Uchumi wa Kenya wazidi kuelekea kuzimu, deni la Taifa kufikia $72B baada ya bajeti ya leo

Mnasamehewa madeni ya $14M only alafu mnakuja hapa kupiga Kelele!

--------------------------------------

DAR ES SALAAM, June 11 (Xinhua) -- Tanzanian President John Magufuli on Thursday thanked the International Monetary Fund (IMF) for approving a 14.3 million U.S. dollars debt service relief amid the COVID-19 pandemic.

He said the IMF has approved the debt service relief to the east African nation at the right time.

"I will write to the IMF managing director to thank her for approving the debt service relief on behalf of Tanzanians," Magufuli said in an address televised live by state-run Tanzania Broadcasting Corporation.

"Some of the money under the debt service relief will be used to fight the COVID-19 pandemic," he said shortly after he had laid the foundation stone for the construction of a 51.2 kilometers road in the new government satellite city in the capital Dodoma.

The road construction was being undertaken by China Henan International Cooperation Group, said Victor Seff, chief executive officer for Tanzania Rural and Urban Roads Agency.

In a statement released on Wednesday, the IMF said it has approved a grant under the IMF's Catastrophe Containment and Relief Trust to cover Tanzania's debt service falling due to the IMF from June 10, 2020, to October 13, 2020, the equivalent of 14.3 million dollars. Enditem

-------------------------------

Yani Tanzzania nchi ya maziwa na asali inashindwa kulipa $14Million debt hadi msamehewe!
 
Tatizo sio suala ya level yako kiuelewa, hivyo hauna uwezo wa kuijadili..... Watu wanasomea uchumi kwa sababu maalum, na haipo kwa wote, wewe hapo ukishatia mfukoni buku saba unaishiwa namna ya kujiongeza.....
Uchumi wa mchuzi au supu!!!

Kama wewe ni mchumi au miongoni mwa waliofunzwa uchumi na huwezi kueleza mtu maana ya uchumi mkubwa wa $99bln,kwa mtu wa kawaida,haikufaa mwalimu wako apoteze muda kukufundisha au ulichokisoma hakieleweki.

Mambo magumu kama relativity theories yanaeleweka sembuse uchumi,ambao unaonekana kwa macho,dude unakwama wapi??au unawaza ccm tu.
 
Mnasamehewa madeni ya $14M only alafu mnakuja hapa kupiga Kelele!

--------------------------------------

DAR ES SALAAM, June 11 (Xinhua) -- Tanzanian President John Magufuli on Thursday thanked the International Monetary Fund (IMF) for approving a 14.3 million U.S. dollars debt service relief amid the COVID-19 pandemic.

He said the IMF has approved the debt service relief to the east African nation at the right time.

"I will write to the IMF managing director to thank her for approving the debt service relief on behalf of Tanzanians," Magufuli said in an address televised live by state-run Tanzania Broadcasting Corporation.

"Some of the money under the debt service relief will be used to fight the COVID-19 pandemic," he said shortly after he had laid the foundation stone for the construction of a 51.2 kilometers road in the new government satellite city in the capital Dodoma.

The road construction was being undertaken by China Henan International Cooperation Group, said Victor Seff, chief executive officer for Tanzania Rural and Urban Roads Agency.

In a statement released on Wednesday, the IMF said it has approved a grant under the IMF's Catastrophe Containment and Relief Trust to cover Tanzania's debt service falling due to the IMF from June 10, 2020, to October 13, 2020, the equivalent of 14.3 million dollars. Enditem

-------------------------------

Yani Tanzzania nchi ya maziwa na asali inashindwa kulipa $14Million debt hadi msamehewe!
Wakati nyinyi mmeongeza ngapi[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Alafu serikali ina afford kununua chakula, kukopa na kulipa madeni., tajiri anakopa kubwa na kulipa, masikini anakopa kisha anaanza kulia lia eti asamehewe, anaficha ndege mvunguni asinyang'anywe.,
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ndio sababu sisi huwapigia nyinyi makofi.

Kwa sababu mnakopa pakubwa sana ukanda huu,nayo bandari ikianza kwenda,tutaendelea kiwapigia makofi.

Ofcourse why not[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati nyinyi mmeongeza ngapi[emoji16][emoji16][emoji16].
yote sisi tutayalipa hatutakwepa kama nyinyi, na hata ile siku tutashindwa kulipa, tutaulizia watuongezee muda wa kulipa ili tulipe pole pole, hatutaomba watusamehe........ Na tena muwache katabia ka kuomba mikopo alafu mnashindwa kulipa hadi msamehewe, haswa vile uchumi wenu umekua ukikua kwa 7% kwa miaka kumi sasa, si kitambo mtatoka list ya LDC na muingie Middle_income countries...... mukiingia hapo hakuna kusamehewa deni tena, anzeni kujizoesha na mapema !

MONDAY SEPTEMBER 18 2017
1592157424688.png

Brazil finally writes off Tanzania debt

CC:
Alafu serikali ina afford kununua chakula, kukopa na kulipa madeni., tajiri anakopa kubwa na kulipa, masikini anakopa kisha anaanza kulia lia eti asamehewe, anaficha ndege mvunguni asinyang'anywe.,
 
yote sisi tutayalipa hatutakwepa kama nyinyi, na hata ile siku tutashindwa kulipa, tutaulizia watuongezee muda wa kulipa ili tulipe pole pole, hatutaomba watusamehe........ Na tena muwache katabia ka kuomba mikopo alafu mnashindwa kulipa hadi msamehewe, haswa vile uchumi wenu umekua ukikua kwa 7% kwa miaka kumi sasa, si kitambo mtatoka list ya LDC na muingie Middle_income countries...... mukiingia hapo hakuna kusamehewa deni tena, anzeni kujizoesha na mapema !

MONDAY SEPTEMBER 18 2017
View attachment 1478728

Brazil finally writes off Tanzania debt

CC:
Wewe unatupangia kama nani,mtoa mikopo au!!!

Katika namna ya kufikiri ndio imekuwa tofauti ya viongozi wa kenya na tz.hatuna malengo ya kuishi kwa mikopo miaka yote,ndio maana hatuongezi madeni kizembe na kisha tunaangalia namna yoyote ile kupunguza yaliyopo,iwe kwa msamaha au kulipa.LDC ni kichaka cha wajanja.wajinga wasiojitambua wakavaa joho la middle income kichwa kichwa.

Kama mnashindana na sisi kukopa pesa nyingi,tutakubali kushindwa mapema.nyie kopeni muwezavyo.
 
Masikini wakubwa ninyi, mnafutiwa madeni na bado hamna uwezo wa kununua chakula mnategemea chakula cha msaada.
WSF: Italy signs Kenya's debt cancellation | Association for Progressive Communications
 
Ndio maana ndege zenu zitazidi kungojewa huko nje zikamatwe kila siku , corona ikiisha jitayarisheni na mawakili kila nchi ambayo ATCL itasafiri, wawe wako tayari ndege ikizuliwa masaa machache tayari washafungua kesi mahakamani 🤣
 
Masikini wakubwa ninyi, mnafutiwa madeni na bado hamna uwezo wa kununua chakula mnategemea chakula cha msaada.
WSF: Italy signs Kenya's debt cancellation | Association for Progressive Communications
Ukisoma hio taarifa vizuri utaona kwamba hawakusamehe deni kwasababu ya kushindwa kulipa, wali convert debt in exchange, serekali ya Kenya ikasisamisha mpango wa kufurusha watu 300,000 walikua wanaishi kwa shamba la serekali.... Kwa kifupi ni kwama Italy ilikua imelipa Kenya 44 Million ili kenya isifurushe hao watu.... yani ni kama vile Italy ilinunulia watu hilo shamba lakini badala ya kulipa serekali kwa cash, ikasema lile deni tunalowadai na mlikua mnafaa kutulipa chukua hio pesa ujilipe nayo.

----------
This successfully prevented the eviction of 300,000 people by mobilising local and international solidarity. On 27 October 2006 an agreement was signed to convert Kenya’s foreign debt with Italy, worth 44 million euros
------------

Tena mbali na hilo, Kenya iliingia Lower middle income mwaka wa 2014, Hio ni habari ya 2006 wakati huo tulikua gora moja, sahii hatuko tena! Sahii ni lazima tulipe madeni kwa njia yoyote, hata kama ni kwa kuuza bandari na viwanja vya ndege lazima deni lilipwe kwa njia moja au nyengine
 
Ndio maana ndege zenu zitazidi kungojewa huko nje zikamatwe kila siku , corona ikiisha jitayarisheni na mawakili kila nchi ambayo ATCL itasafiri, wawe wako tayari ndege ikizuliwa masaa machache tayari washafungua kesi mahakamani [emoji1787]
Wewe mkenya,wapinzani tz mnadhani labda hao jamaa wakishika ndege tz itatetereka.

Bro utaugua ulcers ukisubiri denstiny yako ya kichawi,maana jamaa aliishika mwanzo na hakupewa hata mia,na ataendelea kupigwa kiswahili mpaka atie akili.
 
Wakenya hatuna unafiki wa aina hio, sisi hatuketi chini kungojea mabaya yatendekee wenzetu ndo tufurahi... hizo ni zenu.... Nyinyi ndo hua kila siku mnasubiri Alshabaab, rushwa, ukabila, tutengwe na majirani ...etc yani tumalizike ndo muweze kutupita kiuchumi...
 
Ukisoma hio taarifa vizuri utaona kwamba hawakusamehe deni kwasababu ya kushindwa kulipa, wali convert debt in exchange, serekali ya Kenya ikasisamisha mpango wa kufurusha watu 300,000 walikua wanaishi kwa shamba la serekali.... Kwa kifupi ni kwama Italy ilikua imelipa Kenya 44 Million ili kenya isifurushe hao watu.... yani ni kama vile Italy ilinunulia watu hilo shamba lakini badala ya kulipa serekali kwa cash, ikasema lile deni tunalowadai na mlikua mnafaa kutulipa chukua hio pesa ujilipe nayo.

----------
This successfully prevented the eviction of 300,000 people by mobilising local and international solidarity. On 27 October 2006 an agreement was signed to convert Kenya’s foreign debt with Italy, worth 44 million euros
------------

Tena mbali na hilo, Kenya iliingia Lower middle income mwaka wa 2014, Hio ni habari ya 2006 wakati huo tulikua gora moja, sahii hatuko tena! Sahii ni lazima tulipe madeni kwa njia yoyote, hata kama ni kwa kuuza bandari na viwanja vya ndege lazima deni lilipwe kwa njia moja au nyengine
Kenya ninyi ni nchi ya ajabu sana
1) Mnakopa Sana
2)Mnapokea chakula cha msaada
3)Mnafutiwa madeni
4)Hamuwezi kujenga mradi wowote mkubwa kwa kutumia pesa ya ndani.
Hahahaha, Hahahaha
 
Wakenya hatuna unafiki wa aina hio, sisi hatuketi chini kungojea mabaya yatendekee wenzetu ndo tufurahi... hizo ni zenu.... Nyinyi ndo hua kila siku mnasubiri Alshabaab, rushwa, ukabila, tutengwe na majirani ...etc yani tumalizike ndo muweze kutupita kiuchumi...
Kama kuna watu wenye roho mbaya na wanafiki na wabinafsi zaidi ya wakenya hapa Africa, labda waarabu, ninyi wakenya mnajijua mnavyogombana na majirani zenu wote. Kenya jinsi mbavyoisema vibaya Tanzania na jinsi mnavyojaribu kumchafua Magufuli hadi raia wa nchi zingine za Africa wanawashangaa, ninyi sio watu wazuri kabisa.
 
Hatujawahi kuipigia kenya hesabu kiuchumi,kwani tukiwapita nyinyi halafu inakuwaje???maana hapa tulipo tumewazidi kila kitu ukanda huu.

Ushawishi,vivutio,sifa nzuri na hata mazingira bora ya kuishi.

Thats why mnakesha mkiiongelea mabaya mnapopata nafasi tu.
 
Ukitaka kujui yupi mwenye roho mbaya ngojea siku janga likitokea Tanzania au Kenya........ Kwa wakenya watatoa pole, waulize kama kuna kitu wanaweza kusaidia, yani tunasahau uhasama wote baina yetu...
Lakinini ngoja janga litokee Kenya, hehe utaskia zile za 'ndio zao hao', 'heri hivyo','vizuri sana' 'sasa ni wakati wetu kuwapiku kiuchumi'........ alafu topic itajaa kama 500,000 views ndani ya lisaa la kwanza.

Alafu wewe ukiwa ni mtu wa kushinda hapa JF siku nzima ambapo kuna mkusanyiko wahabari za Kenya zinazohusiana na Tanzania lazima utaanza kua na delusions kwamba dunia inazunguka Tanzania......... Kule nje ya EAC , (Mwanzo hata si nje ya EAC, Nje ya Kenya na Uganda) no one gives a shit about Tanzania (ladba kwa muziki siku hizi) ... Hii ndo maana hakua Malawi news section hapa JF, Ha
Kuna ule wakati rais uhuru alikua bado hajaondoa account yake ya facebook, ulikua ukipitia pale kila siku unapatana na comments kibao za "I am from Zambia, mozambique, Mali, Sudan, ...etc and I wish we had a president like yours ama I wish my country was Kenya" etc etc Mi nilikua naangalia hizo comment za kutupilia mbali manake najua hawamjui na hawamfwatilii kila siku kwahivyo wao hua wana notoce akiwa amefanya wazuri pekee. alafu mbali na hilo, najua ni sampuli ndogo sana ya watu kutoka hizo nchi ambao wanafywatilia hio nchi kwahivyo wao ni minority. lakini najua mtu kama wewe ingekua inafanyika hivyo na rais wenu ungekua uko hapa kila siku ukitusifia vile kila mwafrica anataka kuwa mtanzania.....
 
Hizi ndo zinaitwa dilusions of gradeure, eti ushawishi, sifa nzuri, mazingira bora 😂 😂 😂 😂 😂 😂 siku hizi naona hata RWanda iko na ushawishi mkubwa kuwashinda!
 
Kenya ninyi ni nchi ya ajabu sana
1) Mnakopa Sana
2)Mnapokea chakula cha msaada
3)Mnafutiwa madeni
4)Hamuwezi kujenga mradi wowote mkubwa kwa kutumia pesa ya ndani.
Hahahaha, Hahahaha
Hakuna siku utawahi elewa Kenya wewe, ukifikiri unatujua unaoonyeshwa kumbe hautujui

Baada ya kujisifu mwaka mzima kw akufanya projects kwa hela zenu za ndani, mwishowe Wizara yenu ya Elimu inapata takwiban $600Million kuendesha sector nsima ya elimu...
Kenya na ukopeshaji wote kufanya miradi, mwisho wa siku, Wizara ya elimu inapata takriban $5Billion kuendesha sector yote ya elimu manake huku kwetu hii ndo priority zaidi, iko siku utakuja niambia umuhimu wa kuwekeza kwa masomo.

Alafu hua mnapenda kutuimbia wimbo wa kununua vitu kwa cash, hii mikoppo yote mliochukua inaenda wapi? hapo nadhani ni kama $4Billion ya mikopo kwa nchi ya 'kununua na pesa zetu '

1592206576160.png

Tanzania's budget speech 2020/21 by Dr Mpango
 
Ukitaka kujui yupi mwenye roho mbaya ngojea siku janga likitokea Tanzania au Kenya........ Kwa wakenya watatoa pole, waulize kama kuna kitu wanaweza kusaidia, yani tunasahau uhasama wote baina yetu...
Lakinini ngoja janga litokee Kenya, hehe utaskia zile za 'ndio zao hao', 'heri hivyo','vizuri sana' 'sasa ni wakati wetu kuwapiku kiuchumi'........ alafu topic itajaa kama 500,000 views ndani ya lisaa la kwanza.

Alafu wewe ukiwa ni mtu wa kushinda hapa JF siku nzima ambapo kuna mkusanyiko wahabari za Kenya zinazohusiana na Tanzania lazima utaanza kua na delusions kwamba dunia inazunguka Tanzania......... Kule nje ya EAC , (Mwanzo hata si nje ya EAC, Nje ya Kenya na Uganda) no one gives a shit about Tanzania (ladba kwa muziki siku hizi) ... Hii ndo maana hakua Malawi news section hapa JF, Ha
Kuna ule wakati rais uhuru alikua bado hajaondoa account yake ya facebook, ulikua ukipitia pale kila siku unapatana na comments kibao za "I am from Zambia, mozambique, Mali, Sudan, ...etc and I wish we had a president like yours ama I wish my country was Kenya" etc etc Mi nilikua naangalia hizo comment za kutupilia mbali manake najua hawamjui na hawamfwatilii kila siku kwahivyo wao hua wana notoce akiwa amefanya wazuri pekee. alafu mbali na hilo, najua ni sampuli ndogo sana ya watu kutoka hizo nchi ambao wanafywatilia hio nchi kwahivyo wao ni minority. lakini najua mtu kama wewe ingekua inafanyika hivyo na rais wenu ungekua uko hapa kila siku ukitusifia vile kila mwafrica anataka kuwa mtanzania.....
Ninyi wakenya 24/7 mnaichafua Tanzania, kila inaposifiwa Tanzania au Magufuli, lazima wakenya mtajitokeza kupinga na kuisema vibaya Tanzania. Tangu Magufuli alipoingie madarakani, vyombo vingi vya habari duniani vimekua vikitangaza kuhusu yeye, hasa vya Africa, wakati raia wengi wa nchi za Africa wakimsifia ni Kenya pekee lazima mtapinga na kumchafua. Ulishaona wapi Uhuru au Kenya inasifiwa na watanzania wakapinga?

Hii habari ya kusubiri hadi kutokee matatizo ndio mnajifanya kutoa pole, huo ndio unafiki tusioupenda, iweje kipindi chote mnatuchafua na kututakia mabaya, lakini pindi hayo mabaya yakitufika ndio mnajifanya kutupa pole?

Sasa hivi wakenya wote wanaomba Tanzania tuanze kufa kwa wingi kwa Corona, ikitokea watanzania hatufi kwa wingi zaidi ya 90% ya wakenya wanakasirika sana, mngefurahi sana kuona watanzania tinakufa ili mpate sababu ya kumsema Magufuli.
 
Back
Top Bottom