Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Upo sahihi. Refer Newton's third law. Ipo applicable emotionally, physically, na virtually.
Naam Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi. Refer Newton's third law. Ipo applicable emotionally, physically, na virtually.
A m interested here. UchunguziWale wanaoonekana Wana silaha na ulinzi mkali ndio haohao usalama wao mi mdogo na hawana Amani wakati wasio na ulinzi wowote wanausalama Mkubwa na Amani ya roho
hakika, ni watu wa taifa hili.Labda watu wake Mkuu
Kwa uandishi wako kana ni kweli ulifaulu masomo utakuwa kundi LA wale waliofaulu masomo wakafeli maisha sasa unajaribu Ku steam out frustration zako za kimaisha kwa kuwaparamia wengine kuchunguza maisha ya watu ili walau u feel betterAfadhali Umesema watu wengi na sio wote.
Kuna ishu ya Exceptional siku ukijua Jambo hili utafika mbali.
Wakati nasoma wapo watu waliodhani Kwa akili zao ndogo kuwa Kwa vile Mimi ni mjanja mjanja, sisomi na wala hawajawahi kuniona na Daftari wakadhani nitafeli
Lakini kumbe ni ujinga kufikiri kuwa watu wote ni Sawa.
NILIFAULU Kwa kiwango cha daraja la Kwanza tena nikiwa kinara katika Darasa letu Kwa mwaka huo.
Kidato cha sita halikadhalika hivyo hivyo, nilikuwa miongoni mwa waliofaulu Kwa daraja la Kwanza ambao tuliokuwa wachache.
Chuo kikuu nacho halikadhalika.
Ninachotaka kusema ni nini!
Wapumbavu hulijaji jalada la kitabu pasipo kujua ndani yake kuna nini.
Ndio watu kama wewe.
Wengine ni Exceptional.
Unaweza kumuona yupo hivi kumbe yupo vile
Unaweza muona anamaisha simple kumbe anautajiri.
Unaweza muona ni Tajiri kumbe ni masikini.
So mtazamo wako mara nyingi hupatikana Kwa watu wapumbavu.
Kumbe we ndio hamna watu wenye majungu kama hao natajiri akina MONilichogundua kwako mleta mada ni kuwa muda mwingi unafuatilia sana maisha ya watu ndio maana umeandika mengi kuhusu watu mbalimbali uliowafuatilia maisha yao
Watu wa aina yako wengi huwa maskini na bila kuficha na wewe uko hilo kundi
Maskini muda mwingi hufuatilia maisha ya watu wakati tajiri hujua mengi kuhusu utajiri wake au biashara zake MTU kama Mo Dewji au Bakhresa wa Azam hawezi kuwa na muda wa kuchunguza watu na kuandika hayo uliyoandika mleta mada.Ni maskini pekee ndie aweza
Kwa uandishi wako kana ni kweli ulifaulu masomo utakuwa kundi LA wale waliofaulu masomo wakafeli maisha sasa unajaribu Ku steam out frustration zako za kimaisha kwa kuwaparamia wengine kuchunguza maisha ya watu ili walau u feel better
Uandishi wako umejaa ohhh niliyoyaona,niliyoyaona !!! Solution nini? Kwa hayo uliyoyaona.Mfano umeona mjinga akimtawala mwerevu .Mwerevu awezaje tawaliwa na mjinga kama Huyo unayemwita mwerevu sio mjinga?
MTU mwerevu hawezi hata Siku moja kutawaliwa na mjinga
Na pia haiwezekani ukasema MTU maskini ana hekima kuliko tajiri.Hekima gani isiyoweza zalisha utajiri? Hizo ni porojo za maskini
Wachaga husema wazi kama una akili onyesha akili yako ilichozalisha benki una shilingi ngapi na una Mali kiasi gani.Wewe tusaidie hizo division zako za juu na GPA zako za juu zimezalisha nini zaidi ya huu umbeya ulioandika
Kumbe we ndio hamna watu wenye majungu kama hao natajiri akina MO
Mikocheni maskini kibao pia wanaishiKama umefeli wewe maisha usidhani kila mtu kafeli maisha.
Majina yangu ni halisi huna haja ya kunikadiria.
Nishaandika nipo Dar es salaam unaweza kuja kuniona hapa Mikocheni
Huna simu siku hizi??Hayo nayo niliyaona kwenye Siasa za Dunia.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Mikocheni maskini kibao pia wanaishi
Sioni ukiandika namba. Anyway Wacha maisha yaendelee, good morningNinayo Mkuu.
Sioni ukiandika namba. Anyway Wacha maisha yaendelee, good morning
Mzee kuna ukweli ndani yake ila dunia ina siri za ajabu nyuma ya pazia kuna siri kubwa haswa kwaa waafrica nikupe hii msomi wa biashara akifanya biashara mara chache kufanikiwa kuliko asiyekuwa na elimu kbsa ya biashara hata kama mtakaa eneo moja unajua shida ya watu weusi uchawi mwingi sana wewe utakaa hapo dukani huuzi lkn wateja wanapita kununua duka la mbali kama hawakuona aisee watu wanaroga na wanafanya mambo mabaya sana kuna mapaka na wanadamu mamefukiwa madukani si mchezo aisee hyo ni nyuma ya pazia.Kwema Wakuu!
Nimefanya uchunguzi mdogo nao ni huu;
"Wale wanaoonekana ni wajinga ndio wanawatawala werevu.
Wale wanaoonekana waovu ndio waliobarikiwa kimaisha.
Wale wanaoonekana wahuni na Malaya ndio wanaoimudu ndoa.
Wale wanaoonekana wengi ndio wanaotawaliwa na waliowachache.
Wale wenye Ujuzi na maarifa ndio wanaotafuta kazi.
Wale waliovipofu tena wasioona maana wapo vipofu wanaoona, sasa hawa ni vipofu wasioona kabisa ndio wanawaongoza wenye macho wanaoona
Wale wanaoonekana ni Wazalendo ndio wezi na wahujumu uchumi.
Wale wanaoogopa sheria ndio wanaokutwa na hatia, Ila wasioiogopa sheria na kuzivunja huwa wenye haki wasio na hatia.
Wale wanaoogopa kuoa na kuzaa kisa maisha ndio hao hao wenye maisha magumu kuliko Wale waliooa na wanaozaa.
Wale wanaoonekana kujibana kiuchumi ili wafanye maendeleo ndio haohao wanaoshindwa maendeleo na Wale wanaotumia pesa Rafu.
Wale wanaoonekana wazuri wa Sura na maumbile ndio haohao wanaokosa wenza wa kuwaona/kuolewa nao ndio wanaolalamika, wakati wasio na mvuto wakiolewa na kuoa kila uchwao.
Wale wanaopenda Kwa watu na vitu vya watu, kwao na vyao ni vibaya.
Wale wanaoonekana ni watumishi wa Mungu ndio haohao wachawi na mashetani Wabaya.
Wale wanaoonekana ni watumishi wa Shetani ndio haohao watumishi wa Mungu aliyehai.
Wale waliofeli Hesabu shuleni ndio wanaofaulu Hesabu za maisha. Huku Wale waliofaulu Hesabu za shuleni wakishindwa Hesabu za mtaani.
Wale WANAOPENDA kulala hawana vitanda na magodoro mazuri lakini ndio wanaolala usingizi mnono.
Wale WANAOPENDA kusoma, husoma habari za watu waliokataa na wasiopenda kusoma, walioshindwa shule.
Wale wanaolima chakula ndio huwa wakwanza kupata njaa, wakati wasiolima wala hawana habari wao chakula kipo Tele siku zote.
Wale wanaoonekana Wana silaha na ulinzi mkali ndio haohao usalama wao mi mdogo na hawana Amani wakati wasio na ulinzi wowote wanausalama Mkubwa na Amani ya roho
Wale wanaozingatia Sana mambo ya Afya ndio haohao hukumbwa zaidi na magonjwa tofauti na Wale wasiozingatia"
Hayo nayo niliyaona kwenye Siasa za Dunia.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Kwa uandishi wako kana ni kweli ulifaulu masomo utakuwa kundi LA wale waliofaulu masomo wakafeli maisha sasa unajaribu Ku steam out frustration zako za kimaisha kwa kuwaparamia wengine kuchunguza maisha ya watu ili walau u feel better
Uandishi wako umejaa ohhh niliyoyaona,niliyoyaona !!! Solution nini? Kwa hayo uliyoyaona.Mfano umeona mjinga akimtawala mwerevu .Mwerevu awezaje tawaliwa na mjinga kama Huyo unayemwita mwerevu sio mjinga?
MTU mwerevu hawezi hata Siku moja kutawaliwa na mjinga
Na pia haiwezekani ukasema MTU maskini ana hekima kuliko tajiri.Hekima gani isiyoweza zalisha utajiri? Hizo ni porojo za maskini
Wachaga husema wazi kama una akili onyesha akili yako ilichozalisha benki una shilingi ngapi na una Mali kiasi gani.Wewe tusaidie hizo division zako za juu na GPA zako za juu zimezalisha nini zaidi ya huu umbeya ulioandika
Mzee kuna ukweli ndani yake ila dunia ina siri za ajabu nyuma ya pazia kuna siri kubwa haswa kwaa waafrica nikupe hii msomi wa biashara akifanya biashara mara chache kufanikiwa kuliko asiyekuwa na elimu kbsa ya biashara hata kama mtakaa eneo moja unajua shida ya watu weusi uchawi mwingi sana wewe utakaa hapo dukani huuzi lkn wateja wanapita kununua duka la mbali kama hawakuona aisee watu wanaroga na wanafanya mambo mabaya sana kuna mapaka na wanadamu mamefukiwa madukani si mchezo aisee hyo ni nyuma ya pazia.
Umevuta mapushabu ya wapiKwema Wakuu!
Nimefanya uchunguzi mdogo nao ni huu;
"Wale wanaoonekana ni wajinga ndio wanawatawala werevu.
Wale wanaoonekana waovu ndio waliobarikiwa kimaisha.
Wale wanaoonekana wahuni na Malaya ndio wanaoimudu ndoa.
Wale wanaoonekana wengi ndio wanaotawaliwa na waliowachache.
Wale wenye Ujuzi na maarifa ndio wanaotafuta kazi.
Wale waliovipofu tena wasioona maana wapo vipofu wanaoona, sasa hawa ni vipofu wasioona kabisa ndio wanawaongoza wenye macho wanaoona
Wale wanaoonekana ni Wazalendo ndio wezi na wahujumu uchumi.
Wale wanaoogopa sheria ndio wanaokutwa na hatia, Ila wasioiogopa sheria na kuzivunja huwa wenye haki wasio na hatia.
Wale wanaoogopa kuoa na kuzaa kisa maisha ndio hao hao wenye maisha magumu kuliko Wale waliooa na wanaozaa.
Wale wanaoonekana kujibana kiuchumi ili wafanye maendeleo ndio haohao wanaoshindwa maendeleo na Wale wanaotumia pesa Rafu.
Wale wanaoonekana wazuri wa Sura na maumbile ndio haohao wanaokosa wenza wa kuwaona/kuolewa nao ndio wanaolalamika, wakati wasio na mvuto wakiolewa na kuoa kila uchwao.
Wale wanaopenda Kwa watu na vitu vya watu, kwao na vyao ni vibaya.
Wale wanaoonekana ni watumishi wa Mungu ndio haohao wachawi na mashetani Wabaya.
Wale wanaoonekana ni watumishi wa Shetani ndio haohao watumishi wa Mungu aliyehai.
Wale waliofeli Hesabu shuleni ndio wanaofaulu Hesabu za maisha. Huku Wale waliofaulu Hesabu za shuleni wakishindwa Hesabu za mtaani.
Wale WANAOPENDA kulala hawana vitanda na magodoro mazuri lakini ndio wanaolala usingizi mnono.
Wale WANAOPENDA kusoma, husoma habari za watu waliokataa na wasiopenda kusoma, walioshindwa shule.
Wale wanaolima chakula ndio huwa wakwanza kupata njaa, wakati wasiolima wala hawana habari wao chakula kipo Tele siku zote.
Wale wanaoonekana Wana silaha na ulinzi mkali ndio haohao usalama wao mi mdogo na hawana Amani wakati wasio na ulinzi wowote wanausalama Mkubwa na Amani ya roho
Wale wanaozingatia Sana mambo ya Afya ndio haohao hukumbwa zaidi na magonjwa tofauti na Wale wasiozingatia"
Hayo nayo niliyaona kwenye Siasa za Dunia.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
"Razima" kibali Cha kukamata kipatikane ndani ya masaa 24Good morning Mkuu.
PGO huko yasemaje kumkamata Mtu mwenye Cheo cha Uwaziri au Uspika?