Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wewe labda mateso ya uchumi kipindi cha magu ulikuwa mfu. mzungu akikemea utekaji unaona anakosea wakati kodi yake umeshaletwa hapa kwako? hivi mnajua mnakotupeleka?Nadhani hatuwezi kuishi maisha yetu kumfurahisha mzungu ili atupe misaada.
maisha magumu yakija hayachagui huyu ccm au huyu mpinzani,Chawa wanakwambia hatupangiwi cha kufanya, kuomba mikopo nafuu nakunyimwa sababu ya undumilakuwili unapata hasira kuanza kutukana watu, tushasema tujitegemee uone kama watatupangia lolote
Sikupingi mkuu, point yangu tusiwape saaaaaaana ukiranja katka mambo yetu. Kama kuna sehemu ni muhimu kukemea kwa misingi na tamaduni zetu tukemee bila kuogopa mzungu atafanyajewewe labda mateso ya uchumi kipindi cha magu ulikuwa mfu. mzungu akikemea utekaji unaona anakosea wakati kodi yake umeshaletwa hapa kwako? hivi mnajua mnakotupeleka?
Acha kuongea mambo maana unawaona ndio wenye dini yako , kuna wakandarasi hawajalipwa kwa fungu la mwaka jana sio leo hazina imekauka uliza sio unatafuta hoja ya kuonhgelea ..wewe labda mateso ya uchumi kipindi cha magu ulikuwa mfu. mzungu akikemea utekaji unaona anakosea wakati kodi yake umeshaletwa hapa kwako? hivi mnajua mnakotupeleka?
usichojua ni kwamba, dunia ya sasa hakuna mwenye nchi, nchi ni ya kwetu sote, ukifanya ukatili, dunia nzima inaweza kukukemea na kukutenga. wazungu walipoleta mambo ya ushoga, tuliwapinga, wakaona tuna sababu ya msingi kwasababu sio utamaduni wetu, wamekuwa wapole. ila wanapoona watu wanatekwa wanauawa, hapo kwanini wasiseme?, ni utamaduni wetu watanzania kutekana na kuuana pale watu wanapotofautiana mitazamo kwasababu tu wewe una dola na wengine hawana dola?Sikupingi mkuu, point yangu tusiwape saaaaaaana ukiranja katka mambo yetu. Kama kuna sehemu ni muhimu kukemea kwa misingi na tamaduni zetu tukemee bila kuogopa mzungu atafanyaje
Trumpth kakoswa mara mbili kwa risasi , unajua vifo vinavyotoka kwa kupigana ridhaa kweny hadhara huko USA kwa mwaka ...Mauaji ypo ndio maana mnakosa muelekeo kwa sababu mlikuwa mnamsingizia Magfuli .usichojua ni kwamba, dunia ya sasa hakuna mwenye nchi, nchi ni ya kwetu sote, ukifanya ukatili, dunia nzima inaweza kukukemea na kukutenga. wazungu walipoleta mambo ya ushoga, tuliwapinga, wakaona tuna sababu ya msingi kwasababu sio utamaduni wetu, wamekuwa wapole. ila wanapoona watu wanatekwa wanauawa, hapo kwanini wasiseme?, ni utamaduni wetu watanzania kutekana na kuuana pale watu wanapotofautiana mitazamo kwasababu tu wewe una dola na wengine hawana dola?
nadhani wewe ndio hutumii akili, badala ya kutoa hoja unapayuka. si ufafanue tu, kwani hadi uongee kama umevaa dera? kwahiyo tuseme huu uchumi umeharibikia mikononi mwa nani? na katikati ya kuharibika uchumi unakothibitisha, bado mtu mwingine atibue maji as if tunajitegemea kumbe huge amount ya budget yetu tunatembeza bakuli. kwa hao hao. SGR imestop kipindi cha kiangazi, watajenga kipindi cha mvua? shida nini?Acha kuongea mambo maana unawaona ndio wenye dini yako , kuna wakandarasi hawajalipwa kwa fungu la mwaka jana sio leo hazina imekauka uliza sio unatafuta hoja ya kuonhgelea ..
Tumia akili usipende kutembelea kik, kipnd cha Magufuli hakuna siku watumishi walikosa posho tena walikula sana ..Jamaa alikataa watu kujilipa nje ya kiwango ili kuweka usawa ...Ebu fikiria jamaa TPA walikuwa kikaa wanalipana mpaka 500k ? hata bungeni hawapati pesa hiyo?
Huna hata aibu? Kwahiyo unafurahi mzungu kuendesha maisha yako?Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili, usitumie pesa ovyo, na uwekezaji wako uufanye kwa akili, kuna jangwa lipo mbeleni, na lipo karibu sana. ukishaona wamarekani wameanza kujibizana na Rais wazi wazi kama balozi wao, jua EU nao wapo njiani, na jua hawawezi kutuacha salama.
labda tuombe Mungu wewe, au ndugu zako watekwe na kuuawa, kwasababu hata marekani wanauwana. unaonaje hapo? kikombe hicho kikupate ili ujue tunachoongea.Trumpth kakoswa mara mbili kwa risasi , unajua vifo vinavyotoka kwa kupigana ridhaa kweny hadhara huko USA kwa mwaka ...Mauaji ypo ndio maana mnakosa muelekeo kwa sababu mlikuwa mnamsingizia Magfuli .
Uchumi upi umeangua acha porojo kijana wa wazungu , nakupa uwanja onesha hoja zao wakati unaropoka tu .!nadhani wewe ndio hutumii akili, badala ya kutoa hoja unapayuka. si ufafanue tu, kwani hadi uongee kama umevaa dera? kwahiyo tuseme huu uchumi umeharibikia mikononi mwa nani? na katikati ya kuharibika uchumi unakothibitisha, bado mtu mwingine atibue maji as if tunajitegemea kumbe huge amount ya budget yetu tunatembeza bakuli. kwa hao hao. SGR imestop kipindi cha kiangazi, watajenga kipindi cha mvua? shida nini?
Balozi wetu wanakemea ?labda tuombe Mungu wewe, au ndugu zako watekwe na kuuawa, kwasababu hata marekani wanauwana. unaonaje hapo? kikombe hicho kikupate ili ujue tunachoongea.
kuwa serious, nchi yako hiyo unayosema wewe una akili, asilimia kubwa inategemea misaada, huo mdomo wa kuongea unautoa wapi? si utulize bro.Huna hata aibu? Kwahiyo unafurahi mzungu kuendesha maisha yako?
Ikemee huku huna kitu? Umeshawahi kuishi na mwanamke mwenye pesa kuliko wewe??Sikupingi mkuu, point yangu tusiwape saaaaaaana ukiranja katka mambo yetu. Kama kuna sehemu ni muhimu kukemea kwa misingi na tamaduni zetu tukemee bila kuogopa mzungu atafanyaje
utakemeaje wakati masikini wa kutupwa, ulishawahi kuona marekani ameomba msaada kwa Tanzania?Balozi wetu wanakemea ?