Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili, usitumie pesa ovyo, na uwekezaji wako uufanye kwa akili, kuna jangwa lipo mbeleni, na lipo karibu sana. ukishaona wamarekani wameanza kujibizana na Rais wazi wazi kama balozi wao, jua EU nao wapo njiani, na jua hawawezi kutuacha salama.