a sarcasm.You can't be serious
a sarcasm.You can't be serious
Vigezo vya Daktari Mwigulu hivi, benki kuna safu ndefu!Sasa hv vituo vya mafuta vinaota kama uyoga na vyote vinaajiri na kuuza. Huko ndo kushuka kwa purchasing power!?
Sasa hv miji yote ina foleni za magari madogo. Wanaosafiri safari ndefu kwa private cars wanaongezeka kila uchao. Huku ndo kushuka kwa purchasing power!?
Sasa hv maduka ya hardware yanafunguliwa kila kona na yote yanauza pamoja na kupanda bei kwa vifaa vya ujenzi. Huko ndo kushuka kwa purchasing power!?
English Medium Primary schools zimejaza wanafunzi pamoja na kuwa ada ziko juu. Hata Mama Lishe, bodaboda, wapiga debe wanasomesha English Medium. Huko ndo kushuka kwa Purchasing power!?
Umenichekesha kwi kwi kwikwikwi...................Write your reply...SAWA
Yaan IFM ipike data kwa faida ya nani mkuu?Then hiyo USD 2400 ilikuwa ya uongo. Watakuwa walipika data hawa.
Yaan IFM ipike data kwa faida ya nani mkuu?
Kama kupika data, serikali iliyopo ndo yenye sifa zote hizi,
Mpaka sasa, haitambui mo29 iwapo kuna Watanzania waliwawa, ishindwe kutengeneza data za uwongo za uchumi wetu?
1.Faida ambazo nchi inaweza kuzipata za kuwa kwenye uchumi wa kati ni zipi mkuuIMF wanapata data toka serikalini. Serikali ndiyo inaweza kupika data. Unakumbuka ile bill ya Buresu of Statics ilipyopitishwa wakati wa JPM.... Ililenga kuprotect data. Toka that time kumrkuwa na exaggeration ya kubwa sana kwenye data za serikali.
1.Faida ambazo nchi inaweza kuzipata za kuwa kwenye uchumi wa kati ni zipi mkuu
2. Hasara za nchi kuwa nchi masikini ni zipi?
Kama kuna faida nchi inazipata kutokana na juhudi za kuitoa nchi kwenye kuitwa masikini na kisha uchumi wa kati, Kwa nini serikali zisiwe zinapika data ili kupata hizo fursa?
Mimi siamini kabisa ikiwa serikali ya JPM ilipika data ili tu nchi iwe kwenye uchumi wa kati na kisha kuanza kupokea mikopo yenye riba ndoogo ukilinganisha na riba ya mikopo nchi inapokuwa masikini
Kama serikali hujitengenezea data kisha kuwapa hao IMF, serikali zote za nchi masikini zingependa kupika data
Code and jokesYou can't be serious
Haya mambo ya uchumi sisi wengine tuwaachie wenye taaluma hiyo.Sasa hv vituo vya mafuta vinaota kama uyoga na vyote vinaajiri na kuuza. Huko ndo kushuka kwa purchasing power!?
Sasa hv miji yote ina foleni za magari madogo. Wanaosafiri safari ndefu kwa private cars wanaongezeka kila uchao. Huku ndo kushuka kwa purchasing power!?
Sasa hv maduka ya hardware yanafunguliwa kila kona na yote yanauza pamoja na kupanda bei kwa vifaa vya ujenzi. Huko ndo kushuka kwa purchasing power!?
English Medium Primary schools zimejaza wanafunzi pamoja na kuwa ada ziko juu. Hata Mama Lishe, bodaboda, wapiga debe wanasomesha English Medium. Huko ndo kushuka kwa Purchasing power!?
Ilikuwa USD1,800. Tukawa uchumi wa kati chini (lower middle income). Sasa tumeshuka na kurudi tulikozoea kuwa, yaani kwenye nchi maskini sana, chini ya Jangwa la Sahara, lower income. Huko kusini mwa jangwa la sahara, ndiko walikojazana maskini wa kutupwa.Hatukuwahi kufika dollar 2400 boss. Pengine umeamua kupotosha kwa makusudi.
Umwachie nani maisha yako.Haya mambo ya uchumi sisi wengine tuwaachie wenye taaluma hiyo.
Naamini wewe siyo mchumi.
Kaka nchi hii hajawahi kuvuka Dollar 1600 usitudanganye tafadhali.Ilikuwa USD1,800. Tukawa uchumi wa kati chini (lower middle income). Sasa tumeshuka na kurudi tulikozoea kuwa, yaani kwenye nchi maskini sana, chini ya Jangwa la Sahara, lower income. Huko kusini mwa jangwa la sahara, ndiko walikojazana maskini wa kutupwa.
Tanzania ipo kwenye kundi la nchi maskini, lakini ukiwasikia machawa wanasifia watawala, unaweza kudhani labda sisi ndiyo tupo juu ya Dunia yote!!
Huu umaskini wa kipato, ni matokeo tu ya ule umaskini halisia, yaani umaskini wa akili, hasa ule wa watawala. Mkikubali kuongozwa na vipofu, lazima mtumbukie shimoni.
Fikiria nchi ipo huru miaka yote hii, lakini hakuna mradi hata mmoja ulio mkubwa tunaoweza kuujenga kwa pesa zetu. Miradi yote mikubwa lazima pesa iwe ya msaada au mkopo!! Kodi zetu zote zinatumika kuwateka na kuwaua walipa kodi!!
MBA purchasing inapimwa kwa vigezo ulivyotaja?Umwachie nani maisha yako.
Mambo niliyotaja hapo ni ya kawaida sn wala hayahitaji PhD ya uchumi
Huko sasa ndo kukariri.Kwa
MBA purchasing inapimwa kwa vigezo ulivyotaja?
To calculate a country's purchasing power, you use Purchasing Power Parity (PPP), which compares the cost of a standardized basket of goods and services in different countries, essentially finding an exchange rate that equalizes prices, often by dividing the price of an item in one country by the price of the same item in another (e.g., \(S=P_{1}/P_{2}\)). The goal is to see how much currency is needed to buy the same amount of goods, revealing if a currency is overvalued or undervalued relative to its real buying power, with major organizations like the OECD and Eurostat conducting large-scale surveys for accurate PPPs.
Angalia exchange rate ya pesa yenu. Utaona ulivyo andika mambo ya ovyo ya kujifurahisha tu.