Uchunguzi huu umenishangaza Sana!

Kwa uandishi wako kana ni kweli ulifaulu masomo utakuwa kundi LA wale waliofaulu masomo wakafeli maisha sasa unajaribu Ku steam out frustration zako za kimaisha kwa kuwaparamia wengine kuchunguza maisha ya watu ili walau u feel better

Uandishi wako umejaa ohhh niliyoyaona,niliyoyaona !!! Solution nini? Kwa hayo uliyoyaona.Mfano umeona mjinga akimtawala mwerevu .Mwerevu awezaje tawaliwa na mjinga kama Huyo unayemwita mwerevu sio mjinga?
MTU mwerevu hawezi hata Siku moja kutawaliwa na mjinga

Na pia haiwezekani ukasema MTU maskini ana hekima kuliko tajiri.Hekima gani isiyoweza zalisha utajiri? Hizo ni porojo za maskini

Wachaga husema wazi kama una akili onyesha akili yako ilichozalisha benki una shilingi ngapi na una Mali kiasi gani.Wewe tusaidie hizo division zako za juu na GPA zako za juu zimezalisha nini zaidi ya huu umbeya ulioandika
 
Kumbe we ndio hamna watu wenye majungu kama hao natajiri akina MO
 


Kama umefeli wewe maisha usidhani kila mtu kafeli maisha.

Majina yangu ni halisi huna haja ya kunikadiria.

Nishaandika nipo Dar es salaam unaweza kuja kuniona hapa Mikocheni
 
Kama umefeli wewe maisha usidhani kila mtu kafeli maisha.

Majina yangu ni halisi huna haja ya kunikadiria.

Nishaandika nipo Dar es salaam unaweza kuja kuniona hapa Mikocheni
Mikocheni maskini kibao pia wanaishi
 
Mzee kuna ukweli ndani yake ila dunia ina siri za ajabu nyuma ya pazia kuna siri kubwa haswa kwaa waafrica nikupe hii msomi wa biashara akifanya biashara mara chache kufanikiwa kuliko asiyekuwa na elimu kbsa ya biashara hata kama mtakaa eneo moja unajua shida ya watu weusi uchawi mwingi sana wewe utakaa hapo dukani huuzi lkn wateja wanapita kununua duka la mbali kama hawakuona aisee watu wanaroga na wanafanya mambo mabaya sana kuna mapaka na wanadamu mamefukiwa madukani si mchezo aisee hyo ni nyuma ya pazia.
 


Mkuu huwaga sibishanagi kuonyesha Mimi ni Bora,

Ila nilichoandika ndio matokeo ya nilichokiona kwenye uchunguzi wangu.

Ukisema kuchunguza watu no umasikini nasi utakuwa mjinga wa kiwango cha lami na huna elimu yoyote ya Dunia, elimu ya Biblia, na hata Quran.

Biblia ni matokeo ya uchunguzi waliofanyiwa wanadamu halikadhalika na Quran.

Kama umesoma walau masters bila Shaka umefanya Research, sasa Kama kufanya research ni umasikini ni Sawa.
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Watu wanampaka PhD za biashara lakini wameshindwa hata biashara ya genge unafikiri mchezo
 
Umevuta mapushabu ya wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…