Huyu kwa taarifa yako kila mwisho wa mwezi naenda kuchukua hela ya bure serekalini!Angalia mwamerika huyu anayeishi kwenye nchi yenye uchumi wa juu
View attachment 1510546
Nafikiri kuna haja ya kuiandikia Benki ya Dunia barua ya kupinga kuwa Tanzania haijafikia uchumi wa kati.
Halafu hela hiyo inakwenda wapi kama bado anakuwa ombaombaHuyu kwa taarifa yako kila mwisho wa mwezi naenda kuchukua hela ya bure serekalini!
Omba Omba yule na wengine kama yeye uwa na matatizo ya Kula madawa ya kulevya.. Kwa kifupi wengi wao mateja.. Omba Omba wa mtoni usomlinganishe na kwetu. Na mpaka sehemu za kuishi za bure zipo ( zinaitwa shelters). Ila wa nakuwa hawataki kukaa kule kwa sababu ya masharti magumu, mf mida ya Kula, kulala, kurudi saa ngapi, kutokunywa pombe nk ndiyo maana unaowaona mtaani.Halafu hela hiyo inakwenda wapi kama bado anakuwa ombaomba
Aina ya SwalaNaona Kuna range Rover 2 zimepaki karibu na Babu.
endelea kuitegea sikio Chadema makao makuuMkuu, lile wazo la kugombea ubunge Kyela ushaanza kulitendea kazi?
Unatoka hapo, unaingia kwenye vx, basikeli na wakulima wote pembeni wanatimuliwa vumbi na ma VX8! Halafu akifika home mamlo na mavinywaji kwenye friji Kama yote yani! Na masaluti juu!View attachment 1510539
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga , hawa ndio watanzania wa uchumi wa kati , pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa .
[emoji110]endelea kuitegea sikio Chadema makao makuu
Mkuu, wewe kama umezaliwa na kukulia kwenye nyumba na mazingira mazuri basi ni heri yako, mshukuru Mungu. Sisi wengine tumezaliwa, tumekulia, tumesomea, kwenye nyumba ambazo hata hiyo ni nzuri, kamwe hatuwezi kuwa-look down wazazi wetu na mazingira yao eti kwa lengo la kufurahisha umati wa kisiasa. Ni wapi Tanzania, including majimbo na halmashauri zinazoongozwa na chadema, ambako hautakuta nyumba kama hizo? Au wewe mwenzetu umekulia mjini nini? Sisi wengine tuliotokea kwenye nyumba za tembe huko vijijini tunaona tena hiyo nyumba ni nzuri sana. Mama kapiga hatua ya maendeleo. Wewe endelea kucheka.Dharau ni nini ?
Ni tofauti kabisa kumlinganisha yule bibi na huyo Mmarekani.Angalia mwamerika huyu anayeishi kwenye nchi yenye uchumi wa juu
View attachment 1510546
Nafikiri kuna haja ya kuiandikia Benki ya Dunia barua ya kupinga kuwa Tanzania haijafikia uchumi wa kati.
New model kabisaNaona Kuna range Rover 2 zimepaki karibu na Babu.
Nashangaa kidogo kwa nini ameutumia huo mfano ambao ni vitu mbalimbali kabisa kumlinganisha na huyu bibi yetu hapa.Huyu kwa taarifa yako kila mwisho wa mwezi naenda kuchukua hela ya bure serekalini!
Sio BMW?Naona Kuna range Rover 2 zimepaki karibu na Babu.
ndio maana nyuzi kama hizi Zinaletwa ili wadau mfungukeNi tofauti kabisa kumlinganisha yule bibi na huyo Mmarekani.
Huu ni mfano wa hovyo kabisa wa kulinganisha.
Lakini mimi nayaona matumaini makubwa sana kwa yule bibi na familia yake.
Kwanza nyumba yake kuezekwa kwa nyasi si hoja. Hiyo nyumba ilivyo haimuonyeshi kuwa hali yake ya kipato ni duni. Kuna vitu vingine kwenye picha hiyo vinavyoweza kuonyesha kupungukiwa kwa bibi na watu wake
Dar es Salaam yetu ya leo pale kariakoo ni tofauti kabisa na Dar es salaam ya miaka michache iliyopita. Ukitafuta picha za Uhuru 1961, utaiona Kariakoo ile ikiwa na vijumba vya makuti. Magomeni nzima kuondoa 'kota' ilikuwa ni makuti tupu. Leo huyaoni tena.
Na hizi nyuma huko vijijini zimeanza kupotea, ndio maana nadhani hata mleta mada akaona aitumie kama mfano wa hoja yake (ambayo kwa bahati mbaya ni kinyume cha anayoyashikia bango).
Sio hivyo tu, hiyo hiyo Marekani, rudi nyuma miaka 30 tu uangalie hali za maisha ya wananchi wake ni tofauti kabisa na hawa unaowaona leo.
Tanzania yetu hii, ikitulizana, ikaacha kufanya mambo ya hovyo hovyo yasiyofaa (nazungumzia viongozi waliolewa madaraka na kukandamiza wananchi bila ya sababu zozote); ipe miaka kumi, (inawezekana huyo bibi akawa hayupo wakati huo, lakini hilo ni kudra za Mwenyezi Mungu); Lindi hiyo itakuwa tofauti sana na hii Ruangwa ya leo.
Tumefikia kwenye 'inflection point' ambapo tunatakiwa kuanza kuona mabadiliko ya maisha ya watu yakitokea kwa haraka sana.
Kwa sababu wewe ni kiongozi wa mapopoma duniani lazima uone upuuzi mtupu.Ninatafuta ' Logical Connection ' kati ya ' Headline ' yako na ' Content ' ya huu Uzi wako lakini bado sijaiona sana sana ninaona ni Upuuzi mtupu tu.
Wewe na wote walicomment kudai kuwa umaskini wa Marekani ni wa madawa ya kuelevya na eti umaskini huo hauwezi kulinganishwa na wa Tanzania hamuijui Marekani na manzungunguza ya kusimuliwa na kuona kwenye TV tu. Wote hamjawahi kuishi Marekani kabisa, kwa hiyo mnadhani maisha ya wenzentu ni ya mtelemko tu.Omba Omba yule na wengine kama yeye uwa na matatizo ya Kula madawa ya kulevya.. Kwa kifupi wengi wao mateja.. Omba Omba wa mtoni usomlinganishe na kwetu. Na mpaka sehemu za kuishi za bure zipo ( zinaitwa shelters). Ila wa nakuwa hawataki kukaa kule kwa sababu ya masharti magumu, mf mida ya Kula, kulala, kurudi saa ngapi, kutokunywa pombe nk ndiyo maana unaowaona mtaani.
Ni tofauti kabisa kumlinganisha yule bibi na huyo Mmarekani.