CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Ndio Dollar ya Zimbabwe ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania, ingia kwenye tovuti ya BOT au Google uoneHela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Dollar ya Zimbabwe ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania, ingia kwenye tovuti ya BOT au Google uoneHela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
We jamaa sio chizi? Sasa pesa ya Rwanda imekujaje hapo?Unaijua pesa ya Rwanda??? Au umekaririshwa Kenya na SA tu!!!
Unajua kwanini Zimbabwe wakaanza kutumia dola?Ndio Dollar ya Zimbabwe ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania, ingia kwenye tovuti ya BOT au Google uone
Haya Angola iko wapi hapo?View attachment 2585155Angola wametuzidi uchumi. Zambia na Zimbabwe pesa zao takataka, hadi Zambia wakatoa sifuri. Kwa nchi kubwa huwezi husianisha uchumi wao na thamani ya fedha. Kama China wanashusha makusudi ili wauze zaidi. Lakini kwetu sisi hohehahe huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi.
Kheee we jamaa, Pesa ya Zimbabwe inaitwa DOLLAR, dola ni jina la Sarafu, kama ilivyo kwa SHILINGI inavyotumika KENYA, UGANDA, TANZANIA na SOMALIA.Unajua kwanini Zimbabwe wakaanza kutumia dola?
Wamefanya denomination. Wametoa masifuri kibao. Ni kama leo useme Tsh 1m iandikwe 10,000. Mshahara mtu alipwe 8000 badala ya 800,000. Haamaanishi pesa inathamani.1 ZIM$ sawa na 6 TZS
Fanya wewe sasa, unashindwa nini kufanya? Dola ya US inazidiwa thamani na pesa kibao, ila hakuna nchi inaizidi USA kwa utajiri Duniani hapa. Sarafu sio kigezo cha uimara wa uchumi, acha hizi drama.Wamefanya denomination. Wametoa masifuri kibao. Ni kama leo useme Tsh 1m iandikwe 10,000. Mshahara mtu alipwe 8000 badala ya 800,000. Haamaanishi pesa inathamani.
Waluchapisha hadi note za dola laki 1 baada ya hela yao kuwa kama karatasi.Kheee we jamaa, Pesa ya Zimbabwe inaitwa DOLLAR, dola ni jina la Sarafu, kama ilivyo kwa SHILINGI inavyotumika KENYA, UGANDA, TANZANIA na SOMALIA.
Umetoa wapi hizo data? Angola kampita hata Kenya Kwenye GDP. Tafuta GDP ya Angola uone.Haya Angola iko wapi hapo?View attachment 2585155View attachment 2585156
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waLIchapisha sio? Hiyo LI unajua maana yake lkn?Waluchapisha hadi note za dola laki 1 baada ya hela yao kuwa kama karatasi.
Ukienda kununua mkate unabeba gunia la hela
Sasa walifanya nini? Walinunua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waLIchapisha sio? Hiyo LI unajua maana yake lkn?
Labda nijibu hapo kwa TZ ni kwamba, tatizo linajulikana mafisadi yameiba pesa zetu na hayafanywi chochote. Rejea riport ya CAGJuzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Una muuliza nani? We si mjuaji? Haya katafute majibu sasa uje useme hapa kati ya Pesa ya Zimbabwe na Pesa ya Tanzania ipi yenye thamani?Sasa walifanya nini? Walinunua?
Denomination haiongezi thamani ya pesa. Ni kiini macho cha kisaikolojia tu. Na nimekwambia kuwa ni kweli thamani ya pesa si kigezo cha uchumi mkubwa ila ni kwa hizo nchi kubwa. Huku kwetu huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumiFanya wewe sasa, unashindwa nini kufanya? Dola ya US inazidiwa thamani na pesa kibao, ila hakuna nchi inaizidi USA kwa utajiri Duniani hapa. Sarafu sio kigezo cha uimara wa uchumi, acha hizi drama.
Basi Somalia wana uchumi imara kiongozi, sisi hakuna nchi tunayoizidi hapa Afrika. Tumalize ubishi.Denomination haiongezi thamani ya pesa. Ni kiini macho cha kisaikolojia tu. Na nimekwambia kuwa ni kweli thamani ya pesa si kigezo cha uchumi mkubwa ila ni kwa hizo nchi kubwa. Huku kwetu huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi
Mbaya zaidi kila raila au upinzani wanaloongea nao wanajibu. Hiyo sio sifa ya kiongozi shupavuRuto na Gachagua wamezidi kuongea sana. Wanaongea kama cherahani lakini vitendo hamna.
Walizani kuendesha nchi ni rahisi kama kuendesha baiskeli ya miguu mitatu.
Waachane na siasa za majukwaani, wajifungie ofisini na kufanya kazi ya kutatua matatizo ya wananchi.
Kwa sasa Ruto ni kama 'teenage president'. Yuko after media popularity badala ya kushughulika na issues...
Unaongeaga ujinga sana, lini Angola aliizidi uchumi Tanzania? Acha fix, chukua data GDP per capita (current LCU) - Africa | Data ujifunze zaidi kuhusu nchi yako, achana na kelele za mitandoni hizi.Umetoa wapi hizo data? Angola kampita hata Kenya Kwenye GDP. Tafuta GDP ya Angola uone.
Hiyo iko redenominated. Wanatoa tu masifuri. Currency ni suala tata. Huwezi kulielezea kwa namna moja tu. Kuna upande thamani ya pesa haihusiani na uchumi na kuna upande huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi. Kuna watu pesa ikiwa na thamani ni faida kwao, kuna watu wanatamani ishuke.Basi Somalia wana uchumi imara kiongozi, sisi hakuna nchi tunayoizidi hapa Afrika. Tumalize ubishi.
Hoja yako haina mashiko, kama Unakubali thamani ya Pesa haina uhusiano na uchumi then kwanini ulazimishe kwa upande fulani tu? Currency ni ishu ya worlwide mzee so porojo zako ndio tunazikemea hapa.
Kama unajua ni tata hapa unabwabwaja nini? Lengo la uzi huu ni nini kama unajua mambo ya currency kuwa ni tata? Umeutatua utata huo?Hiyo iko redenominated. Wanatoa tu masifuri. Currency ni suala tata. Huwezi kulielezea kwa namna moja tu. Kuna upande thamani ya pesa haihusiani na uchumi na kuna upande huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi. Kuna watu pesa ikiwa na thamani ni faida kwao, kuna watu wanatamani ishuke.