IMF ni ndugu na WHO waliosema june kutakuwa na maiti zikizagaa kila mitaa ya nchi za africa.Uchumi wenu utakua kwa 2% mwaka huu kulingana na IMF kwahivyo mkidanganywa eti hamna msoto Tz hio itakua bado ni ndoto!
Mipando yetu iko more effective kuliko yenu, wewe unaleta hoja za kitoto za KeVS TZ, unasema kiwango kinachowekezwa na serekali ni factor muhimu ilhali sector zetu za uchumi zinazalisha mapato mengi kuliko sector zenu nyingi licha ... Tukiongelea sector za viwanda, umeme, kilimo biashara, barabara, miundombinu... zote hakuna mahali mnatufikia. alafu unaleta kibishibishi hapa....Wacha ujinga wake wewe, weka hapa bajeti yenu katika kila sector tuone. Kiwango cha pesa kinachowrkezwa na Serikali katika kila sector ni " factor" muhimu sana katika kukuza hiyo sector, haina maana kwamba Serikali inajihusisha moja kwa moja, ila inahenga mazingira mazuri ya kuziwezesha hizo sector kama vile kutoa mikopo nafuu, kujenga miundombinu na vyote hivyo vinataka pesa.
Hata huko katika Elimu ambako mumewekeza pesa nyingi, pia kuna private sector. Wakulima wenu wanahitaji mikopo nafuu, kujengewa mifumo ya umwagiliaji, kupata mbegu na madawa kwa "Subsidized prices", kama Serikali haitoi pesa ya kutosha, lazima gharama za KILIMO zitakua juu, matokeo yake mazao yanayozalishwa Kenya yanakua ghali.
Weka hapa tuone pesa mnayotenga katika sector za maendeleo wacha kupiga kelele.
Estimates za WHO ni projection za kama hamtachukua mikakati yeyote ikiwa rate of infection ni 1 +ve person ana infect atleast 2 people, kwahivyo kuanzia hapo unaproject baada ya miezi kadhaa watu wangapi watakua wamekufa kama hautaweka mikakati yeyote ya kuzulia usambazaji wa corona.... Kwahivyo WHO ikitoka takwimu za vifo na maambukizi tafadhali watanzania, someni na muelewe jameni, sio kutupa mikiki eti wanawaombea mabaya sijui mnaonewa.... hata sisi tulisemekana tutakua tumefika 10,000 infection by end of April, sahii tuko June na bado hatujafika hata nusu ya hio.... Hii inaonyesha ni mikati tuliochukua ndo imefanya tusifike huko, lakini kama hatungechukua hatua yoyote kuzulia usambazaji hapo ndo tungefika huko 10,000 by april na sahii tungekua tuko 60,000 infections kulingana na hizo estimates zao.IMF ni ndugu na WHO waliosema june kutakuwa na maiti zikizagaa kila mitaa ya nchi za africa.
Wasikilize lakini usiwape nafasi ya Mungu,kwamba wakisema kitu ndivyo kilivyo.ukitaka kujua wale ni watu wa namna gani,subiri hawana muda mrefu utashangaa wanaleta makadirio mengine ya ukuaji wanaweka 8 kwa tz,sisi kama tz tunapokea taarifa zote hii ya 2%,1%5% even 6%,tunaendelea kufanya kazi.
WHO walifanya makadirio ndio,nani amekataa walitizamia hatua zisipochukuliwa!!!sisi tunabeza sababu hatua tulizochukua sio walizotuasa wao na zimelata matokeo chanya.lakini watu kama nyinyi mnashirikiana nao kutudhihaki,ndio mnakwenda au mko nusu ya kile walicho kitabirk,tuseme nini sasa!!!Estimates za WHO ni projection za kama hamtachukua mikakati yeyote ikiwa rate of infection ni 1 +ve person ana infect atleast 2 people, kwahivyo kuanzia hapo unaproject baada ya miezi kadhaa watu wangapi watakua wamekufa kama hautaweka mikakati yeyote ya kuzulia usambazaji wa corona.... Kwahivyo WHO ikitoka takwimu za vifo na maambukizi tafadhali watanzania, someni na muelewe jameni, sio kutupa mikiki eti wanawaombea mabaya sijui mnaonewa.... hata sisi tulisemekana tutakua tumefika 10,000 infection by end of April, sahii tuko June na bado hatujafika hata nusu ya hio.... Hii inaonyesha ni mikati tuliochukua ndo imefanya tusifike huko, lakini kama hatungechukua hatua yoyote kuzulia usambazaji hapo ndo tungefika huko 10,000 by april na sahii tungekua tuko 60,000 infections kulingana na hizo estimates zao.
Kwahivyo wacheni kusoma vitu kiushabiki na kuongiza siasa kwa takwimu za wataalam. Hata hizo takwimu za uchumi wa 2% ni kulingana na hali ilivyo sasa na sector ambazo zime simama kama vile utalii, exports, factory production..etc, lakini leo hii kukipatikana vaccine ya corona basi mambo yatageuka mbio mbio na uchumi wa dunia ukarudi pazuri faster faster, kitu ambacho kitafanya hizo projections kua inacurate, lakini kama corona itaendelea ku affect uchumi kama inavyofanyika sasa basi hio 2% growth ndo mnaelekea hapo.
Nilikuwekea % ya bajeti inayokwenda katika development project Tanzania, tunalinganisha na Kenya, hii inaonyesha ni kiasi gani Serikali inatoa kipaumbele katika development vs recurrent expenditure. Tanzania mwaka huu tumetenga 37% katika miradi ya maendeleo, na 25% katika mishahara. Tafadhali tuanzie hapo kabla hatujakwenda katika "actual figures". Wake % ya bajeti ya Kenya ya maendeleo na mishaharaMipando yetu iko more effective kuliko yenu, wewe unaleta hoja za kitoto za KeVS TZ, unasema kiwango kinachowekezwa na serekali ni factor muhimu ilhali sector zetu za uchumi zinazalisha mapato mengi kuliko sector zenu nyingi licha ... Tukiongelea sector za viwanda, umeme, kilimo biashara, barabara, miundombinu... zote hakuna mahali mnatufikia. alafu unaleta kibishibishi hapa....
Hebu mwanzo anza na kuleta hizo bajeti za Tanzania mwanzo tukuone kama unajua unachokiongelea....... post bajeti ya hizo sector zenu na mikakati mlio weka alafu nikuonyeshe vile Kenya mambo hufanywa tofauti lakini mwisho wa siku hela kamili zinazowekezwa ukichanganya private+govnt ni nyingi zaidi kuliko Tz.
Mishahara na posho tu ni zaidi ya 60%,nayo bado inakopwa maana bajeti inakwama njiani[emoji23][emoji23]Nilikuwekea % ya bajeti inayokwenda katika development project Tanzania, tunalinganisha na Kenya, hii inaonyesha ni kiasi gani Serikali inatoa kipaumbele katika development vs recurrent expenditure. Tanzania mwaka huu tumetenga 37% katika miradi ya maendeleo, na 25% katika mishahara. Tafadhali tuanzie hapo kabla hatujakwenda katika "actual figures". Wake % ya bajeti ya Kenya ya maendeleo na mishahara
Sisi tuko nusu ya kile walichokitabiri sababu tunapima (hata kama tunajua bado kuna wengi zaidi hatujapima),WHO walifanya makadirio ndio,nani amekataa walitizamia hatua zisipochukuliwa!!!sisi tunabeza sababu hatua tulizochukua sio walizotuasa wao na zimelata matokeo chanya.lakini watu kama nyinyi mnashirikiana nao kutudhihaki,ndio mnakwenda au mko nusu ya kile walicho kitabirk,tuseme nini sasa!!!
Wanasema uchumi wetu utakua kwa 2% wakiwa wanajua kabisa,tuliliona hilo mapema na kuamua kwenda tofauti na wajinga wao wanaosikioiza kila wanachowaelekeza.
Hizo hisia za kudhani kila kitu siasa ndio zinafanya mfungiwe ndani mkiwa hamuumwi.
So lengo ni kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hivi tukisema mna akili za kuku huwa mnajua ni sababu ya nini!!!!Sisi tuko nusu ya kile walichokitabiri sababu tunapima (hata kama tunajua bado kuna wengi zaidi hatujapima),
nyinyi hamjulikani mnamatokeo gani sababu hata hampimi tena, sasa unakuja hapa kujisifia kuzika kichwa chini ya mchanga , Kwa kifupi hii picha ina summarise Tanzania na corona
Hizi ndo hatua mliochukua ambayo imeleta matokeo chanya. Tanzania hakuna corona!
hata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...Nilikuwekea % ya bajeti inayokwenda katika development project Tanzania, tunalinganisha na Kenya, hii inaonyesha ni kiasi gani Serikali inatoa kipaumbele katika development vs recurrent expenditure. Tanzania mwaka huu tumetenga 37% katika miradi ya maendeleo, na 25% katika mishahara. Tafadhali tuanzie hapo kabla hatujakwenda katika "actual figures". Wake % ya bajeti ya Kenya ya maendeleo na mishahara
Lengo la kupima ni kujua hali kamili/uhalisia wa mambo, si kama wengine wanaimba hawana corona ilhali hawana takwimu zozote, akili hizi ndo zile mmerithishwa na babu zenu waliopigana majimaji rebelion na risasi wakiamini zitageuka maji 😂😂🤣🤣So lengo ni kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hivi tukisema mna akili za kuku huwa mnajua ni sababu ya nini!!!!
Ok mnatarajia kumaliza lini shughuli ya kupima??
Ujue hali gani wewe na mbuzi wengine!!!!Lengo la kupima ni kujua hali kamili/uhalisia wa mambo, si kama wengine wanaimba hawana corona ilhali hawana takwimu zozote, akili hizi ndo zile mmerithishwa na babu zenu waliopigana majimaji rebelion na risasi wakiamini zitageuka maji [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hujui unalozungumza wewe, Bajeti yenu yote hii hapa, wewe nimekuambia uniambie % ya bajeti inayolipa mishahara ni kiasi gani na ile inayokwenda katika miradi ya maendeleo ni kiasi gani, wewe unaleta ujinga wako.hata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...
---------------------------------------------------------
6 days ago 6341 views by Muyela Roberto -
The Kenya Revenue Authority (KRA) expects to collect KSh 1.89 trillion in 2020/2021 fiscal year as part of finances to fund the KSh 2.79 trillion budget - Treasury CS Ukur Yatani said the recurrent expenditure was expected to be KSh 1.82 trillion while development expense was set to gobble up KSh 633.1 billion .
Yatani allocated KSh 497 billion to the education ministry, health services (KSh 111.7 billion), food security (KSh 52.8 billion), security (KSh 167.9 billion) and KSh 10.2 billion for NYS .
Counties total allocation was KSh 369.9 billion while the Ethics and Anticorruption Commission, Office of Director of Public Prosecution received KSh 3.1 billion each The Ministry of Education has received the highest allocation at KSh 497 billion in the 2020/2021 proposed budget tabled in Parliament on Thursday, June 11. Read more: Budget 2020/21: Ukur Yatani tables maiden KSh 2.79 trillion budget
---------------------------------------------------------------
Rccurent expenditure ni $18.2B while budget ni $27.9B
View attachment 1482330
Kwahivyo kwa upande wa National govt 35% ya bajeti ni development expenditure........ Tena ukikumbuka $9B ndani ya hio $18.2 Billion ya recurrent expenditure inaenda kulipa madeni, hio ndo imesababisha recurrent expenditure kua nyingi kulazimisha development exenditure iwe ndogo, lakini licha ya hilo la deni kubwa bado development budget ya serekali ni kubwa kwa 35% ambayo si mbali na hio 37% ya Tanzania ambapo kule kwa recurrent expenditure ni $4.3B tanzania zinaenda kulipa madeni.
Na ukumbuke Tanzania ni almost twice as big as Kenya in land mass kwahivyo kama ni barabara itabidi mjenge nyingi ndo muwe sawa na kenya, na kwa population kuna takriban watanzania 10Million zaidi ya wakenya so kwa karatasi itahitaji muwe na bajeti mara dufu zaidi, ya maendeleo, not just in terms of % but also in actual figures ndo umatch spending ya maendeleo interms of development spending per capita
Wacha kupiga domo tupu kwa kutaka kuonekana unajua vitu, rudi YouTube msikilize Uhuru Kenyatta akilalamika kwamba mishahara inachukua 52% ya bajeti ya nchi wakati watumishi wa nchi nzima ni 2% ya population ya Kenya, jambo ambalo halikubaliki kwa watu wachache kufaidi mapato na kuacha watu wengi wakitesekahata huko kwa % sije ukagundua umeuma nje ikabidi ukimbie ukajipange ndo urudi tena...
---------------------------------------------------------
6 days ago 6341 views by Muyela Roberto -
The Kenya Revenue Authority (KRA) expects to collect KSh 1.89 trillion in 2020/2021 fiscal year as part of finances to fund the KSh 2.79 trillion budget - Treasury CS Ukur Yatani said the recurrent expenditure was expected to be KSh 1.82 trillion while development expense was set to gobble up KSh 633.1 billion .
Yatani allocated KSh 497 billion to the education ministry, health services (KSh 111.7 billion), food security (KSh 52.8 billion), security (KSh 167.9 billion) and KSh 10.2 billion for NYS .
Counties total allocation was KSh 369.9 billion while the Ethics and Anticorruption Commission, Office of Director of Public Prosecution received KSh 3.1 billion each The Ministry of Education has received the highest allocation at KSh 497 billion in the 2020/2021 proposed budget tabled in Parliament on Thursday, June 11. Read more: Budget 2020/21: Ukur Yatani tables maiden KSh 2.79 trillion budget
---------------------------------------------------------------
Rccurent expenditure ni $18.2B while budget ni $27.9B
View attachment 1482330
Kwahivyo kwa upande wa National govt 35% ya bajeti ni development expenditure........ Tena ukikumbuka $9B ndani ya hio $18.2 Billion ya recurrent expenditure inaenda kulipa madeni, hio ndo imesababisha recurrent expenditure kua nyingi kulazimisha development exenditure iwe ndogo, lakini licha ya hilo la deni kubwa bado development budget ya serekali ni kubwa kwa 35% ambayo si mbali na hio 37% ya Tanzania ambapo kule kwa recurrent expenditure ni $4.3B tanzania zinaenda kulipa madeni.
Na ukumbuke Tanzania ni almost twice as big as Kenya in land mass kwahivyo kama ni barabara itabidi mjenge nyingi ndo muwe sawa na kenya, na kwa population kuna takriban watanzania 10Million zaidi ya wakenya so kwa karatasi itahitaji muwe na bajeti mara dufu zaidi, ya maendeleo, not just in terms of % but also in actual figures ndo umatch spending ya maendeleo interms of development spending per capita
Jamaneni sasa umeacha haya ya 2020 umeenda kuokota taarifa ya April 2014 ambapo wanaongelea bajeti ya 2013,.2013 tulikua na madeni mangapi? 2013 ilikua only $3B ndo zinaenda kulipa madeni kwahivyo bado tulibaki na nyingi za maendeleo...Wacha kupiga domo tupu kwa kutaka kuonekana unajua vitu, rudi YouTube msikilize Uhuru Kenyatta akilalamika kwamba mishahara inachukua 52% ya bajeti ya nchi wakati watumishi wa nchi nzima ni 2% ya population ya Kenya, jambo ambalo halikubaliki kwa watu wachache kufaidi mapato na kuacha watu wengi wakiteseka
Kenya's wage bill dilemma