Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahahEnzi za kuishi kama mashetani zimejirudia tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahEnzi za kuishi kama mashetani zimejirudia tena.
Eti wazungu wameanza kuminya mpunga, as if wao ndio wanatakiwa kuendesha nchi yetu wanavyotakaNadhani hatuwezi kuishi maisha yetu kumfurahisha mzungu ili atupe misaada.
Ujinga wa Samia utatupeleka pabaya.Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili, usitumie pesa ovyo, na uwekezaji wako uufanye kwa akili, kuna jangwa lipo mbeleni, na lipo karibu sana. ukishaona wamarekani wameanza kujibizana na Rais wazi wazi kama balozi wao, jua EU nao wapo njiani, na jua hawawezi kutuacha salama.