Hii ni kwasababu unaonyesha haya ukiwa na fikra za ki CCM, in Kenya private business ndio inaongoza kwa uwekezaji, sana sana serekali ni more of enabler of business than bieng at the center of business.
Ukisikia big four agenda unafikiria ki u CCM, Ukiskia manufacturing haimaanishi eti serekali yenyewe ndo itatoa mabilioni kujenga viwanda, inamaanisha serekali itapandisha tax ya imported products alafu ipunguze au iondoe tax ya raw materials, Central Bank i release pesa kwa benki ili manufatures wapewe soft loans za kupanua viwanda, hii inasababisha viwana vya ndani kupata incentives ambazo zinawezesha kupata faida na kuwekea zaidi na mwishowe kuweza kushindana na bidhaa zza nje.... Na hata pele ambapo unaona serekali yenyewe inajenga kiwanda, utakuta wanataka wakianzishe tu kikianza kupata faida wanauza shares kimilikiwe na watu wengine ili jukumu la kukiendesha kiwanda hicho iende kwa mtu mwengine..
Kapuni kama Safaricom haikukua vile imekua kwasababu serekali iliipa hela nyingi, ilikua kwasababu serekali ilitengeneza conducive environment kupitia kutunga sheria, kuacha ku interfere na uendeshaji wake... etc Leo hii Safaricom inaata faida kubwa kuliko all top 15 biggest companies za Tanzania combined!
Ukiskia affordable housing si eti serekali itajenga nyumba kwa hela zake, ni kwamba muekezaji akijenga nyumba ndani ya affordable housing anapewa tax break kwa kaa miaka kumi ya kwanza manake anasaidia serekali kujaza pengo la nyumba, lakini sharti la serekali ni kwamba akijenga hizo nyumba material zote atanunua za hapa Kenya, sio imported products, kwahivyo, milango, sink, choo, tiles, cabins, wardrobe, bulbs...etc zote lazima wanunue from local manufacturers.... Kwasababu ya hizi incentives mwaka huu kunajengwa nyumba nyingi za watu wa chini kuliko wakati mwengine wowote wa historia ya Kenya! imeshinda hata ile ya ma 1970's ambapo serekali ilikua inajenga nyumba za manuspa kila kona kenya.
Nitakupa mifano mipili...
Expressway ya kutoka JKIA hadi Nairobi CBD , inagarimu $600m lakini hii pesa haiko kwa bajeti iliosomwa mwezi huu manake ni PPP project, hizo hela zinahesabiwa kwama private investment.
Wiki hii wameanza ku clear katikati ya hio barabara manake hapo ndo daraja litapita,
Last week walikua wanajenga supporting facilities
Ujenzi wake unakamilika December 2022 na ikikamilika itakua kitu kama hiki
Essentially kutakua na barabara ya chini na barabara ya juu
Ya chini itakua ni barabara ya kawaida lakini ya ndo itakua ni tolled expressway ambapo utalipa ksh300 kutumia kwa masaa 12... hivyo ndo hao wawekezaji watajilipa na kuregesha hela yao + faida
Mfano wa pili ni campuni ya Kengen kwa mara ya kwanza nayo itajengewa power plant mpya ya 140MW kuitia PPP ujenzi utaanza mwaka huu na itagarimu kama $100m. Project za ki hivi haziesabiwi kwa bajeti
Na nitakuongezea bonus manake ofcourse hatuwezi kuongelea kuhusu PPP bila kutaja Lake Turkana wind farm amabyo ni project ya $750 Million.
Public-Private Partnerships in Africa: Some Lessons from Kenya’s Lake Turkana Wind Power Project | Africa Up Close
Kwahivyo ukiskia eti housing , manufacturing, energy zinapewa pesa kama hizo ulizotaja hapo juu, usifikiri eti sasa Kenya hakuna projects mwaka huu, Kwa mfano kwasababu ya hizo incentives kwa sector ya Housing, kuna project moja ya kujenga 8,888 housing units ambapo mwekezaji atawekeza $500m katika hio project chini ya PPP. Na kuna nyengine babkubwa ya kujenga 10,000 units pia chini ya PPP ambapo serekali ndo itachukua risk ya kama mkaazi atashindwa kulipa morgage huko mbeleni, ni serekali ndo itachukua jukumu la kulipa alafu mkaazi ataelewana na serekali vile watalipana polepole.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
An impression of Habitat Heights in Mavoko. PHOTO | COURTESY
A Singaporean real estate firm is building an 8,888-unit multibillion-shilling mixed-use development in Mavoko, Machakos County, as it eyes a piece of the potentially lucrative but badly ignored
low cost housing market in Kenya.
Singapura Developers says the development, which will be known as Habitat Heights, will host residential units ranging from studios, one-bedroom, two-bedroom and three-bedroom units on seven blocks of between 24 and 26 floors.
Sitting on a 77.75-acre piece of land in Lukenya Hills, off the Nairobi-Mombasa highway, Habitat Heights will be completed in seven phases, gifting Mavoko a new
Sh50 billion estate.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------