mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kwa mtazamo huu kwanini tusiwaendeshe hapa EA!!!!Leo Marekani hata washuke kwa minus -1000% hamuwezi kuwanusia maana nyie ni maskini wa kutupwa, ni kama hapo kwako Tandale slums, wewe hata kamshahara kako kakiongezwa 100% kwa mwaka bado hautamfikia mwarabu au mhindi kati ya wale huwa wameshikilia uchumi wenu.
Nyinyi hamjitambui.