Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Hakuna lolote hapo.Karne hii ya watu kutumia akili wewe unaleta mambo ya ujima. Wewe mwenyewe umefanikiwa Kwa kiasi Gani Kwa kuzingatia hayo uliyoyasema?

Kama kwenu ungekuwa hata na ndugu mmoja ambaye anamiliki bilioni moja ungeenda kumuuliza angekujibu maswali yako. Lakini Kwa vile ninyi ndio Wale ambao ukoo mzima umesoma pekeako ndio unafikiri wewe ndio WA kisasa alafu mambo ya Msingi unayaita ya kizamani au yakijima.

Bila uzamani wewe usingezaliwa, Mbuzi wee
 
Jamaa namuelewa vizuri sana.
Yote aliyoongelea humu nimeyapitia na yalinitokea.
Nikafuatilia kiundani nikagundua ni hayo mambo aliyoyataja ndio yalikuwa yakinisumbua.
 

Vijana wandharau Wazee kisa eanavielimu mshenzi vya kukariri,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtu kupata kadegree kamoja anaacha utamaduni wake na kuudharau,

Hata hivyo kuna msemo usemao, masikini akipata matako hulia Mbwata, na asiyejua kupata kapata, au kipofu kaona mwezi.
Hicho ndicho kinachotokea Kwa Vijana wengi.
 
Abu Huraira reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, β€œThe adulterer is not a believer while he commits adultery. The thief is not a believer while he is stealing. The drinker of wine is not a believer while he is drinking, yet repentance is possible thereafter.”

Source: SΜ£ahΜ£iΜ„hΜ£ al-BukhaΜ„riΜ„ 6810, SΜ£ahΜ£iΜ„hΜ£ Muslim 57
 
Ibn Abbas reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, β€œO young men of Quraysh, do not commit adultery and guard your chastity. No doubt, whoever guards his chastity will certainly enter Paradise.”

Source: al-Mu’jam al-AwsatΜ£ 6750
 
Mbona mzee mengi alikuwa mzinzi mzuri na pesa ilikuwepo?
 
Hili jiwe limenikuta taikon navuja damu ,, ngoja ngoja nitubu aisee
 
Mkuu umenena sawa, Hakika uzinzi ni katika njia mbaya sana kabisa. Inaondoa bahati na kuleta mikosi. Inachafua roho kwa muda mrefu sana, inapunguza nguvu za kiroho. Huwezi ukawa mzinzi na ukapata nguvu za kuomba. Hayo yote ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…