na huku.
 
Hii kauli sitaisapoti hata nikifa. Ujinga uchoyo na ubinafsi wa baadhi ya viongozi wetu ndio uliotufikisha hapa. Rais na Wabunge wetu vipaumbele vyao ni:-
1.Familia zao
2.Vyama vinavyowadhamini.
3.Nchi
Ndo nilichomaanisha hata mimi
 
Bora tungechelewa kupata uhuru hata hadi mwaka 1990 kuliko ule wa 61 chini ya Mwl,
Hii nchi kosa halikufanyika leo wala jana.
Ndiyo maana huwa nashangaa mnaomshangilia Nyerere eti alileta uhuru. We were a protectorate, not a colony! Tulikuwa tunallewa tukue, tuwe na akili tujiendeshee mambo yetu wenyewe/tujitawale. Mkaharakisha sasa mmeshindwa kuwahudumia watu wenu. Mnauana... rubish all the way!
 
Back
Top Bottom