asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,014
Wewe huko Tanzania kukopa kwetu mbona unakunyima usingizi namna hii? Punguza udaku/umbea.Si mkope sasa mlipe deni la China! Only ksh 38B!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huko Tanzania kukopa kwetu mbona unakunyima usingizi namna hii? Punguza udaku/umbea.Si mkope sasa mlipe deni la China! Only ksh 38B!!
Tz iwepo halafu Mali, Niger, Sierra Leone, Burkina Faso, Burundi etc wasiwepo.
Ukitumia GDP ama Per Capita hakuna namna unaweza ikuta Tz kwenye top 10 poorest either Africa au worldwide!
Sasa population kubwa ndo kitu gani? Aliyekwambia GDP ya Tz ni ndogo kihivyo nani? Per Capita ya Burundi si ina range $300! Ya Tz $1,150! Sasa nani masikini hapo! Kwamba Mali,Niger,C.A.R etc zimeishinda Tz kwa Per Capita? Have you gone out of your mind? Au unafikir unaongea na mtoto wa haya mambo? Hebu leta list ya poorest countries in Africa 2020 either kwa Per Capita au GDP unionyeshe Tz ilipo.Population yenyu ni kubwa, kwa mfano Burundi can have 2 million but Tz iko na 15million., Tz is bottom 10, wacha kujitetea, jaribu kufikiria kwanza kabla ya kukurupuka.
Hajui analolisema achana nayeSasa population kubwa ndo kitu gani? Aliyekwambia GDP ya Tz ni ndogo kihivyo nani? Per Capita ya Burundi si ina range $300! Ya Tz $1,150! Sasa nani masikini hapo! Kwamba Mali,Niger,C.A.R etc zimeishinda Tz kwa Per Capita? Have you gone out of your mind? Au unafikir unaongea na mtoto wa haya mambo? Hebu leta list ya poorest countries in Africa 2020 either kwa Per Capita au GDP unionyeshe Tz ilipo.
Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.
Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.
Umejipa kazi ya kusuluhisha mpambano wa Kenya na Tanzania, hongera sana na endelea kujitahidi zaidi, tupo nyuma yako.Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa Mtanzania kushangilia hali mbaya ya uchumi wa Nchi ya Kenya, au kwa Mkenya kufanya hivyo kwa uchumi wa Nchi yoyote ile iliyo jirani yao. Only a layman can do this, lakini si mtu aliyesoma na kuelimika, au mtu ambaye ni professional kwenye maswala ya uchumi!
.
Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.
Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.
Kwahiyo tanzania ikihemea pua moja na kenya ni sawa kupumilia mashine? Mie niijua mpo vizuri kuliko TZ kumbe na nyie mpo ICU.

Sasa population kubwa ndo kitu gani? Aliyekwambia GDP ya Tz ni ndogo kihivyo nani? Per Capita ya Burundi si ina range $300! Ya Tz $1,150! Sasa nani masikini hapo! Kwamba Mali,Niger,C.A.R etc zimeishinda Tz kwa Per Capita? Have you gone out of your mind? Au unafikir unaongea na mtoto wa haya mambo? Hebu leta list ya poorest countries in Africa 2020 either kwa Per Capita au GDP unionyeshe Tz ilipo.
Kwahiyo tanzania ikihemea pua moja na kenya ni sawa kupumilia mashine? Mie niijua mpo vizuri kuliko TZ kumbe na nyie mpo ICU.
Naona umeng'ang'ania Tz kuwa bottom 10.Haya tumeexclude Somalia! Vipi nchi kama Malawi,Zimbabwe, Madagascar,Rwanda na za Western Africa nazo tuziondoe ili tupate Tz ipo bottom 10! Naona wewe upo kibattle zaidi, haupo realistic. So let's terminate our discussion here.Besides Burundi is not ranked, some countries are too low and banana case, kama akina Somalia., look at that list again., all of it., and keenly this time., bottom ten. Work to improve, ccm has messed you people psychologically.
So Tz ni masikini kuliko Uganda ndo maana Ug wamefunga Tz hajafunga! Au Sweden ni masikini sana ndo maana hawajafunga nchi! Hizi dhana sijui huwa unazitolea wapi.Hebu uwe unafikiria bhana!Benki kuu imewaonya uchumi wenu utarudi chini hadi 2%, hebu waza kipindi cha machafuko Kenya uchumi wetu ulipiga chini hadi 0% na bado hamkufaulu hata kutunusia makalio pamoja na kwamba mlikua kwa 8.2% kipindi hicho, sasa leo mkishuka hadi 2% si ndio tutawaaga kabisa, yaani kwaheri ya milele.
Acheni kuhangaika na Kenya, sisi tuko kwenye uchumi wa kati, hivyo tuna nafuu na jeuri ya hela, nyie hapo bado mko huko kwa akina Burundi, LDC, mlipaswa kupambana na hali yenu, na ndio maana Magufuli ameshindwa kufunga nchi kisa umaskini, akifunga mtakufa wengi sana, hivyo bora muumwe corona ambayo hata ikiua hamuwezi mkafa zaidi ya 10,000
Going by your village logic of ignorance. This is why Tanzania is still a land of functional illiterates.?$ -72$Billions =Kenya really GDP
So Tz ni masikini kuliko Uganda ndo maana Ug wamefunga Tz hajafunga! Au Sweden ni masikini sana ndo maana hawajafunga nchi! Hizi dhana sijui huwa unazitolea wapi.Hebu uwe unafikiria bhana!
Nyie jeuri hamna na almost jirani zenu wote wameprove hilo kwenu! Sasa sijui unaongelea jeuri ya namna gani! Hizo pesa nazo sijui unaongelea zipi! Hizo loans mnazokopa kila siku? Ndo jeuri yenu.
Halafu kama unafikir Tz labda inachechemea kiuchumi kama nyie pole yenu.We've several projects going on na hakuna itayosimama.
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, HahahahaGoing by your village logic of ignorance. This is why Tanzania is still a land of functional illiterates.
America:
$25 trillion GDP - $24.5 trillion debt=$1.5 trillion real GDP ?
China:
$9 trillion GDP - $20 trillion debt= - $11 trillion real GDP?
Do you even go through your thoughts before writing them down? Or are you just happy to expose your ignorance to the world ?
Kama mlishuka mpaka 0% na sisi hatukuwasogoelea,ni wajibu wako kuhoji uhalali wa taarifa hizo za ukuaji wa uchumi.badala ya kushangilia tu kama mcheza ngoma.Benki kuu imewaonya uchumi wenu utarudi chini hadi 2%, hebu waza kipindi cha machafuko Kenya uchumi wetu ulipiga chini hadi 0% na bado hamkufaulu hata kutunusia makalio pamoja na kwamba mlikua kwa 8.2% kipindi hicho, sasa leo mkishuka hadi 2% si ndio tutawaaga kabisa, yaani kwaheri ya milele.
Acheni kuhangaika na Kenya, sisi tuko kwenye uchumi wa kati, hivyo tuna nafuu na jeuri ya hela, nyie hapo bado mko huko kwa akina Burundi, LDC, mlipaswa kupambana na hali yenu, na ndio maana Magufuli ameshindwa kufunga nchi kisa umaskini, akifunga mtakufa wengi sana, hivyo bora muumwe corona ambayo hata ikiua hamuwezi mkafa zaidi ya 10,000
Village talk from deranged individuals!Hakuna namna deni lenu linaweza kushuka kipindi hiki! Rate yenu ya kukopa ipo juu na mambo ya curfew bado mnayaendekeza.
I suppose your debt increases exponentially!
Kama mlishuka mpaka 0% na sisi hatukuwasogoelea,ni wajibu wako kuhoji uhalali wa taarifa hizo za ukuaji wa uchumi.badala ya kushangilia tu kama mcheza ngoma.
Hatujawahi kutilia maanani namba sisi.ndio maana hatuwashangai mna uchumi mkubwa vitabuni ila,njaa inawagaragaza,ajira ni tatizo sugu,maji shida nairobi mmeshindwa hata kuchukua hapo victoria,mnakopa kama mashindano.
We leave that f¥cking GBP to you guys.