The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT.
Na Malisa.
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia Uchumi wa Kati Machawa waliongea sana, kila kitu wakasema uchumi wa kati. Gari la uchumi wa kati, nyumba uchumi wa kati, simu uchumi wa kati. Hadi mvua ikinyesha walisema mvua ya uchumi wa kati. Lakini leo watazipita hizi takwimu za IMF kama wanaaga maiti.
Kutoka $2,400 hadi $1,300 something must be very wrong. Kwa kifupi purchasing power ya Mtanzania imepungua kwa karibu nusu. And this is not abt politics its abt economy. Nyie askari wa doria mnaopita mitandaoni kutafuta umbea, msilete mihemko. Hapa tunajadili uchumi sio siasa. Najua hata nyie mmepigika, kwahiyo kaeni kwa kutulia mpate shule ya uchumi.
Nini kimetokea mpaka tumetoka nchi ya uchumi wa kati hadi miongoni kwa nchi fukara duniani? Wastani wa pato la Mtanzania mmoja mmoja lilikua $2,400 (karibu TZS 6M) kwa mwaka, lakini ndani ya muda mfupi limeporomoka hadi $1,300 (TZS 3M). Tumefikaje hapa na tunatokaje?? Wachumi tusaidieni.!