Uchumi wa Tanzania unajua.kwa Kasi Sana east and.Central tumebakisha Kenya pekee,hivyo tuchape Kazi,jana nilikuwa mitaa ya kaliakoo,nilichokiona watu wanapiga Kazi kama vichaa.
Tungekuwa na bureu ex rate ingekuwaNa hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
Kabisa na huyu aliyekuwepo awamu ya 5 na anaendelea anaharibu kabisa, mara mia ya magufuli kuliko huyu na yule aliachiwa na MkapaAliyeharibu thamani ya shilingi ni Magufuri.
Kama ni positive fine,lakini Zambia na malawai kuna Swahili market,Dubai pia Canada na hata UK na Zurich sasa nitembee wapi Tena mkuu kama kote huko tayariTembea uone acha porojo.
Sijawahi ona uandishi fasaa umelipa bill zangu any way.Pleae hustleMkuu una tatizo la uandishi kwa ufasaha, hapo kariakoo kuna zalishwa nini ama ni uchuuzi?
Sijawahi ona uandishi fasaa umelipa bill zangu any way.Pleae hustle
Siku ya maandamano kshs ikifika 15Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Hivi unajua kuwa Kila Nchi ya Africa ilipopata uhuru nini kilikuwa token yake kwenye uchumi,je wajua kwanini Magu alisema gesi ilishabebwa na mabeberu,je wajua hata Marekani mafuta wanachimba BP,kumbuka Ile issue ya oil spill,in any factual issue we are slaveKuandika kwa usahihi kunaakisi uwezo wako wa kuelewa mambo.
Siyo kweli. Thamani ya fedha ni indicator muhimu ya uchumi. Kama una import sana utakuwa unanunua sana fedha za nje, hivyo siyo rahisi kuwa na stable currencySasa thamani ya Pesa na Uchumi mbona haviendani mkuu??
Rudi kasome tenaSiyo kweli. Thamani ya fedha ni indicator muhimu ya uchumi. Kama una import sana utakuwa unanunua sana fedha za nje, hivyo siyo rahisi kuwa na stable currency
Hoja yako ni ipi hapa dogo?Hivi unajua kuwa Kila Nchi ya Africa ilipopata uhuru nini kilikuwa token yake kwenye uchumi,je wajua kwanini Magu alisema gesi ilishabebwa na mabeberu,je wajua hata Marekani mafuta wanachimba BP,kumbuka Ile issue ya oil spill,in any factual issue we are slave
Mkuu sina nyongeza zaidi. Ila asiyeelewa uhusiano wa uchumi na thamani ya fedha aje asome hapa. Pili umegusia suala la kutoa masufuri kwenye hela ya Zambia mwaka 2012.Angola wametuzidi uchumi. Zambia na Zimbabwe pesa zao takataka, hadi Zambia wakatoa sifuri. Kwa nchi kubwa huwezi husianisha uchumi wao na thamani ya fedha. Kama China wanashusha makusudi ili wauze zaidi. Lakini kwetu sisi hohehahe huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi.
Leta argument ya kutaalamu acha sweeping statementsRudi kasome tena
This is a jock,you toon calling me DogoHoja yako ni ipi hapa dogo?
Mbona watu wakali Sana leo,ok,CAG report hangoverLeta argument ya kutaalamu acha sweeping statements
Ndiyo. Ina thamani kubwa kuliko ya kwetu.Hela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
Mikopo mingi ya Kenya Imefikia maturity na kulipa ni lazima.Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Na hii yetu tunachukua dabodao ikimature itakuwaje?Mikopo mingi ya Kenya Imefikia maturity na kulipa ni lazima.