Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,

hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.

Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
 
Fikiria mtu anaishi kijijini, ana access na maji, mbogamboga, matunda, wengine wanafuga nk japo anaishi kibanda cha nyasi, unasema ni masikini anatumia dola moja kwa siku
 
Haha inafikirisha
 
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,

hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.

Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
Fingures ni muhimu ila jua zaidi ya 80% ya watanzania wanishi nje ya uchumi wa dunia, illegally surviving kwao data sio muhimu.
 
Back
Top Bottom