Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Haya Angola iko wapi hapo?View attachment 2585155
 
Unajua kwanini Zimbabwe wakaanza kutumia dola?
Kheee we jamaa, Pesa ya Zimbabwe inaitwa DOLLAR, dola ni jina la Sarafu, kama ilivyo kwa SHILINGI inavyotumika KENYA, UGANDA, TANZANIA na SOMALIA.
 
Wamefanya denomination. Wametoa masifuri kibao. Ni kama leo useme Tsh 1m iandikwe 10,000. Mshahara mtu alipwe 8000 badala ya 800,000. Haamaanishi pesa inathamani.
Fanya wewe sasa, unashindwa nini kufanya? Dola ya US inazidiwa thamani na pesa kibao, ila hakuna nchi inaizidi USA kwa utajiri Duniani hapa. Sarafu sio kigezo cha uimara wa uchumi, acha hizi drama.
 
Kheee we jamaa, Pesa ya Zimbabwe inaitwa DOLLAR, dola ni jina la Sarafu, kama ilivyo kwa SHILINGI inavyotumika KENYA, UGANDA, TANZANIA na SOMALIA.
Waluchapisha hadi note za dola laki 1 baada ya hela yao kuwa kama karatasi.

Ukienda kununua mkate unabeba gunia la hela
 
Waluchapisha hadi note za dola laki 1 baada ya hela yao kuwa kama karatasi.

Ukienda kununua mkate unabeba gunia la hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waLIchapisha sio? Hiyo LI unajua maana yake lkn?
 
Labda nijibu hapo kwa TZ ni kwamba, tatizo linajulikana mafisadi yameiba pesa zetu na hayafanywi chochote. Rejea riport ya CAG
 
Sasa walifanya nini? Walinunua?
Una muuliza nani? We si mjuaji? Haya katafute majibu sasa uje useme hapa kati ya Pesa ya Zimbabwe na Pesa ya Tanzania ipi yenye thamani?

Na kama hujui SHILINGI YA SOMALIA INA THAMANI KUBWA KULIKO SHILINGI YA TANZANIA.
 
Fanya wewe sasa, unashindwa nini kufanya? Dola ya US inazidiwa thamani na pesa kibao, ila hakuna nchi inaizidi USA kwa utajiri Duniani hapa. Sarafu sio kigezo cha uimara wa uchumi, acha hizi drama.
Denomination haiongezi thamani ya pesa. Ni kiini macho cha kisaikolojia tu. Na nimekwambia kuwa ni kweli thamani ya pesa si kigezo cha uchumi mkubwa ila ni kwa hizo nchi kubwa. Huku kwetu huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi
 
Basi Somalia wana uchumi imara kiongozi, sisi hakuna nchi tunayoizidi hapa Afrika. Tumalize ubishi.
Hoja yako haina mashiko, kama Unakubali thamani ya Pesa haina uhusiano na uchumi then kwanini ulazimishe kwa upande fulani tu? Currency ni ishu ya worlwide mzee so porojo zako ndio tunazikemea hapa.
 
Mbaya zaidi kila raila au upinzani wanaloongea nao wanajibu. Hiyo sio sifa ya kiongozi shupavu
 
Hiyo iko redenominated. Wanatoa tu masifuri. Currency ni suala tata. Huwezi kulielezea kwa namna moja tu. Kuna upande thamani ya pesa haihusiani na uchumi na kuna upande huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi. Kuna watu pesa ikiwa na thamani ni faida kwao, kuna watu wanatamani ishuke.
 
Kama unajua ni tata hapa unabwabwaja nini? Lengo la uzi huu ni nini kama unajua mambo ya currency kuwa ni tata? Umeutatua utata huo?

Ndio maana nimesema umeandika UPUPU, kichwa box unataka kujadili vitu CHUMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…