Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

ualimu ni wito,
na sio biashara,
ukikushinda achia ngazi wengine wapande. Full stop šŸ’
Hii misemo yako ni sawa na mtu anasema tulinde amani ila ukicheck account yake ina 10B + unjustified halafu kakomaa nyie wananchi wa kawaida mnaingia kwenye mtego wa tutunze amani kumbe yeye amani yake ni 10B+ zake
 
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman.

hakuna anaeweza kukuacha uvuruge amani ili ashindwe kula mali zake kwa furaha gentleman šŸ’
 
Aisee halafu kuna mtu anasema eti shida ya maji, mbona kwa viongozi hawana kiwanda cha mandoo ndani mwao!?
20260628_142544.jpg
 
Back
Top Bottom