Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
kuwa serious, nchi yako hiyo unayosema wewe una akili, asilimia kubwa inategemea misaada, huo mdomo wa kuongea unautoa wapi? si utulize bro.
Huu uzi wa september 12 , Rais kaongea lin?
Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali. Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana. Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi...