Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Asumini  Milanzi (kulia) baada  ( 430 X 640 ).jpg
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
 
Angalia mwamerika huyu anayeishi kwenye nchi yenye uchumi wa juu

1595099648155.png


Nafikiri kuna haja ya kuiandikia Benki ya Dunia barua ya kupinga kuwa Tanzania haijafikia uchumi wa kati.
 
View attachment 1510539

Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga , hawa ndio watanzania wa uchumi wa kati .

Ninatafuta ' Logical Connection ' kati ya ' Headline ' yako na ' Content ' ya huu Uzi wako lakini bado sijaiona sana sana ninaona ni Upuuzi mtupu tu.
 
Kwanza nyumba imejengwa na matofali ya kuchoma mazuri tu mbona Bahari beach hotel ambayo ni ya kitalii kabla ya kuungua ilikuwa imeezekwa kwa nyasi kwani serikali ilikuwa maskini? kuezeka nyasu pia ni fashion ndugu yangu. Inaelekea huu uchumi wa kati unawachoma sana usijali hii sawa tu na kutoka darasa la saba kwenda form one
 
Tofali safi sana za kuchoma, changamoto bati. Tumwombee bibi aishi aje abadili paa lake. Akipiga bati atakuwa hatua kadhaa mbele kuliko lile jengo la makao makuu yetu pale Kinondoni.
 
Chadema mnahitaji sambamba na.uchumi wa kati mpewe kisomo chenye manufaa juu ya.maana ya uchumi wa nchi. In advance ni kwamba maskini hawataisha hapo hata tukiingia uchumi wa kiwango cha lami. Jielimisheni kwanza ndo mje public
 
Back
Top Bottom