Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
kuwa serious, nchi yako hiyo unayosema wewe una akili, asilimia kubwa inategemea misaada, huo mdomo wa kuongea unautoa wapi? si utulize bro.
Basi tuliza mshono !utakemeaje wakati masikini wa kutupwa, ulishawahi kuona marekani ameomba msaada kwa Tanzania?
kwani watu wameanza kutekwa lini broHuu uzi wa september 12 , Rais kaongea lin?
Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali. Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana. Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi...www.jamiiforums.com
Kwahiyo ukiwa huna kitu inakubidi ukubali lolote lile unaloambiwa au utakalofanyiwa?.Ikemee huku huna kitu? Umeshawahi kuishi na mwanamke mwenye pesa kuliko wewe??
Eti Nchi yangu, kwani wewe sio mtanzania ndugu?kuwa serious, nchi yako hiyo unayosema wewe una akili, asilimia kubwa inategemea misaada, huo mdomo wa kuongea unautoa wapi? si utulize bro.
Jamaa tangu hujazaliwa hapa juzi tu Mo dowji alitekwa chini ya uongozi wa Magufuli ...Hao ndugu zako waliandika mpaka proposal ili kuzuia hizo pesa ila wapi enzi za Magu.kwani watu wameanza kutekwa lini bro
Narudia,ukitaka usipangiwe na jirani yako acha kabisa kila saa kwenda kumuomba mara chumvi, mara nikopeshe,mara jirani naomba lift etc....unafahamu athari za ukoloni mamboleo kwanza?? Au ndiyo yale yale ya ELIMU, ELIMU, ELIMU??Kwahiyo ukiwa huna kitu inakubidi ukubali lolote lile unaloambiwa au utakalofanyiwa?.
step into the shoes, ndugu yako angekuwa ni Mzee Kibao, akatekwa kwenye basi akauawa, na wewe una opportunity ya kuongea na hao wafadhili, hautawaambia wafanye hivyo? ninyi ndio mnafanya watanzania wanaichukia nchi yao wenyewe, hampo hapa kuunganisha wananchi ila kuwatenga na kuwapandikiza chuki, kwasababu mnajua kikinuka mna kwa kwenda au? mwogopeni Mungu.Jamaa tangu hujazaliwa hapa juzi tu Mo dowji alitekwa chini ya uongozi wa Magufuli ...Hao ndugu zako waliandika mpaka proposal ili kuzuia hizo pesa ila wapi enzi za Magu.
wewe ndio takataka mzee, unatakiwa kutupwa dustbin kabisa kama huelewi kinachoongelewa hapaHuu uzi ni takataka kabisa, ndio uzi wa hovyo kabisa kuusoma kwa miaka kumi iliyopita
Kichwa chako ni empty setwewe ndio takataka mzee, unatakiwa kutupwa dustbin kabisa kama huelewi kinachoongelewa hapa
Punguza unafikia na uzandiki , kwamba Rais kafurahia au sio?step into the shoes, ndugu yako angekuwa ni Mzee Kibao, akatekwa kwenye basi akauawa, na wewe una opportunity ya kuongea na hao wafadhili, hautawaambia wafanye hivyo? ninyi ndio mnafanya watanzania wanaichukia nchi yao wenyewe, hampo hapa kuunganisha wananchi ila kuwatenga na kuwapandikiza chuki, kwasababu mnajua kikinuka mna kwa kwenda au? mwogopeni Mungu.
Kama hii ndio falsafa yako, basi naamini huna Marinda. Yaani unaogopa kukaza kisa wanakukopesha!Narudia,ukitaka usipangiwe na jirani yako acha kabisa kila saa kwenda kumuomba mara chumvi, mara nikopeshe,mara jirani naomba lift etc....unafahamu athari za ukoloni mamboleo kwanza?? Au ndiyo yale yale ya ELIMU, ELIMU, ELIMU??
Wa hovyo ni uzi au wewe uliyeamua kuusoma na ku comment? Hivi ni lazima usome kila uzi kwanza?Huu uzi ni takataka kabisa, ndio uzi wa hovyo kabisa kuusoma kwa miaka kumi iliyopita
Dozi ya juzi tu tayari imeshaleta madhara?Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili, usitumie pesa ovyo, na uwekezaji wako uufanye kwa akili, kuna jangwa lipo mbeleni, na lipo karibu sana. ukishaona wamarekani wameanza kujibizana na Rais wazi wazi kama balozi wao, jua EU nao wapo njiani, na jua hawawezi kutuacha salama.