The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
You can't be seriousWewe ni kama haupo Tanzania,sisi Tanzania sasahivi tunaizidi uchumi marekani hao IMF ni mabeberu wanatuonea wivu wanataka kuzua taharuki tugombane wachukue rasilimali zetu naomba uwapuuze
Rwanda wanakuja mbio mbioSidhani kama tumewahi kufikia $2400 per capita income, labda kama unamaanisha $1400
Lakini ni kweli tunazembea kama taifa
Hadi Uganda sasa wanatuzidi per capita income. Miaka michache ijayo tujiandae, Rwanda watatupita pia
Itoshe kusema tumekusikia!Wewe ni kama haupo Tanzania,sisi Tanzania sasahivi tunaizidi uchumi marekani hao IMF ni mabeberu wanatuonea wivu wanataka kuzua taharuki tugombane wachukue rasilimali zetu naomba uwapuuze

Sasa hv vituo vya mafuta vinaota kama uyoga na vyote vinaajiri na kuuza. Huko ndo kushuka kwa purchasing power!?GT.
Na Malisa.
View attachment 3529348
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia Uchumi wa Kati Machawa waliongea sana, kila kitu wakasema uchumi wa kati. Gari la uchumi wa kati, nyumba uchumi wa kati, simu uchumi wa kati. Hadi mvua ikinyesha walisema mvua ya uchumi wa kati. Lakini leo watazipita hizi takwimu za IMF kama wanaaga maiti.
Kutoka $2,400 hadi $1,300 something must be very wrong. Kwa kifupi purchasing power ya Mtanzania imepungua kwa karibu nusu. And this is not abt politics its abt economy. Nyie askari wa doria mnaopita mitandaoni kutafuta umbea, msilete mihemko. Hapa tunajadili uchumi sio siasa. Najua hata nyie mmepigika, kwahiyo kaeni kwa kutulia mpate shule ya uchumi.
Nini kimetokea mpaka tumetoka nchi ya uchumi wa kati hadi miongoni kwa nchi fukara duniani? Wastani wa pato la Mtanzania mmoja mmoja lilikua $2,400 (karibu TZS 6M) kwa mwaka, lakini ndani ya muda mfupi limeporomoka hadi $1,300 (TZS 3M). Tumefikaje hapa na tunatokaje?? Wachumi tusaidieni.!
GT.

Mimi naona uchumi wetu upo vizuri yale ma range rover ya rais na land cruisers ni uthibitisho tosha. Kuyaendesha tu bila uchumi kuwa thabiti haiwezekani. Kwasababu yanatuamia mafuta jagi kwa sekunde.GT.
Na Malisa.
View attachment 3529348
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia Uchumi wa Kati Machawa waliongea sana, kila kitu wakasema uchumi wa kati. Gari la uchumi wa kati, nyumba uchumi wa kati, simu uchumi wa kati. Hadi mvua ikinyesha walisema mvua ya uchumi wa kati. Lakini leo watazipita hizi takwimu za IMF kama wanaaga maiti.
Kutoka $2,400 hadi $1,300 something must be very wrong. Kwa kifupi purchasing power ya Mtanzania imepungua kwa karibu nusu. And this is not abt politics its abt economy. Nyie askari wa doria mnaopita mitandaoni kutafuta umbea, msilete mihemko. Hapa tunajadili uchumi sio siasa. Najua hata nyie mmepigika, kwahiyo kaeni kwa kutulia mpate shule ya uchumi.
Nini kimetokea mpaka tumetoka nchi ya uchumi wa kati hadi miongoni kwa nchi fukara duniani? Wastani wa pato la Mtanzania mmoja mmoja lilikua $2,400 (karibu TZS 6M) kwa mwaka, lakini ndani ya muda mfupi limeporomoka hadi $1,300 (TZS 3M). Tumefikaje hapa na tunatokaje?? Wachumi tusaidieni.!
Kweli. Hakuna takwimu zimewahi onyesha kuwa tuliwahi kufika 2400.Sidhani kama tumewahi kufikia $2400 per capita income, labda kama unamaanisha $1400
Lakini ni kweli tunazembea kama taifa
Hadi Uganda sasa wanatuzidi per capita income. Miaka michache ijayo tujiandae, Rwanda watatupita pia
Mnaisifia sana Rwanda. Nimewahi kufika huko hawana kipya Cha kuitisha Bongo. Hao tumewazidi Hadi dhambi.Samia anakwambia Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko marekani!
You wonder ni marekani hii chini ya Trump au ya kizimkazi🙆
Soon Rwanda ambayo ni size ya mkoa mmoja tu itaipita Tanzania na hapo ndipo ile nia ya Mwigulu ya wananchi wahamie Burundi itakuwa dhahiri kabisa.