Uchumi wa Kenya wazidi kuelekea kuzimu, deni la Taifa kufikia $72B baada ya bajeti ya leo

Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.

Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.
Urongo mbaya jamani
 
Who are you to dispute our financial minister? Remember not all the money we received we all loans, others were grants and donations. And we also pay our debts monthly.
Remember that $72B is just the amount of money that Kenya borrowed (Principal loan), if you add up interest, it can be $90B
 
Aibu kwenu. I wish ingekuwa ukweli. Lakini ukweli ni Kuwa deni ya Kenya haijapita $60 billion.
Tony254, Tafadhali sana tunakutafuta kule katika uzi wa "Amina vs Ngozi" utuwekee CV ya Dada yetu Amina ili tulinganishe.
 
Remember that $72B is just the amount of money that Kenya borrowed (Principal loan), if you add up interest, it can be $90B
Source ya deni ya Kenya kuwa $72 billion iko wapi? Hio instagram post imetolewa. Hata sikupata fursa ya kuisoma. Baada ya kutoka Opera news leo asubuhi sasa umezamia instagram? Mbona unaokota takataka kwenye internet unaleta huku? Hebu attach tena hio post ya instagram tena maana mimi huko huwa naenda kuona makalio ya Vera Sidika, huko hakuna Wachumi tajika.
 
MADENI: Uchumi wa Kenya katika hatari ya kuzama
Ingia katika website ya wizara ya pesa ya Kenya kwa ajili ya "Confirmation"
 
Basi wewe ndio ulinichanganya. Budget deficit ni $13billion na sio $1.3 billion kama ulivyoandika. Na hio ndio deni ambayo lazima tukope ili kujaza deficit. Lakini bado hatujaikopa bado. Hatujui kama serikali itakopa hio pesa yote au la. Ila budget yenyewe ingepunguzwa kwa maoni yangu
 
Remember that $72B is just the amount of money that Kenya borrowed (Principal loan), if you add up interest, it can be $90B

Also take into consideration, most of these loans were secured NOT from the consessional source but commercial like the SGR.
Kenya has to go back to the drawing board and see how properly can plan for future credits.
 
Basi wewe ndio ulinichanganya. Budget deficit ni $13billion na sio $1.3 billion kama ulivyoandika. Na hio ndio deni ambayo lazima tukope ili kujaza deficit. Lakini bado hatujaikopa bado. Hatujui kama serikali itakopa hio pesa yote au la. Ila budget yenyewe ingepunguzwa kwa maoni yangu
Kukopa ni lazima mkope, haiwezikani hiyo pesa kuwepo katika makadirio ya bajeti na msikope, swali ni kama mtapewa yote, kwasababu sio pesa yote ambayo Serikali inakopa na kuipata, hasa kwa sasa hivi ambao "credit rating" ya Kenya ilivyoshuka.
 
Also take into consideration, most of these loans were secured NOT from the consessional source but commercial like the SGR.
Kenya has to go back to the drawing board and see how properly can plan for future credits.
Kenya hali ni mbaya sana, huyu Akur alipokabidhiwa hii wizara ya fedha, aliingia kwa mbwembwe sana akidai kwamba hatochukua mikopo ili kupunguza deni la Taifa, ninashangaa anakopa zaidi kuliko Rotich.
 
Kukopa ni lazima mkope, haiwezikani hiyo pesa kuwepo katika makadirio ya bajeti na msikope, swali ni kama mtapewa yote, kwasababu sio pesa yote ambayo Serikali inakopa na kuipata, hasa kwa sasa hivi ambao "credit rating" ya Kenya ilivyoshuka.
Hatuna junk credit status. Watu walio katika junk status ndio wanapata tabu.
 
Kwahiyo hiyo pesa mtakopeshwa haraka sana, ndio sababu wanasema ikifika September 2020 deni litafika $72B baada ya Kenya kupata huo Mkopo.
 
Back
Top Bottom