Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Halafu mabeberu yanatusifia kuwa tunafanya vizuri sana na sisi tunashangilia.
 
The Late Mwai Kibaki he was a Kenya President of all time upumzike kwa amani mzee wangu
 
Na hii yetu tunachukua dabodao ikimature itakuwaje?
Tanzania ina program tofauti sana, na wenzetu, Isipokuwa mwenda zake ndiye angetuingiza mkenge, kwa kukopa kwenye mabenki ya kibiashara, Tanzania huwa tunachukuwa soft loan zenye riba below 2.5% kwa long term, pia huwa tuna program ya kulipa kila wakati, ndio maana utashangaa barabara ya uhuru mkopo wake uliizinishwa mwaka 1963 lakini tulimaliza deni 2020.
 
Kati ya nchi masikini na raia wake wanateseka huku wakijiona matajiri ni KENYA.
 
Na hii yetu tunachukua dabodao ikimature itakuwaje?
Mikopo imechukuliwa tangu enzi za Nyerere na imekuwa ikilipwa. Hata USA anachukua mikopo mingi kuliko nchi yeyote duniani. Cha muhimu ni hiyo mikopo inafanya kazi zipi? Na je iko him ilikuwa??
 
Back
Top Bottom