Uchumi wa Kenya wazidi kuelekea kuzimu, deni la Taifa kufikia $72B baada ya bajeti ya leo

Uchumi wa Kenya wazidi kuelekea kuzimu, deni la Taifa kufikia $72B baada ya bajeti ya leo

Tukitoa madeni kwa GDP ya japani ambayo ni over 200% ya GDP watakua na -ve number kwa GDP, so Africa na nchi kama yako yenye ukiondoa deni inabaki $36B mko sawa kushinda Japan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona mahali pedestrian reasoning inakubwaga?., ata tukiwa na deni 100% ya GDP na nyie mko na 40% ya GDP, (ceteris Paribas: all factors remaining constant), bado tutakua na uchumi mkubwa na wenye nguvu kushinda wenyu.
Lanes halafu tukitoa hilo deni kutoka GDP yenu inabaki kama GDP ya Burundi!
 
Kwahiyo hiyo pesa mtakopeshwa haraka sana, ndio sababu wanasema ikifika September 2020 deni litafika $72B baada ya Kenya kupata huo Mkopo.
Kenya haijawahi kupata shida ya kuaccess deni. Kila benki iko tayari kwa sababu sisi tuna credit rating nzuri. Tatizo ni kuwa hio budget ni kubwa sana na afadhali ingepunguzwa kidogo.
 
Hiyo ni sawa na $26B
GDP $62B

62 - 26 = 36B

Hii maana yake ni kwamba uchumi halali wa Tanzania ni $36B.
Pedestrian reasoning[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if I follow your thinking; ina maana uchumi wa marekani wakiondoa deni ni negative, coz deni lao ni over 100% of the GDP!., which is around 107% kama sijakosea., so Tz and Kenya tuko far ahead ya marekani kiuhalisia, tukiondoa deni bado tuko na change[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya haijawahi kupata shida ya kuaccess deni. Kila benki iko tayari kwa sababu sisi tuna credit rating nzuri. Tatizo ni kuwa hio budget ni kubwa sana na afadhali ingepunguzwa kidogo.
Kupunguza bajeti haiwezikani kwasababu sehemu kubwa ya hiyo bajeti ni kwa ajili ya kulipa deni, na ni lazima hilo deni lilipwe, chini ya 40% ya hiyo bajeti ndio ni kwa ajili ya matumizi ya nchi, hiyo ndio ambayo Serikali inaweza kupunguza.

Athari ya haya madeni ni kupunguza uwezo wa Serikali katika kutoa huduma kwa wananchi na kujenga miradi ya maendeleo, bila kulipa madeni hiyo pesa yote ingetumika katika kujenga miundomsingi muhimu hapo Kenya. Deni sio jambo la kufurahia sana, hasa kama miradi husika haiwezi kujilipa
 
Tukitoa madeni kwa GDP ya japani ambayo ni over 200% ya GDP watakua na -ve number kwa GDP, so Africa na nchi kama yako yenye ukiondoa deni inabaki $36B mko sawa kushinda Japan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona mahali pedestrian reasoning inakubwaga?., ata tukiwa na deni 100% ya GDP na nyie mko na 40% ya GDP, (ceteris Paribas: all factors remaining constant), bado tutakua na uchumi mkubwa na wenye nguvu kushinda wenyu.
Wewe haupo kundi la Japan ndo maana daily IMF wanawapa alerts za tahadhari kila mara na articles za uchumi wenu kuyumba zinamiminika kila siku.
 
Pedestrian reasoning[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if I follow your thinking; ina maana uchumi wa marekani wakiondoa deni ni negative, coz deni lao ni over 100% of the GDP!., which is around 107% kama sijakosea., so Tz and Kenya tuko far ahead ya marekani kiuhalisia, tukiondoa deni bado tuko na change[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha
 
Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.

Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.

Tatizo la waafrika wanataka wawe kama Stockholm ilivyo leo "today"! Niliona picha moja ya underground train ikionyeshwa kama souvenier sehemu hiyo ilikuwaje kama miaka 70 iliyopita. Nikapata kusema kumbe na hawa walikwenda taratibu taratibu wakafika hapa! Sisi mara Stiglers, Mabwawa, mara hiki na kile,,,,, unafika mahali vyote vinasimama au vinakuwa sub standard!
 
Kaka ukisema ubakishe maneno ya akiba, ninauhakika wewe unatumia mobile phone tena ya kisasa kabisa, kwanini usitumie simu ya mezani?, unatumia laptop na tecnolojia mbalimbali za kisasa ambazo kwa huku Afrika ni kama tumeruka hatua kadhaa za maendeleo, tungepaswa kuvitumia hivi vifaa na hii teknolojia miaka hamsini au mia moja ijayo.

Dunia haipo hivyo, dunia ni kama "Public transport" unapanda kituo chochote utakapokua na ukifika ndani unayohaki sawa na wasafiri wote waliotoka na hilo basi toka mwanzo wa kituo.
 
Tukitoa madeni kwa GDP ya japani ambayo ni over 200% ya GDP watakua na -ve number kwa GDP, so Africa na nchi kama yako yenye ukiondoa deni inabaki $36B mko sawa kushinda Japan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona mahali pedestrian reasoning inakubwaga?., ata tukiwa na deni 100% ya GDP na nyie mko na 40% ya GDP, (ceteris Paribas: all factors remaining constant), bado tutakua na uchumi mkubwa na wenye nguvu kushinda wenyu.
Mbona hamueleweki kila siku tunawaambia humu GDP ni upumbavu mmoja uliobuniwa na mpumbavu zaidi ,kila cku wakenya mnashangilia GDP kubwa tu mukiulizwa inawasaidia nini Kwenye uhalisia hamna majibu .Bora ukose GDP kubwa Ila uwe na maisha mazur ,miundo mbinu bora ,na mambo mengineyo hayar ya GDP tuwaachie wazungu
 
Lanes halafu tukitoa hilo deni kutoka GDP yenu inabaki kama GDP ya Burundi!
Screenshot_2020-05-21-22-52-58-95.png
Screenshot_2020-05-21-22-52-58-95.png
Screenshot_2020-05-21-22-52-45-46.png
 
GDP si upumbavu kwa wale wanao elewa mambo ya uchumi, lakini kwa layman kama wewe hapa umechemsha mbaya. Dunia ya leo hali ya kimaisha inategemea bidii ya mtu binafsi kwa asili mia kubwa, ukiwa kwa nchi yenye GDP kubwa chances za kufaulu ni kubwa ukilinganisha na small GDPs., not unless nchi ya GDP ndogo iwe na raiya wachache sana Kama akina Botswana, Seychelles na Mauritius, ndio maana u can agree it is easy to make it in South Africa or Egypt, pia Nigeria ukicheza game yako ya biashara vizuri na kuwekeza vilivyo chances of getting good returns iko juu in comparison na kuwekeza nchi kama Malawi ama Burundi n.k.., unaangalia soko na uwezo wa raiya. Tanzania iko na Uchumi ndogo with big population, and small annual revenue in comparison na mahitaji ya serikali, ndio maana mnapatikana among the bottom 10 most poorest countries in 2019/2020 report!., nchi za Sub-Saharan Africa ndio tunajaza hiyo list kwa ajili ya GDP ndogo ndogo.., economic output yetu ni ndogo mno!

The Poorest Countries in the World (2019-2023)
Mbona hamueleweki kila siku tunawaambia humu GDP ni upumbavu mmoja uliobuniwa na mpumbavu zaidi ,kila cku wakenya mnashangilia GDP kubwa tu mukiulizwa inawasaidia nini Kwenye uhalisia hamna majibu .Bora ukose GDP kubwa Ila uwe na maisha mazur ,miundo mbinu bora ,na mambo mengineyo hayar ya GDP tuwaachie wazungu
 
GDP si upumbavu kwa wale wanao elewa mambo ya uchumi, lakini kwa layman kama wewe hapa umechemsha mbaya. Dunia ya leo hali ya kimaisha inategemea bidii ya mtu binafsi kwa asili mia kubwa, ukiwa kwa nchi yenye GDP kubwa chances za kufaulu ni kubwa ukilinganisha na small GDPs, not unless nchi ya GDP ndogo iwe na raia wachache sana Kama akina Botswana, Seychelles na Mauritius, ndio maana u can agree it is easy to make it in South Africa or Egypt, pia Nigeria ukicheza game yako ya biashara vizuri na kuwekeza vilivyo chances of getting good returns iko juu in comparison na kuwekeza nchi kama Malawi ama Burundi n.k, unaangalia soko na uwezo wa raiya.

Tanzania iko na Uchumi ndogo with big population, and small annual revenue in comparison na mahitaji ya serikali, ndio maana mnapatikana among the bottom 10 most poorest countries in 2019/2020 report!., nchi za Sub-Saharan Africa ndio tunajaza hiyo list kwa ajili ya GDP ndogo ndogo.., economic output yetu ni ndogo mno!

The Poorest Countries in the World (2019-2023)
Tz iwepo halafu Mali, Niger, Sierra Leone, Burkina Faso, Burundi etc wasiwepo.

Ukitumia GDP ama Per Capita hakuna namna unaweza ikuta Tz kwenye top 10 poorest either Africa au worldwide!
 
Ushaambiwa hutakopesheka! Una madeni makubwa ya nje! We endeleza porojo tu kama vile mimi ndo nimekupa alert.
Na nani? Mkuu wa wilaya ya Tandale? 😹Bado tutakopesheka upende usipende.
 
Back
Top Bottom