Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Hakuna familia zenye kufanya umalaya zikaendelea. Umalaya na umasikini vinapelekana bega kwa bega.

Mwanamke aliyefanya uzinzi au ngono anakuwa mchafu Kwa siku 14 wakati mwanaume anakuwa mchafu kwa siku 7.
Ungeweka mifano, maana tunashuhudia wanasiasa kibao ni matajiri, wanabadili mitaa kila siku, wanaonjeshwaonjeshwa kila mtaa, kila mji
 
Sasa mbona matajir wengi wanakula sana 071 je hiyo ikoje? Na je wanawake Wote wanamikosi au Kuna wenye Baraka??
 
Duh huu mkuku
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.

Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa awe mzinzi.
Uzinzi siyo tuu ni hatari kwa magonjwa hatari ya zinaa, bali pia ni hatari kwa magonjwa ya kuondoa kinga za kiroho.

Kikawaida binadamu akishaanza kufanya uzinzi ataanza kupoteza uwezo wake wa asili. Moja ya uwezo wa asili wa binadamu ni kuota ndoto zenye mantiki nyakati za usiku.

Binadamu kabla hajaanza ngono huota ndoto na anakuwa na uwezo wa kuzikumbuka kama siyo kuzitafsiri kabisa. Lakini akishaanza uzinzi ndoto hizo huanza kupungua na kupotea kabisa.

Huwezi ukawa mzinzi alafu ukaomba bahati au misaada ya kiroho kivyovyote vile. Hapo itakupasa ujitakase walau kwa siku zisizopungua tano ili uwe safi, kisha ndiyo ufanye mawasiliano na falme za rohoni.

Hata ukienda kwa waganga wa kienyeji kuna dawa ambazo ukipewa utaambiwa usikutane na mwanamke kwa siku kadhaa ili dawa zifanye kazi.

Au utaambiwa utembee na binti mdogo tena ikiwezekana ambaye ni bikra. Hapo ndipo kesi nyingi za ubakaji kwa watoto wadogo hujitokeza.

Vijana mnaoanza biashara, hasa hizi biashara za mitaji midogo chin ya milioni tano. Ukitaka biashara yako iende bila shida basi cha kwanza itakupasa ukae mbali na wanawake, acha ngono zembe.

Kama utashindwa ni akheri uoe kabisa, tena uoe mwanamke msafi mwenye maadili. Siyo uoe tena limalaya ambao litakuwa linafanya zinaa huko na kukuletea wewe mikosi.

Tunaposema mwanamke malaya au muasherati hafai kwa ndoa, na ikiwezekana kama umemuoa ukamfumania, basi itakupasa usijiulize mara mbilimbili, fukuza! Siyo kwa sababu tuu ya wivu wa kimapenzi. No! Bali ni pamoja na mambo ya kimaendeleo.

Hakuna familia zenye kufanya umalaya zikaendelea. Umalaya na umasikini vinapelekana bega kwa bega.

Mwanamke aliyefanya uzinzi au ngono anakuwa mchafu Kwa siku 14 wakati mwanaume anakuwa mchafu kwa siku 7.

Kama unamchongo unaousikilizia basi itakupasa ukae mbali na ngono zembe mpaka utiki. Lakini kama utajiingiza huko siyo ajabu pesa zako zikawa zinakuja lakini kila zikikaribia kuingia zinapeperuka. Yaani ni kama unanyang'anywa tonge mdomoni.

Umalaya ndiyo dhambi pekee ambayo mtu anaufanyia mwili wake. Dhambi zingine mtu hufanya nje ya mwili wake, yaani huwafanyia wengine. Ndiyo dhambi inayodhuru mwili na roho kwa haraka sana.

Ngono zinavuta mikosi, yaani unaweza pata pesa sasa hivi alafu hapohapo likatokea tatizo la kuitumia pesa uliyoipata nje ya mipango yako.

Namna pekee ambayo wazinzi wanaweza kuwa na bahati katika mambo yao ni kujiingiza kwenye ushirikina na ulozi. Ambapo itawapasa wagharamike kwa namna moja ama nyingine kusafisha nyota zao kwa kipindi cha muda fulani, huku wakiendelea na uchafu wao.

Sio rahisi umuone mtu anafanya uzinzi halafu mambo yake yanaenda bila ya kuwa mshirikina. Hiyo haiwezekaniki.

Biashara inahitaji usafi siyo tuu wa kimwili, bali pia usafi wa kiroho (mvuto) na kitu pekee kinachochafua mvuto wa kiroho ni zinaa.

Huwezi kuwa mzinzi halafu ukaenda kwenye project zako, mfano unamashamba ya mpunga au nyanya halafu uende ukiwa unafanya uchafu, lazima mambo yaharibike, au ufugaji. Kila kitu kina siri zake, aidha utumie madawa ya jadi ndiyo ufanikiwe lakini kumuomba Mungu asaidie miradi yao ilhali roho yako imechafuka huo ni uongo.

Kuna baadhi ya watu wanatabia ya kuingiza wanawake au malaya kwenye nyumba zao wanazoishi, ndugu zangu hivi kama umekosa akili kwa kiwango hicho, umeona haitoshi ulete wanawake waitie mikosi nyumba yako. Unafikiri guest house zilijengwa kwaajili gani.

Kama utashindwa kabisa ni bora mkafanyie kwenye vichaka, huko mbona fresh tuu kuliko kuingiza uchafu nyumbani kwako. Huo ni ukosefu wa maarifa.

Vijana kama unahitaji njia yako isiwe ngumu sana, yaani pesa zako zisije kwa mbinde basi unashauriwa acha ngono zembe. Na uliyenaye awe mwaminifu, na kamwe mtu asiyemwaminifu usijisumbue kumfundisha uaminifu au kumbembeleza, unabembeleza mtu anayeharibu mifumo ya maisha yako.

Usiponielewa, utanielewa katika mambo unayoyafanya, yaani kila ukifanyacho hakiendi, unafeli. Wakati wenzako chochote tunachogusa kitaenda kitake kisitake.

Ni yule kuhani

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.i
DU

Kwa sasa Dar es salaam.
Duh huu mkuki rohoni, aisee hii kitu ndo inaponza maisha yangu tangu nianze chuo hadi nimemaliza nimeshikwa na addiction ya dada poa, na hii tabia niliianzia chuo, addiction hii inakwendana na alcohol consumption, yaani nikishaonja tu alcohol lazima akili iende kwa dada poa, na nina experience ya kutembea na dada poa kwa miaka 6 , kitu kinachopelekea kutopata kazi wala deals za maana tofauti na wenzangu tuliokuwa tukiishi ghetto moja chuo, wenzangu hadi sa hivi wameajiriwa ila mimi , ilikuwa bado kidogo kupata ajira ila sijui nn kilitokea baada ya kuitwa interview nakupita zote, nilichokuja kugundua dada poa/ malaya wengi wana mikosi kutokana na nafsi zao kubeba nafsi nyingi ambazo baadhi ni chafu na safi pia, na wengi wanaenda kwa waganga wanapewa dawa za kunasa wateja / kugandwa na wateja, yaani ukimla tu siku moja lazima kila ukienda ilo eneo ile dawa yake inakuvuta umtafute yeye tu , yaani ata malaya awe ana sura mbaya lazima umfate yeye tu, na unapotembea naye nyota yako inachafuka maama tendo la ndoa uunganisha nafsi,na ukitembea nao wengi nafsi yako inakuwa haitulii na unaweza kujikuta unaoa malaya kwa sababu ya nafsi , na kuna malaya wengine wana nafsi za bahati , kuna kipindi nipo chuo kuna malaya nilikuwa nikilala naye tu nashangaa kesho yake nikienda chuo, mademu wananichangamkia kinoma hadi nikawa nashangaa iki ni nn? Ila nina experience kubwa sana na malaya na mambo yao ya nafsi, na vitu vingi vimenitokea kwa kutembea nao vingi vibaya kama kutumia kiasi kikubwa cha pesa, na iyo addiction nimeshindwa kuiacha kabisa , kila nikijaribu siwezi kabisa, yaani najiskia raha kutembea na malaya kuliko msichana wa kawaida,ila najitahidi niondokane nayo naamini iko siku itakwisha,
 
Sasa mbona matajir wengi wanakula sana 071 je hiyo ikoje? Na je wanawake Wote wanamikosi au Kuna wenye Baraka??
Kuna wenye baraka, kuna malaya/ dada poa ukimla tu au kulala naye unaweza shangaa unapita mtaani kila demu unayekutana naye anakuchekea tu😂😂😂na kukupa hi hadi unashangaa,nimeongea hii kwa experience yangu ya kula dada poa kwa miaka 6
 
Kama kwenu ungekuwa hata na ndugu mmoja ambaye anamiliki bilioni moja ungeenda kumuuliza angekujibu maswali yako. Lakini Kwa vile ninyi ndio Wale ambao ukoo mzima umesoma pekeako ndio unafikiri wewe ndio WA kisasa alafu mambo ya Msingi unayaita ya kizamani au yakijima.

Bila uzamani wewe usingezaliwa, Mbuzi wee
Kwahyo mkuu anguko la Harmonize tulisubiri au Diamond maana hawa watu ni millionea lakini ni wazinzi na wanawake waliofanywa mpaka yakabaki kama mashimo ya vyoo vya city?[emoji120]
 
Ushaambiwa kama unauwezo wa kuchafua mwili wako muda wote Ili usikutane na bahati zako basi uwe na uwezo wakutumia njia za kishirikina Ili zikuinue, ila pia hao uliowataja wewe unajuaje kama wanafanya hivyo muda wote na siyo maigizo? Ila kupanga ni kuchagua unachoona kinamanufaa kwako.
 
Kuna wenye baraka, kuna malaya/ dada poa ukimla tu au kulala naye unaweza shangaa unapita mtaani kila demu unayekutana naye anakuchekea tu[emoji23][emoji23][emoji23]na kukupa hi hadi unashangaa,nimeongea hii kwa experience yangu ya kula dada poa kwa miaka 6
Sasa hiyo siyo baraka ila umevutwa kwenye ulimwengu wa kupendwa kimapenzi uendeleze ligi kwa sana.
 
Uzinzi ni nini? Nafikiri nikufanya mapenzi kabla ya ndoa. Mtu anaweza kuwa mwaminifu ila mzinzi tu, yaani anazini na mtu wake huyo huyo ila ni mzinzi. Wazungu wazinzi wako wengi tu kama binadamu mwingine. Hizi ni imani tu hakuna cha nuksi wala nini.
Suleiman alipiga mbupu hadi vijakazi lakini ndo alikuwa mfalme,tajiri na mtumishi wa Mungu kulko hawa wauza mafuta ya bodyluxy[emoji16]
 
Uzinzi ni kula nje ya ndoa.

Kula kabla hujaoa ni uasherati
Kuish na mke/mme na hata kuzaa huo ni uzinzi kwa mujibu wa maandko,je wote wenye keshi wame funga ndoa? Halafu Ibrahim,Isaka na mitume kibao mbna hatukuona ndoa zao zikifungwa?
 
MADHARA YA UZINZI;

  • Uchumi kudorola,
  • Nguvu za kiroho kupotea,
  • Afya kudumaa,
  • Kuzeeka mapema kabla ya wakati.

Mungu akuwezeshee neema Chifu uzidi kuwa imara kiafya, kiroho na kiakili maana tayari shetani anapambana nawe hivi sasa kwa kumnyang'anya Wafuasi wake tokana na injili unayowapatia.
kwahyo Gwajiboy master hana hela syo au nae kaenda kwa mganga?
 
Mkuu umenena sawa, Hakika uzinzi ni katika njia mbaya sana kabisa. Inaondoa bahati na kuleta mikosi. Inachafua roho kwa muda mrefu sana, inapunguza nguvu za kiroho. Huwezi ukawa mzinzi na ukapata nguvu za kuomba. Hayo yote ni kweli
Ndo ilivyo, tatizo Kuna watu hawataki roho zao ziwe safi ila wanataka wengine ndo wawe wasafi wawaombee, imagine mtu analamika mke wangu haniombei niwe na kipato, au mtumishi wa Mungu, au mzazi wakati roho ni yake na bahati ni zake na akipewa mbinu kwa vile niyakujitoa kafara ya kupunguza Raha za mwili anatafuta visingizio.
 
Kuish na mke/mme na hata kuzaa huo ni uzinzi kwa mujibu wa maandko,je wote wenye keshi wame funga ndoa? Halafu Ibrahim,Isaka na mitume kibao mbna hatukuona ndoa zao zikifungwa?
Kila kitu Chao walisema kimeandikwa?, Zamani ilikuwa wanaridhiana na marufuku kufosi na sherehe za harusi siyo ndoa, pia kulikuwa na ndoa tofauti ila zile za kuwekeana nadhiri yaaani agano zilikuwa chache ndo hizo ziliandikwa mpaka kifo kiwatenganishe maana Kila mtu alikula Yamini ya mwenzangu yaani tone la damu kutoka kidole cha Pete Sasa hapo wakitengana mabalaa yalikuwa yanawapata, na hizi ndoa za kupata mkataba zilikuwepo, ndoa za kuzaa watoto ambazo ndiyo zipo Sasa zilikuwepo, kikubwa mpatane na jamii itambue Ili kujipa muda wa kutulia na Mungu wako.
 
Back
Top Bottom