Johnpaulthesecond
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 503
- 480
==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta binafsi pekee zikifikia jumla ya TZS 42Trilioni sawa na ongezeko la TZS18.1Trilioni, Mwaka 2024 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia
TZS77.13Trilioni wakati rasilimali za sekta binafsi pekee zikifikia jumla ya TZS54Trilioni sawa na ongezeko la TZS23. 13Trilioni.Ongezeko hili ni kiashiria cha Rais Samia kuithamini na kuipenda zaidi sekta binafsi kwa kutambua kuwa sekta binafsi ni mdau muhimu katika ukuaji wa Pato na Uchumi wa Taifa.
Sasa Watanzania mnataka mpewe gunia la chawa mjikune au mpewe la misumari mjitwike kichwani?