joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Acha ujinga, our debts is $53b.
Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.
Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.
Hiyo ni sawa na $26BDeni la Taifa Tanzania Tsh.55.43 Trillion, GDP Tshs.144Trillion., population almost 60Million, annual revenue collection balaa!..., technically Tz iko pabaya pia[emoji23]
Tanzania’s national debt stands at Sh55.43 trillion, Govt says
MADENI: Uchumi wa Kenya katika hatari ya kuzama
Hahahaha, Hahahaha
Majuzi ilikuwa USD 60B! Ikashukaje sasa wakati daily mnakopa!Acha kuniletea sources za kichawi ati ni evidence. Our finance minister just said that our public debts stand at 57% of the GDP. That's around $53b. I know huwa kinakuuma sana kuona Kenya wanalia deni yao on time, sio kama nyinyi wenye mnashindia kulipa deni hadi msamehewe.
?$ -72$Billions =Kenya really GDPHiyo ni sawa na $26B
GDP $62B
62 - 26 = 36B
Hii maana yake ni kwamba uchumi halali wa Tanzania ni $36B.
Don't forget we also pay other existing debts. We are not Tanzania that doesn't pay it's debts.Majuzi ilikuwa USD 60B! Ikashukaje sasa wakati daily mnakopa!
Japan has given loans to African countries in terms of Billions of Dollar, the same as US, how comes a country with such amount of debts but still gives loans and grants to other countries around the world?. Tumia akili wewe KunyamanDon't forget we also pay other existing debts. We are not Tanzania that doesn't pay it's debts.
Don't forget with all our debts we gave you grants. Anyway, this year we are going to use $9b for payment of debts and I think you should learn from us and stop embarrassing EAC by not being able to pay your debts.Japan has given loans to African countries in terms of Billions of Dollar, the same as US, how comes a country with such amount of debts but still gives loans and grants to other countries around the world?. Tumia akili wewe Kunyaman
Eh tanzania used around 7trillion hadi april this year kulipa debts ....thts around 3.3 bil usd...Don't forget we also pay other existing debts. We are not Tanzania that doesn't pay it's debts.
Hakuna namna deni lenu linaweza kushuka kipindi hiki! Rate yenu ya kukopa ipo juu na mambo ya curfew bado mnayaendekeza.Don't forget we also pay other existing debts. We are not Tanzania that doesn't pay it's debts.
But kulipa deni ya $14m imewashinda. Huoni hiyo ni aibu?😂😂Eh tanzania used around 7trillion hadi april this year kulipa debts ....thts around 3.3 bil usd...
Next budget year its planned to use 10tril..like 4.6bil usd to pay debts
Who are you to dispute our financial minister? Remember not all the money we received we all loans, others were grants and donations. And we also pay our debts monthly.Hakuna namna deni lenu linaweza kushuka kipindi hiki! Rate yenu ya kukopa ipo juu na mambo ya curfew bado mnayaendekeza.
I suppose your debt increases exponentially!