Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Uchumi wa Tanzania unajua.kwa Kasi Sana east and.Central tumebakisha Kenya pekee,hivyo tuchape Kazi,jana nilikuwa mitaa ya kaliakoo,nilichokiona watu wanapiga Kazi kama vichaa.

Mkuu una tatizo la uandishi kwa ufasaha, hapo kariakoo kuna zalishwa nini ama ni uchuuzi?
 
Na hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
Tungekuwa na bureu ex rate ingekuwa
1$ =4563 mpaka leo
 
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Siku ya maandamano kshs ikifika 15
 
Kuandika kwa usahihi kunaakisi uwezo wako wa kuelewa mambo.
Hivi unajua kuwa Kila Nchi ya Africa ilipopata uhuru nini kilikuwa token yake kwenye uchumi,je wajua kwanini Magu alisema gesi ilishabebwa na mabeberu,je wajua hata Marekani mafuta wanachimba BP,kumbuka Ile issue ya oil spill,in any factual issue we are slave
 
Sasa thamani ya Pesa na Uchumi mbona haviendani mkuu??
Siyo kweli. Thamani ya fedha ni indicator muhimu ya uchumi. Kama una import sana utakuwa unanunua sana fedha za nje, hivyo siyo rahisi kuwa na stable currency
 
Siyo kweli. Thamani ya fedha ni indicator muhimu ya uchumi. Kama una import sana utakuwa unanunua sana fedha za nje, hivyo siyo rahisi kuwa na stable currency
Rudi kasome tena
 
Hivi unajua kuwa Kila Nchi ya Africa ilipopata uhuru nini kilikuwa token yake kwenye uchumi,je wajua kwanini Magu alisema gesi ilishabebwa na mabeberu,je wajua hata Marekani mafuta wanachimba BP,kumbuka Ile issue ya oil spill,in any factual issue we are slave
Hoja yako ni ipi hapa dogo?
 
Angola wametuzidi uchumi. Zambia na Zimbabwe pesa zao takataka, hadi Zambia wakatoa sifuri. Kwa nchi kubwa huwezi husianisha uchumi wao na thamani ya fedha. Kama China wanashusha makusudi ili wauze zaidi. Lakini kwetu sisi hohehahe huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi.
Mkuu sina nyongeza zaidi. Ila asiyeelewa uhusiano wa uchumi na thamani ya fedha aje asome hapa. Pili umegusia suala la kutoa masufuri kwenye hela ya Zambia mwaka 2012.

Nguvu ya fedha unaipima kwa thamani ya kitu inachokinunua baada ya kuibadili kwenye currency unayoitaka, na siyo pale mnapo badilishana hela
 
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Mikopo mingi ya Kenya Imefikia maturity na kulipa ni lazima.
 
Back
Top Bottom