Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
162510.jpg
 
Wito mtu analipwa 500K halafu kuna mtu bank statement yake inasoma 24B na ni viongozi wa serikali
hiyo haina uhusiano gentleman,
na ndio maana wewe ni The Dojin na mimi ni Tlaatlaah.

wewe asubuhi umekula supu na chapati na mimi nakula maboga.
so hatuwezi kufanana na hakuna haja ya kuoneana wivu 🐒,
 
Attachments

  • IMG_20260817_161236.jpg
    IMG_20260817_161236.jpg
    1.4 MB · Views: 13
wewe Tlaatlaah ni CHAWA msifia UCHAFU!

binafsi,
sina haja na hizo porojo gentleman,
you can insult or call me names as you wish,

but I will never stop telling the truth regardless nonsense mayhem of some useless jf members 🐒
ila chawa wanaingiziwa maBilioni kwenye akaunti zao! au uchawa sio wito?
sifahamu ikiwa wafuata mkumbo na nyumbu huingiziwa chochote 🤣
 
hiyo haina uhusiano gentleman,
na ndio maana wewe ni The Dojin na mimi ni Tlaatlaah.

wewe asubuhi umekula supu na chapati na mimi nakula maboga.
so hatuwezi kufanana na hakuna haja ya kuoneana wivu 🐒,
Wote si wafanya kazi wa serikali au unataka kuniambia wito ni kwa walimu tu wanaolipwa 500K hao wengine wanaotembelea V8 in slow slow voice, WAMEJIITA ila hawa wa 500K wanawito
 
Wote si wafanya kazi wa serikali au unataka kuniambia wito ni kwa walimu tu wanaolipwa 500K hao wengine wanaotembelea V8 in slow slow voice, WAMEJIITA ila hawa wa 500K wanawito
kwahiyo ukiwa mfanyakazi wa serikali ndio unakua malaika na wengine wanaku mashetani? hakuna mahali watu wanaweza kulinganishwa kama unavyofikiria gentleman.

mbona mimi na wewe ni waTanzania, halafu wewe ni The Dojin na mimi ni Tlaatlaah ?

kwanini wote tusingekua Hikefikepunye Pohamba tu?🐒
 
Hata hueleweki kama mvua za Elinino :CowDance:
 
Sema uchumi wa plastiki. Unakuta una ndoo za plastiki, jagi la plastiki, vikombe vya plastiki, beseni la plastiki, plastiki lenyewe,kiti na meza vya plastiki, mashuka ya nylon, net ya nylon, woofer la plastiki, simu ya Mkopo, Mkopo wenyewe, Bado mshahara unapewa tarehe 40, yaan ^£^##&££ke!
 
Huyo mwalimu kama hakuwa na Duka basi picha haihusiani na maudhui,Haiwezekani kuwa na vikombe vya lita moja zaid ya vitano ndani ya nyumba,Unaweza kujiuliza alikuwa ananywea chai au vya kazi gani na usipate jibu.
 
Back
Top Bottom