Uchumi wa Kenya wazidi kuelekea kuzimu, deni la Taifa kufikia $72B baada ya bajeti ya leo

Uchumi wenu utakua kwa 2% mwaka huu kulingana na IMF kwahivyo mkidanganywa eti hamna msoto Tz hio itakua bado ni ndoto!
IMF ni ndugu na WHO waliosema june kutakuwa na maiti zikizagaa kila mitaa ya nchi za africa.

Wasikilize lakini usiwape nafasi ya Mungu,kwamba wakisema kitu ndivyo kilivyo.ukitaka kujua wale ni watu wa namna gani,subiri hawana muda mrefu utashangaa wanaleta makadirio mengine ya ukuaji wanaweka 8 kwa tz,sisi kama tz tunapokea taarifa zote hii ya 2%,1%5% even 6%,tunaendelea kufanya kazi.
 
Wacha ujinga wake wewe, weka hapa bajeti yenu katika kila sector tuone. Kiwango cha pesa kinachowrkezwa na Serikali katika kila sector ni " factor" muhimu sana katika kukuza hiyo sector, haina maana kwamba Serikali inajihusisha moja kwa moja, ila inahenga mazingira mazuri ya kuziwezesha hizo sector kama vile kutoa mikopo nafuu, kujenga miundombinu na vyote hivyo vinataka pesa.

Hata huko katika Elimu ambako mumewekeza pesa nyingi, pia kuna private sector. Wakulima wenu wanahitaji mikopo nafuu, kujengewa mifumo ya umwagiliaji, kupata mbegu na madawa kwa "Subsidized prices", kama Serikali haitoi pesa ya kutosha, lazima gharama za KILIMO zitakua juu, matokeo yake mazao yanayozalishwa Kenya yanakua ghali.

Weka hapa tuone pesa mnayotenga katika sector za maendeleo wacha kupiga kelele.
Mipando yetu iko more effective kuliko yenu, wewe unaleta hoja za kitoto za KeVS TZ, unasema kiwango kinachowekezwa na serekali ni factor muhimu ilhali sector zetu za uchumi zinazalisha mapato mengi kuliko sector zenu nyingi licha ... Tukiongelea sector za viwanda, umeme, kilimo biashara, barabara, miundombinu... zote hakuna mahali mnatufikia. alafu unaleta kibishibishi hapa....

Hebu mwanzo anza na kuleta hizo bajeti za Tanzania mwanzo tukuone kama unajua unachokiongelea....... post bajeti ya hizo sector zenu na mikakati mlio weka alafu nikuonyeshe vile Kenya mambo hufanywa tofauti lakini mwisho wa siku hela kamili zinazowekezwa ukichanganya private+govnt ni nyingi zaidi kuliko Tz.
 
IMF ni ndugu na WHO waliosema june kutakuwa na maiti zikizagaa kila mitaa ya nchi za africa.

Wasikilize lakini usiwape nafasi ya Mungu,kwamba wakisema kitu ndivyo kilivyo.ukitaka kujua wale ni watu wa namna gani,subiri hawana muda mrefu utashangaa wanaleta makadirio mengine ya ukuaji wanaweka 8 kwa tz,sisi kama tz tunapokea taarifa zote hii ya 2%,1%5% even 6%,tunaendelea kufanya kazi.
Estimates za WHO ni projection za kama hamtachukua mikakati yeyote ikiwa rate of infection ni 1 +ve person ana infect atleast 2 people, kwahivyo kuanzia hapo unaproject baada ya miezi kadhaa watu wangapi watakua wamekufa kama hautaweka mikakati yeyote ya kuzulia usambazaji wa corona.... Kwahivyo WHO ikitoka takwimu za vifo na maambukizi tafadhali watanzania, someni na muelewe jameni, sio kutupa mikiki eti wanawaombea mabaya sijui mnaonewa.... hata sisi tulisemekana tutakua tumefika 10,000 infection by end of April, sahii tuko June na bado hatujafika hata nusu ya hio.... Hii inaonyesha ni mikati tuliochukua ndo imefanya tusifike huko, lakini kama hatungechukua hatua yoyote kuzulia usambazaji hapo ndo tungefika huko 10,000 by april na sahii tungekua tuko 60,000 infections kulingana na hizo estimates zao.

Kwahivyo wacheni kusoma vitu kiushabiki na kuongiza siasa kwa takwimu za wataalam. Hata hizo takwimu za uchumi wa 2% ni kulingana na hali ilivyo sasa na sector ambazo zime simama kama vile utalii, exports, factory production..etc, lakini leo hii kukipatikana vaccine ya corona basi mambo yatageuka mbio mbio na uchumi wa dunia ukarudi pazuri faster faster, kitu ambacho kitafanya hizo projections kua inacurate, lakini kama corona itaendelea ku affect uchumi kama inavyofanyika sasa basi hio 2% growth ndo mnaelekea hapo.
 
WHO walifanya makadirio ndio,nani amekataa walitizamia hatua zisipochukuliwa!!!sisi tunabeza sababu hatua tulizochukua sio walizotuasa wao na zimelata matokeo chanya.lakini watu kama nyinyi mnashirikiana nao kutudhihaki,ndio mnakwenda au mko nusu ya kile walicho kitabirk,tuseme nini sasa!!!

Wanasema uchumi wetu utakua kwa 2% wakiwa wanajua kabisa,tuliliona hilo mapema na kuamua kwenda tofauti na wajinga wao wanaosikioiza kila wanachowaelekeza.

Hizo hisia za kudhani kila kitu siasa ndio zinafanya mfungiwe ndani mkiwa hamuumwi.
 
Mipando yetu iko more effective kuliko yenu, wewe unaleta hoja za kitoto za KeVS TZ, unasema kiwango kinachowekezwa na serekali ni factor muhimu ilhali sector zetu za uchumi zinazalisha mapato mengi kuliko sector zenu nyingi licha ... Tukiongelea sector za viwanda, umeme, kilimo biashara, barabara, miundombinu... zote hakuna mahali mnatufikia. alafu unaleta kibishibishi hapa....

Hebu mwanzo anza na kuleta hizo bajeti za Tanzania mwanzo tukuone kama unajua unachokiongelea....... post bajeti ya hizo sector zenu na mikakati mlio weka alafu nikuonyeshe vile Kenya mambo hufanywa tofauti lakini mwisho wa siku hela kamili zinazowekezwa ukichanganya private+govnt ni nyingi zaidi kuliko Tz.
Nilikuwekea % ya bajeti inayokwenda katika development project Tanzania, tunalinganisha na Kenya, hii inaonyesha ni kiasi gani Serikali inatoa kipaumbele katika development vs recurrent expenditure. Tanzania mwaka huu tumetenga 37% katika miradi ya maendeleo, na 25% katika mishahara. Tafadhali tuanzie hapo kabla hatujakwenda katika "actual figures". Wake % ya bajeti ya Kenya ya maendeleo na mishahara
 
Mishahara na posho tu ni zaidi ya 60%,nayo bado inakopwa maana bajeti inakwama njiani[emoji23][emoji23]
 
WHO walifanya makadirio ndio,nani amekataa walitizamia hatua zisipochukuliwa!!!sisi tunabeza sababu hatua tulizochukua sio walizotuasa wao na zimelata matokeo chanya.lakini watu kama nyinyi mnashirikiana nao kutudhihaki,ndio mnakwenda au mko nusu ya kile walicho kitabirk,tuseme nini sasa!!!

Wanasema uchumi wetu utakua kwa 2% wakiwa wanajua kabisa,tuliliona hilo mapema na kuamua kwenda tofauti na wajinga wao wanaosikioiza kila wanachowaelekeza.

Hizo hisia za kudhani kila kitu siasa ndio zinafanya mfungiwe ndani mkiwa hamuumwi.
Sisi tuko nusu ya kile walichokitabiri sababu tunapima (hata kama tunajua bado kuna wengi zaidi hatujapima),
nyinyi hamjulikani mnamatokeo gani sababu hata hampimi tena, sasa unakuja hapa kujisifia kuzika kichwa chini ya mchanga , Kwa kifupi hii picha ina summarise Tanzania na corona

Hizi ndo hatua mliochukua ambayo imeleta matokeo chanya. Tanzania hakuna corona!
ostrich.jpg
 
So lengo ni kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hivi tukisema mna akili za kuku huwa mnajua ni sababu ya nini!!!!

Ok mnatarajia kumaliza lini shughuli ya kupima??
 
Nilikuwekea % ya bajeti inayokwenda katika development project Tanzania, tunalinganisha na Kenya, hii inaonyesha ni kiasi gani Serikali inatoa kipaumbele katika development vs recurrent expenditure. Tanzania mwaka huu tumetenga 37% katika miradi ya maendeleo, na 25% katika mishahara. Tafadhali tuanzie hapo kabla hatujakwenda katika "actual figures". Wake % ya bajeti ya Kenya ya maendeleo na mishahara
hata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...

---------------------------------------------------------
6 days ago 6341 views by Muyela Roberto -
The Kenya Revenue Authority (KRA) expects to collect KSh 1.89 trillion in 2020/2021 fiscal year as part of finances to fund the KSh 2.79 trillion budget - Treasury CS Ukur Yatani said the recurrent expenditure was expected to be KSh 1.82 trillion while development expense was set to gobble up KSh 633.1 billion .
Yatani allocated KSh 497 billion to the education ministry, health services (KSh 111.7 billion), food security (KSh 52.8 billion), security (KSh 167.9 billion) and KSh 10.2 billion for NYS .
Counties total allocation was KSh 369.9 billion while the Ethics and Anticorruption Commission, Office of Director of Public Prosecution received KSh 3.1 billion each The Ministry of Education has received the highest allocation at KSh 497 billion in the 2020/2021 proposed budget tabled in Parliament on Thursday, June 11. Read more: Budget 2020/21: Ukur Yatani tables maiden KSh 2.79 trillion budget
---------------------------------------------------------------

Rccurent expenditure ni $18.2B while budget ni $27.9B

1592476207903.png

Kwahivyo kwa upande wa National govt 35% ya bajeti ni development expenditure........ Tena ukikumbuka $9B ndani ya hio $18.2 Billion ya recurrent expenditure inaenda kulipa madeni, hio ndo imesababisha recurrent expenditure kua nyingi kulazimisha development exenditure iwe ndogo, lakini licha ya hilo la deni kubwa bado development budget ya serekali ni kubwa kwa 35% ambayo si mbali na hio 37% ya Tanzania ambapo kule kwa recurrent expenditure ni $4.3B tanzania zinaenda kulipa madeni.

Na ukumbuke Tanzania ni almost twice as big as Kenya in land mass kwahivyo kama ni barabara itabidi mjenge nyingi ndo muwe sawa na kenya, na kwa population kuna takriban watanzania 10Million zaidi ya wakenya so kwa karatasi itahitaji muwe na bajeti mara dufu zaidi, ya maendeleo, not just in terms of % but also in actual figures ndo umatch spending ya maendeleo interms of development spending per capita
 
So lengo ni kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hivi tukisema mna akili za kuku huwa mnajua ni sababu ya nini!!!!

Ok mnatarajia kumaliza lini shughuli ya kupima??
Lengo la kupima ni kujua hali kamili/uhalisia wa mambo, si kama wengine wanaimba hawana corona ilhali hawana takwimu zozote, akili hizi ndo zile mmerithishwa na babu zenu waliopigana majimaji rebelion na risasi wakiamini zitageuka maji 😂😂🤣🤣
 
Lengo la kupima ni kujua hali kamili/uhalisia wa mambo, si kama wengine wanaimba hawana corona ilhali hawana takwimu zozote, akili hizi ndo zile mmerithishwa na babu zenu waliopigana majimaji rebelion na risasi wakiamini zitageuka maji [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ujue hali gani wewe na mbuzi wengine!!!!

Mmepima watu wangapi mpaka sasa,embu nipe ratio kwa mujibu wa vipimo,kwenye kila wakenya 100 kuna wagonjwa wangapi???

Halafu uniambie pia ni hatua gani mnachukua ili kupambana na hilo covid 19,ili nikwambie ujinga wenu uko wapi.
 
hata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...

---------------------------------------------------------
6 days ago 6341 views by Muyela Roberto -
The Kenya Revenue Authority (KRA) expects to collect KSh 1.89 trillion in 2020/2021 fiscal year as part of finances to fund the KSh 2.79 trillion budget - Treasury CS Ukur Yatani said the recurrent expenditure was expected to be KSh 1.82 trillion while development expense was set to gobble up KSh 633.1 billion .
Yatani allocated KSh 497 billion to the education ministry, health services (KSh 111.7 billion), food security (KSh 52.8 billion), security (KSh 167.9 billion) and KSh 10.2 billion for NYS .
Counties total allocation was KSh 369.9 billion while the Ethics and Anticorruption Commission, Office of Director of Public Prosecution received KSh 3.1 billion each The Ministry of Education has received the highest allocation at KSh 497 billion in the 2020/2021 proposed budget tabled in Parliament on Thursday, June 11. Read more: Budget 2020/21: Ukur Yatani tables maiden KSh 2.79 trillion budget
---------------------------------------------------------------

Rccurent expenditure ni $18.2B while budget ni $27.9B

View attachment 1482330

Kwahivyo kwa upande wa National govt 35% ya bajeti ni development expenditure........ Tena ukikumbuka $9B ndani ya hio $18.2 Billion ya recurrent expenditure inaenda kulipa madeni, hio ndo imesababisha recurrent expenditure kua nyingi kulazimisha development exenditure iwe ndogo, lakini licha ya hilo la deni kubwa bado development budget ya serekali ni kubwa kwa 35% ambayo si mbali na hio 37% ya Tanzania ambapo kule kwa recurrent expenditure ni $4.3B tanzania zinaenda kulipa madeni.

Na ukumbuke Tanzania ni almost twice as big as Kenya in land mass kwahivyo kama ni barabara itabidi mjenge nyingi ndo muwe sawa na kenya, na kwa population kuna takriban watanzania 10Million zaidi ya wakenya so kwa karatasi itahitaji muwe na bajeti mara dufu zaidi, ya maendeleo, not just in terms of % but also in actual figures ndo umatch spending ya maendeleo interms of development spending per capita
Hujui unalozungumza wewe, Bajeti yenu yote hii hapa, wewe nimekuambia uniambie % ya bajeti inayolipa mishahara ni kiasi gani na ile inayokwenda katika miradi ya maendeleo ni kiasi gani, wewe unaleta ujinga wako.

Kwa taarifa yako 5i% ya bajeti yenu inaenda kulipia mishahara pekee wakati "development project" zinaoewa 28% ya bajeti, rudi na ujifunze kusoma bajeti vizuri, hiyo $4.9B iliyokwenda katika Education sector, almost $4B ni mishahara ya waalimu pekee, wewe umeichukulia hiyo pesa yote katika development project. Jielimishe kwanza.

Kenya hamjafikia hata 30% ya bajeti yenu katika development projects.
https://kenyanwallstreet.com/winners-and-losers-in-the-ksh-3-2-trillion-kenya-budget-2020-21/
 
hata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...

---------------------------------------------------------
6 days ago 6341 views by Muyela Roberto -
The Kenya Revenue Authority (KRA) expects to collect KSh 1.89 trillion in 2020/2021 fiscal year as part of finances to fund the KSh 2.79 trillion budget - Treasury CS Ukur Yatani said the recurrent expenditure was expected to be KSh 1.82 trillion while development expense was set to gobble up KSh 633.1 billion .
Yatani allocated KSh 497 billion to the education ministry, health services (KSh 111.7 billion), food security (KSh 52.8 billion), security (KSh 167.9 billion) and KSh 10.2 billion for NYS .
Counties total allocation was KSh 369.9 billion while the Ethics and Anticorruption Commission, Office of Director of Public Prosecution received KSh 3.1 billion each The Ministry of Education has received the highest allocation at KSh 497 billion in the 2020/2021 proposed budget tabled in Parliament on Thursday, June 11. Read more: Budget 2020/21: Ukur Yatani tables maiden KSh 2.79 trillion budget
---------------------------------------------------------------

Rccurent expenditure ni $18.2B while budget ni $27.9B

View attachment 1482330

Kwahivyo kwa upande wa National govt 35% ya bajeti ni development expenditure........ Tena ukikumbuka $9B ndani ya hio $18.2 Billion ya recurrent expenditure inaenda kulipa madeni, hio ndo imesababisha recurrent expenditure kua nyingi kulazimisha development exenditure iwe ndogo, lakini licha ya hilo la deni kubwa bado development budget ya serekali ni kubwa kwa 35% ambayo si mbali na hio 37% ya Tanzania ambapo kule kwa recurrent expenditure ni $4.3B tanzania zinaenda kulipa madeni.

Na ukumbuke Tanzania ni almost twice as big as Kenya in land mass kwahivyo kama ni barabara itabidi mjenge nyingi ndo muwe sawa na kenya, na kwa population kuna takriban watanzania 10Million zaidi ya wakenya so kwa karatasi itahitaji muwe na bajeti mara dufu zaidi, ya maendeleo, not just in terms of % but also in actual figures ndo umatch spending ya maendeleo interms of development spending per capita
Wacha kupiga domo tupu kwa kutaka kuonekana unajua vitu, rudi YouTube msikilize Uhuru Kenyatta akilalamika kwamba mishahara inachukua 52% ya bajeti ya nchi wakati watumishi wa nchi nzima ni 2% ya population ya Kenya, jambo ambalo halikubaliki kwa watu wachache kufaidi mapato na kuacha watu wengi wakiteseka
Kenya's wage bill dilemma
 
Jamaneni sasa umeacha haya ya 2020 umeenda kuokota taarifa ya April 2014 ambapo wanaongelea bajeti ya 2013,.2013 tulikua na madeni mangapi? 2013 ilikua only $3B ndo zinaenda kulipa madeni kwahivyo bado tulibaki na nyingi za maendeleo...

1592504147446.png

Haya tuhame hio ya 2020, twende kwa hio ya 2013

Tanzania badget, Development expenditure ilikua ni 31% of budget..........

1592504424183.png

In terms of actual money, Out of hio 18.248 Trillion TZS, ambayo ni kama $7.9B, TZS 5.674 Trillion ndo zilikua za development ambayo ni sawa na only $2.5Billion

1592504626498.png

Source ya TZ budget 2013/2014
https://www.cabri-sbo.org/uploads/b...et_ministry_of_finance_eac_sadc_english_1.pdf

Kenya budget 2013/2014 ilikua $15.4 pesa ya sasa

1592505070438.png

Source for Kenya 2013/2014 budget
https://www.ieakenya.or.ke/downloads.php?page=Budget-Guide-2013-Very-Final.pdf

ukichukua hio 27.3/100 * 1640 Billion ksh unapata about Ksh 447 Billion

1592505305307.png

Miezi kadhaa iliopita Ksh 447.7 Billion ilikua ni sawa na $4.448 Billion lakini sahii sababu thamani ya pesa ya kenya imeshuka hio 447Billion ni sawa na $4.2 Billion USD

1592505495154.png

Kwahivyo kwa kifupi hapo 2013/2014
Development budget ya Tanzania ilikua 31% of budget ilihali Kenya ilikua ni 27%...
In actual terms ilikua ni $2.5B for Tanzania VS $4.2Billion za Kenya.......

Na kama nilivyokuonyesh hapo awali kwa bajeti ya sasa 2020, Tanzania development ni 37% ilhali Kenya ni 35% kwahivyo nothing much has changed bado kwa % mnatushinda na margin ndogo (Between 1 to 3 %) lakini in actual money zetu ni pesa nyingi kuliko zenu.. Kwahivyo hakuna lolote unaloongea, unapiga porojo tu za vijiweni, ndio maana siku zote tutazidi kuwapiga gap kubwa kiuchumi manake bado hamjajua kujipanga, mnafiikiri nyi ndo werevu kumbe bado hamjafika...
 
KICHAPO CHA MBWA joto la jiwe 😹😹. Tanzania you guys should know your place. Hatuko ligi moja bana. Accept kwa sasa hamwezani na Kenya, labda enzi za vitukuu wa wajukuu wenu.
 
Back
Top Bottom